SAFARI ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye halingumu ya kimaisha, ilianzia makao makuu yakampuni...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2024Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amenadi fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana nchini katika mkutano wa...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2024Watumiaji wa barabara mkoani Dar es Salaam wameshauriwa kutotumia barabara au vivuko ambavyo vimewekwa vizuizi katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha nchini....
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2024Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wizara za kisekta imeanza kufanya tathmini nchi nzima kubainisha maeneo yanayohitaji kufanyiwa maboresho...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2024KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), BengI Issa, amewataka wanawake na vijana kutumia vizuri na kwa nidhamu fedha...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2024Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatengenisha watoto mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na...
By Gabriel MushiJanuary 30, 2024MERIDIANBET inasema hivi, mechi za EPL leo zinaendelea na wewe bado una nafasi ya kukusanya maokoto yako kama wikendi hukubahatika kujipigia mkwanja...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka wizara ya mifugo na uvuvi kushirikiana na Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri kudhibiti na kutokomeza vitendo vya uvuvi...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Madiwani Wanawake wa Viti Maalum watano kujaza nafasi wazi katika Halmashauri tano za Tanzania Bara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imependekeza kwamba sheria ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani isiweke ulazima kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika kipindi cha Julai 2022 hadi Desemba...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024BENKI ya NMB imeweka rekodi mpya ya ufanisi kiutendaji kwa kutengeza faida kabla ya kodi ya TZS bilioni 775 na kupata mafanikio mengine...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024GOLD Oasis, mchezo mwingine wa sloti kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni unaokupeleka maeneo ya jangwa la Sahara. Kazi yako ni kujiunga na...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 uliopangwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia kesho tarehe 30 Januari hadi tarehe 16 Februari...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024KATIKA harakati za kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja, Serikali imedhamiria kupambana na umasikini kwa kujenga Uchumi wa Kiushindani wa Viwanda. Serikali imeweka...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024KAMISHNA wa Ardhi mkoani Arusha, Geofrey Msomsojo amezuia zoezi la utoaji hati za umiliki wa ardhi, katika eneo la ekari sita, lililopo kata...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala wamefanya kikao...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2024’ yamehitimishwa kwa mafanikio makubwa huku mdhamini mkuu wa mashindano hayo, benki ya NBC ikiahidi kuendelea...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Afisa Mkuu wa masuala ya fedha (CFO) kutoka Kampuni ya AngloGold Ashanti inayomiliki Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), Gillian Doran wiki...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (Bawacha), limesema iwapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk....
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk. Selemani Jafo wamekabidhi ...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2024Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili Roma, Italia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024IKIWA umesalia takribani mwezi mmoja kwa Chama cha ACT-Wazalendo kufanya uchaguzi wake mkuu, chama hicho kimefanya kikao cha kuteua makatibu wa mikoa na...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024MAHAKAMA Kuu Tanzania Masjala ndogo ya Manyara imetoa wito kwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline...
By Faki SosiJanuary 27, 2024MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ametoa msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa madrasa iliyopo katika msikiti wa Aisha, Kivule jijini...
By Regina MkondeJanuary 27, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameadhimisha kumbumbuku ya siku ya kuzaliwa (Birthday) kwa kushiriki kupanda miti inayotarajiwa 4720, katika eneo la ekari 35.7...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ni mfupa...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024MERIDIANBET wameendelea kurejesha kwenye jamii kama ilivyo kawaida yao huku leo hii siku ya Jumamosi wamerudi tena Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Richard Kiiza amesema kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza kasi...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri serikali kuutumia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuainisha...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko amefanya ukaguzi wa mitambo ya umeme inayokarabatiwa katika kituo cha umeme cha...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushirikiana katika uundaji na uboreshaji wa mifumo ya Tehama...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Baraza la Mapinduzi kwa kuteua mawaziri wapya...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024NMB Foundation imesaini makubaliano ya kushirikiana na asasi mbili kubwa za kiraia nchini yenye lengo la kuendeleza ustawi wa jamii na kutekeleza mipango...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024NDUGU mteja unajua kuwa sehemu sahihi ya wewe kupiga mkwanja ni moja tuu?. Basi mimi nataka kukujuza kuwa Meridianbet ndio wanaweza kukupatia mkwanja...
By Masalu ErastoJanuary 26, 2024HADITHI za kale zina mafundisho mengi sana ndani yake, baadhi ya tungo hizo zilikuwa na lengo la kubadili mitazamo ya watu na...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wasimamizi na wataalamu wa ujenzi wa Mji wa Serikali jijini Dodoma wahakikishe matarajio ya ujenzi huo yanafikiwa kama...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024SHURA ya Maimamu Tanzania, imewasilisha pongezi zake kwa Serikali ya Afrika Kusini, kufuatia uamuzi wake wa kuishtaki Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uanachama wa Chama cha Citizens Coalition for Change...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata kinara wa mtandao wa wafanyabiashara wa dawa za kulevya aina ya Cocaine....
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024ULIMWENGU huu wenye matajiri wengi bado kuna watu wanatanua na kula maisha kwa namna tofauti. Huko nchini Australia kuna mfanyabiashara mmoja na...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024KAMPUNI ya Uwindaji wa Kitalii ya EBN Hunting Safari Ltd ambayo inafanya shughuli zake katika kitalu cha uwindaji cha Hifadhi ya Jamii ya...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024WAKATI dunia ikijumuika pamoja kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Nishati Safi Serengeti Breweries Limited (SBL), sehemu ya makampuni ya Diageo, inajivunia kuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zimesaini mikataba minne ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJanuary 25, 2024Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewahakikishia wananchi wanaohama kwa hiari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo mengine nje ya...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, ambapo watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu. Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 25, 2024Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imekamilisha ujenzi wa vituo 30 vya huduma kwa jamii (Public Sanitary Service...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024HATIMAYE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetinga katika ofisi za Umoja wa Mataifa (UN), jijini Dar es Salaam, baada ya kuandamana Kwa...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024UNAAMBIWA bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024