Tuesday , 30 April 2024

Month: June 2017

Habari Mchanganyiko

Aliyeibiwa mtoto kuwaponza madaktari

ILIKUWA ni mwanzoni mwa Aprili mwaka 2017 ambapo taarifa za Asma Juma, kuibiwa mtoto katika Hospitali ya rufaa ya Temeke ziliposambaa, anaandika Hamisi Mguta....

Habari Mchanganyiko

TRA wazua kizaazaa Mwanza

SHUGHULI za kijamii na kiuchumi zimesimama jijini Mwanza, kwa zaidi ya saa sita kutokana na baadhi ya barabara za katikati ya Jiji kufungwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai atangaza ‘kufa’ na Mdee, Bulaya

Job Yustino Ndugai, Spika wa Bunge, amejiapiza kutoruhusu wabunge wanaotumikia adhabu mbalimbali kurejea Bungeni hata kama wataenda kupinga suala hilo katika mamlaka zingine...

Habari Mchanganyiko

EWURA yatangaza kushusha bei ya Mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti  wa  Huduma  za  Nishati  na  Maji (EWURA), imetangaza kuwa kuanzia tarehe Mosi Julai, 2017 bei ya mafuta itashuka kwa Sh. 37 kutokana na kushuka  kwa gharama  za usafirishaji  wa  mafuta  katika  soko...

Habari Mchanganyiko

Watafiti watakiwa kusaka mbegu ya miwa milimani

CLIFFORD Tandari, Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro amewataka watafiti wa zao la miwa kuhakikisha wanapata mbegu zinazostahimili kilimo cha milimani ili kuachana na...

Habari za Siasa

Mbunge wa Chadema azua jambo

FRANK Mwakajoka, Mbunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Songwe, amesababisha vicheko na miguno ndani ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma, baada ya kuisifia...

Habari Mchanganyiko

TLS ya Lissu yahaha kujiokoa na kitanzi

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama, ikiwa ni jitihada za kutaka kujiokoa na ‘rungu’ la serikali,...

Habari Mchanganyiko

Waliyoomba viwanja CDA kuponyeka

SERIKALI imesema kuwa kila mwananchi aliyeomba  kiwanja kwa iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuwa kiwanja chake hakitapotea baada ya mamlaka hiyo...

Kimataifa

Trump atoa masharti mapya Sudan, Somalia

UTAWALA  wa Rais Donald Trump wa Marekani umeweka masharti mapya ya maombi ya kibali ‘Visa’ kutoka kwa mataifa sita ya Kiislamu pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Wavamia kanisa watembeza ‘kichapo’, wapora

KUNDI la watu wasiofahamika,  limevamia na kuvunja Kanisa la Mwanza City Center International Church Tanzania Reveland, lililopo Butimba mkoani Mwanza na kuanza kutembeza kichapo...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika acharukia hati ya dharura

MBUNGE wa Kibamba John Mnyika (Chadema) amepinga kitendo cha rais Dk.John John Magufuli kupeleka hati ya Dharura ya kupitisha mswada wa sheria ya...

Habari za Siasa

Polepole ajibu mapigo Chadema

MUDA mchache baada ya Baraza la Wazee Chadema kujitokeza kupinga kauli ya Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya kutaka Rais Magufuli awe Rais...

Habari za Siasa

‘Mwinyi anatupeleka pabaya’

WAZEE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtaka John Magufuli, Rais wa Tanzania kujitokeza na kutoa msimamo wake kuhusu kauli ya Rais...

MichezoTangulizi

Malinzi aburuzwa mahakamani, wapo pia vigogo wa Simba

JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi...

Kimataifa

Kadinali ashtakiwa kuwanyanyasa watoto kingono

George Pell, Kadinali wa kanisa katholiki ameshitakiwa na Polisi nchini Australia kwa makosa kadhaa ya kuwanyanyasa watoto kingono, anaandika Hamis Mguta. Kadinali huyo...

Habari za Siasa

Wabunge wapewa chumba cha kunyonyeshea watoto

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewatengea wabunge wanawake wenye watoto eneo maalum la kunyonyeshea watoto wao ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha...

Elimu

La sita, la tano wasoma chumba kimoja

WANAFUNZI wa shule ya msingi Magwalisi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wanatumia chumba kimoja, kwa wakati mmoja wakati wa kufundishwa wanafunzi wa madarasa wa...

Habari za SiasaTangulizi

RITA mgomvi mpya CUF

CUF imetangaza rasmi leo kwamba Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuwa ni “mgomvi” mwingine katika mgogoro wa uongozi unaokikabili chama hicho...

Habari za Siasa

RC Makalla aishangaa Serikali kuu

AMOS Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, ameshangazwa na hatua ya serikali kuu kupeleka fedha Sh. 9.6 bilioni kwa uongozi wa Chuo cha...

Habari Mchanganyiko

Wanaobambikizia kesi wananchi kukiona

SELEMANI Jafo, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), amewataka wakuu wa mikoa na wilaya...

Kimataifa

Marekani yahaha kuwasaka wadukuzi wa mitandao

BARAZA la Usalama la Taifa jijini Washington, Marekani limesema linachunguza shambulio kubwa la kimtandao ambalo limekumba mifumo ya kompyuta duniani kote, anaandika Hamis...

MichezoTangulizi

Takukuru wafunguka kushikiliwa kwa Malinzi, Mwesigwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...

