WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wameanza kujitokeza katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa ngazi za juu za...
By Regina MkondeApril 16, 2021ASKOFU Josephat Gwaji, Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam amesema, Afrika ikiwemo Tanzania haziwezi kuendelea kwa kuwa, hazina utaratibu wa kuendeleza agenda...
By Mwandishi WetuApril 15, 2021NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM), amesema kwa mujibu wa chama hicho, tabia ya kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na...
By Mwandishi WetuApril 15, 2021WIZARA ya Maji kwa kushirikiana na Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI), watakutana kuweka mkakati wa kuhamasisha shule kujenga gata...
By Danson KaijageApril 15, 2021PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, katika utawala wake kulenga Tuzo ya Mo Ibrahim....
By Masalu ErastoApril 14, 2021NICODEMUS Maganga, Mbunge wa Mbogwe kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM), amegomea majibu ya serikali, kwamba jimboni kwake serikali imechimba visima virefu vya...
By Mwandishi WetuApril 14, 2021PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria amesema, serikali ina mpango wa kutoa elimu ya sheria kwa makundi yote ya kijamii ili...
By Danson KaijageApril 14, 2021FEDHA zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kutumika kati ya Januari na Machi mwaka huu, zimeanza kuchunguzwa. Anaripoi Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuApril 14, 2021LIVINGSTON Silinde, Mbunge wa Mvumi (CCM), ameeleza kukerwa na watu wanaomsema vibaya Hayati John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amesema, anashangazwa...
By Danson KaijageApril 13, 2021NDEGE tatu zitatua nchini muda wowote baada ya Serikali ya Tanzania, kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege hizo tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageApril 13, 2021KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano,...
By Hamisi MgutaApril 13, 2021SERIKALI imeeleza, ipo kwenye mpango wa kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021SERIKALI imeeleza, kwamba itafanya vikao na wadau wa bandari ili kuangalia tozo zinazotozwa baada ya kulalamikiwa na wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ama wamemchoka Halima Mdee, mbunge asiye na chama bungeni au wamekerwa na kauli yake, aliyosema ‘kuna...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Waislamu wote nchini humo, kutumia kipindi hicho, kufanya toba na kuiomba nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021HOTUBA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ‘imemkera’ Spika wa Bunge, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kwa...
By Mwandishi WetuApril 12, 2021Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa nchi hiyo, Ali Hassan Mwinyi huku...
By Hamisi MgutaApril 12, 2021MAJI ya Mto Ruvuma, yapo kwenye mpango wa serikali kutumika kuzalisha umeme. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...
By Mwandishi WetuApril 12, 2021KAZI ya upembuzi wa barabara ya Barabara ya Kinyata kutoka Nyamagana – Usagara, jijini Mwanza yenye urefu wa kilomita 22, inafanyika ili...
By Mwandishi WetuApril 12, 2021EDWARD Moringe Sokoine, aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania, amefikisha miaka 37 tangu alipofariki dunia, Alhamisi ya tarehe 12 Aprili 1984, katika ajali...
By Mwandishi WetuApril 12, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atamkumbuka aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Hayati Dk....
By Hamisi MgutaApril 11, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka viongozi wastaafu na walioko madarakani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa serikali, kuwaomba radhi...
By Hamisi MgutaApril 11, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema chama hicho kimemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kuomba kukutana naye....
By Regina MkondeApril 11, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinakusudia kuanza operesheni nchi nzima. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na Watanzania kupitia mitandao...
By Regina MkondeApril 11, 2021ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ya Majaji, ili kuchunguza fedha ‘zilizolipwa’ na watuhumiwa...
By Hamisi MgutaApril 11, 2021ASKOFU Mkuu, Jimbo Kuu la Katoliki Dodoma, Beatus Kinyaiya, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kwamba ni kiongozi shupavu, mkakamavu, jasiri, mtenda haki,...
By Hamisi MgutaApril 11, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Taifa linalipa gharama ya kuendesha nchi gizani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Zitto...
By Regina MkondeApril 11, 2021ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemuomba radhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za SerikalI (CAG), Charles Kichere kufuatia...
By Hamisi MgutaApril 11, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Prof. Mussa Assad, aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
By Hamisi MgutaApril 11, 2021RAIS wa Tanzania, amewataka mawaziri na wataalamu wa Tanzania na Kenya wanaounda Kamati ya Ushirikiano wa Pamoja, kukutana mara moja ili kufanyia...
By Mwandishi WetuApril 10, 2021WABUNGE wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), halina uwezo wa kuendeleza mradi wa chuma cha...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe 16 Mei 2021, kufanyika kwa uchaguzi mdogo jimbo la Buhigwe, mkoani Kigoma na kata...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetangaza kuufuta uchaguzi mdogo wa ubunge wa Muhambwe, mkoani Kigoma uliokuwa ufanyike 2 Mei...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021PROFESA Sospeter Muhongo, Mbunge wa Musoma Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameshauri serikali kujikita katika miradi ya nishati mchanganyiko, badala ya...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021MBUNGE wa Jang’ombe visiwani Zanzibar, Ali Hassan King, amefikisha bungeni kilio cha wastaafu 103, walioibiwa fedha zao za mafao Sh. 400 milioni...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), nchini Tanzania kwa mwaka 2019/20, imebaini kasoro kwa vyama vya siasa...
By Hamisi MgutaApril 9, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ameonyesha wasiwasi kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kupata hasara...
By Hamisi MgutaApril 9, 2021RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2019/2020, imebaini kituo cha mabasi cha yaendayo haraka cha...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021CHARLES Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema miradi mipya inayosajiliwa katika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), imepungua...
By Mwandishi WetuApril 8, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini ubadhirifu wa Sh.23.8 bilioni, katika halmashauri 59. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeApril 8, 2021RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2019/2020, imebaini Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ilishindwa kukusanya...
By Mwandishi WetuApril 8, 2021RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2019/20, imebaini kasoro ya kisheria na kikanuni ya matumizi...
By Mwandishi WetuApril 8, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameonesha wasiwasi wa upotevu wa mapato ya serikali ya Sh. 2.60...
By Mwandishi WetuApril 8, 2021RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020, imemuweka matatani aliyekuwa Waziri wa...
By Masalu ErastoApril 8, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeeleza, katika kipindi cha miaka mitano (2019-2020), jumla ya viwanda vipya 8,477 vimejengwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 8, 2021SERIKALI ya Tanzania, imsema jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa katika kipindi cha kuanzia mwaka 2017 – 2020, ikiwa ajira...
By Mwandishi WetuApril 8, 2021GWIJI wa sheria nchini Tanzania, Prof. Abdallah Safari na Rais Mstaafu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Tundu Lissu, wameshauri wajumbe wa...
By Yusuph KatimbaApril 8, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa sababu ya kuongezeka kwa deni la taifa, kutoka Sh.54.8 trilioni mwaka...
By Masalu ErastoApril 8, 2021TAREHE 15 Aprili 2021, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kitafanya uchaguzi mkuu wa viongozi mbalimbali ikiwemo urais, watakaoongoza chama hicho kwa mwaka...
By Mwandishi WetuApril 7, 2021Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, tarehe 6 Aprili 2021, amewasili Zanzibar akitokea jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 6, 2021