Habari za Siasa

Wanawake ACT wamvaa JPM

NGOME ya Wanawake ya Chama cha ACT –Wazalendo imemtaka Rais John Magufuli atengue kauli yake kuhusu marufuku ya wanafunzi wanaopata ujauzi kurejea masomoni...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar mguu sawa sikukuu ya Eid

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia  hali ya usalama na amani wakazi, wananchi wa jiji la Dar es Salaam katika...

Habari Mchanganyiko

Mafisadi CDA kuisoma namba

WALIOKUWA wafanyakazi waandamizi wa iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA), huenda wasipangiwe majukumu mapya katika idara na mamlaka za umma, iwapo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bashe adai mil. 200 za Magufuli

HUSSEIN Bashe, Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini, mkoani Tabora ameitaka Serikali kutoa kauli juu ya Sh. 200 milioni ambazo Disemba 2016, Rais...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli apingwa

MSIMAMO wa Rais John Magufuli kuhusu katazo la watakaopata mimba katika utawala wake kutopata haki ya kurudi shuleni imeibua mjadala mpana mitandaoni, sehemu...

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

Magufuli ‘awazima’ wanafunzi wajawazito

Rais John Magufuli amesema anaunga mkono hoja ya Mama Salma Kikwete, Mbunge wa kuteuliwa na Rais kuhusu Serikali kutoruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea...

Habari za Siasa

Mauaji Kibiti yagusa wabunge

MFULULIZO wa mauaji yanayoendelea wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani yamewatikisa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuombaratiba ya leo...

Michezo

Taifa Stars walifuata Kombe la Cosafa

KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kinaondoka leo Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini katika michuano ya kuwania...

Habari za Siasa

Rais Magufuli adanganywa mchana kweupe

KITENDO cha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtambulisha Isihaka Juma Karanda kuwa ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, ilikuwa ni kumdanganya...

Habari Mchanganyiko

Silinde awavaa matrafiki ‘wezi’

MSEMAJI wa Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni, wa masuala ya fedha na uchumi David Silinde, ameitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya askari wa...

Habari za Siasa

Meya Jacob ataka Chadema kuacha ‘ukondoo’

BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo, amewataka viongozi na wanachama...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro CUF umekwisha kweli?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia katika mgogoro zaidi. Hatua ya chama hicho kupitia kundi la viongozi wanaomtii Profesa Ibrahim Lipumba, kutangaza mabadiliko ya...

Michezo

Jamal Malinzi amlilia Ally Yanga

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha shabiki maarufu...

Habari za Siasa

Ukawa wazidi kumsulubu Ndugai, wamsusia futari

WABUNGE wa kambi ya upinzani bungeni, jana waliamua kumsusia futari, Spika wa Bunge, Job Ndugai, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka kiongozi mmoja mwandamizi...

Habari za Siasa

Lissu awaburuza kortini Ndugai na Mkuchika

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amepeleka ombi katika Mahakama  Kuu Kanda ya Dodoma, akiomba kumshtaki Job Ndugai,...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai awabagua wapinzani, wamtolea uvivu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewaagiza mawaziri kutopeleka fedha katika majimbo ya wapinzani kutokana na kuikataa bajeti kwa kupiga kura ya hapana, anaandika...

Habari Mchanganyiko

TEF: Mwakyembe amekurupuka

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa tamko la kulaani kitendo cha Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kulifungia gazeti...

Habari Mchanganyiko

Kiwanda chamuumbua Waziri Mwijage

SERIKALI imeendelea kupata kigugumizi juu ya ufufuaji wa kiwanda cha General tyre, kilichopo mkoani Arusha licha ya kutoa ahadi ya kukifufua kiwanda hicho...

Habari Mchanganyiko

Mafia walia na vifaa tiba vya watoto njiti

UONGOZI wa hospitali ya Mafia, iliyopo mkoa wa Pwani umeiomba serikali na wadau wa maendeleo kusaidia upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Wahalifu 284 watiwa nguvuni Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kukamata jumla ya wahalifu 284 katika operesheni iliyochukua siku 20, anaandika Yasinta Francis....

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar: Kipigo kwa walemavu kilikuwa halali

SIKU tatu baada Jeshi la Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuonekana wakiwaadhibu watu wenye ulemavu waliokuwa wakifanya maandamano kupinga kuzuiwa...

Habari za Siasa

Polisi yawagwaya “maninja” wa Lipumba

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limekosa ushahidi kuhusu watu waliovamia mkutano wa Chama cha Wananchi – CUF, tarehe...

Habari za Siasa

Heche atema cheche Dodoma

JOHN Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), amesema haogopi kuunganishwa katika kesi ya wananchi wa Tarime waliovamia mgodi wa North Mara kufuatia tamko...

Habari Mchanganyiko

‘Masaibu’ ya wanawake wagonga kokoto Mbeya

WANAWAKE wanaojishughulisha na uchimbaji kokoto katika kijiji cha Kibaoni kata ya Chokaa Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya wameelezea adha wanazokumbana nazo katika kazi...

Michezo

Urais wa TFF ‘patachimbika’

MBIO za kuwania nafasi Urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), zinazidi kushika kasi ambapo watu mashuhuri katika medani hiyo wanaendelea kujitokeza,...

Habari za SiasaTangulizi

Nape ataka ‘kina Lissu’ wasibezwe

NAPE Moses Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, ameitaka serikali kutopuuza hoja na ushauri unaotolewa na wabunge wa upinzani kwani ushauri...

Habari za Siasa

Ole Sosopi atupwa rumande

PATRICK Ole Sosopi, makamu mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, akituhumiwa kufanya mkusanyiko...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene awaonya ma-DC, ma-RC

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), amesema wakuu wa wilaya na mikoa wanatakiwa...

error: Content is protected !!