Friday , 24 May 2024

Month: May 2023

Elimu

CBE yaja na kozi mpya 16 zikiwemo za ujasiriamali na uvumbuzi

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuanzia mwaka wa masomo wa 2023/2024 kimepanga kuwapa wanafunzi ujuzi na maarifa muhimu katika fani za ujasiriamali,...

Habari za SiasaTangulizi

Zanzibar watangaza rasmi kuwa shamba la Razaba ni mali yao

  SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza rasmi kwamba shamba la Razaba lilipo eneo la Bagamoyo, mkoani Pwani, ni mali halali ya serikali...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Jeshi la Sudan lasitisha mazungumzo na wanamgambo wa RSF

  JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...

Kimataifa

Wakimbizi laki mbili wa Kongo, Burundi kuhemea chakula

  SHIRIKA la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP), limetangaza kuwa zaidi ya wakimbizi laki mbili waliopo nchini Tanzania, wataanza kupokea nusu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi azindua Kamati ya Maridhiano Visiwani

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Ally Mwinyi, amezindua Kamati ya Maridhiano Visiwani, yenye lengo la kuendeleza dhamira ya...

Biashara

IFC yazindua programu ya kuwawezesha wanawake kiuchumi nchini

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua mpango mpya wa kuwezesha wanawake kiuchumi ujulikanao kwa jina la...

Habari Mchanganyiko

Makamu Rais Zanzibar kuzindua mkutano wa uhisani Afrika Mashariki

  MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othamn Masoud, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa nane wa Mtandao wa uhisani Afrika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanakijiji Singida walia na mgodi

  BAADHI ya wananchi wanaozunguka kampuni ya uchimbaji madini ya Ashanta kata ya Mang’onyi wilayani hapa wamedai kutonufaika na uwekezaji wake. Anaripoti Selemani...

Afya

Ummy Mwalimu:Umeme wa uhakika tija kwa uboreshaji huduma za afya

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amepongeza juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa...

Michezo

Dk. Mkwizu: Afrika tudumishe utamaduni

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro (ALAAT), Dk. Salehe Mkwizu ameshauri nchi za Afrika kudumisha utamaduni wa bara...

Michezo

‘EONII’ kuteka tasnia ya filamu

  UZINDUZI wa Filamu ya Kisayansi ya ‘EONII’ uliofanyika Mei 29 katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, umetajwa kuwa unaenda kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa yazua mjadala

  SERIKALI iko mbioni, kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya Idara ya Usalama wa taifa (TISS), uliosheheni utata, ikiwamo kuweka kinga...

Habari Mchanganyiko

Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar chatoa mbinu za kukabiliana na majanga ya moto

  CHUO cha Taaluma ya Polisi Dae es salaam (DPA) kimeendelea kutoa elimu na mafunzo mbalimbali kwa maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo...

Habari Mchanganyiko

Wenye ulemavu waiomba MISA-TAN iwajengee uwezo wa uhuru wa kujieleza

  TAASISI ya vyombo vya Habari kusini mwa Afrika (MISA-TAN) kwa kushirikiana na wadau wa Habari wameshauriwa kuijengea uwezo jamii katika suala la...

Elimu

SUA kuhakikisha tafiti zinazofanywa zisiachwe kwenye makabati

  MRATIBU wa utafiti na machapisho katika kurugenzi ya uzamiri, utafiti wa urushaji wa teknolojia na ushauri wa kitaalam kutoka Chuo kikuu cha...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wajawazito 2000 Korogwe washiriki Marathon, Mwenyekiti UWT amsifu Jokate

WANAWAKE wajawazito zaidi ya 2000 wilayani Korogwe mkoani Tanga wameshiriki katika mbio za Mamathon ambazo zimefanyika kwa mara ya kwanza wilayani humo zilizoandaliwa...

Kimataifa

Mkutano wa Quad Hiroshima waibuka na kutafuta amani na ustawi wa Indo-Pacific

  JITIHADA za mazungumzo ya Pande Nne (Quad), hazikuthaminiwa na baadhi ya nchi kwa sababu ya ubinafsi na tamaa. Imeripotiwa na mitandao ya...

Habari Mchanganyiko

Kirigini kuzikwa leo Butiama

  MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini (1980-1985), Herman Kirigini, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi, kijijini kwao Muryaza, Wilaya ya Butiama. Anaripoti Mwandishi...

Afya

Madaktari bingwa 10 waliokuwa India warudi na shuhuda nzito kuhusu utalii tiba

MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi juu ya wakurugenzi kusimamia uchaguzi 13 Juni

  MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), imepanga kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na Bob Chacha Wangwe, dhidi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jeshi la Polisi kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika utafiti

  JESHI la Polisi Nchini limesema kuwa katika kukabiliana na mabadiliko ya sayansi na technolojia limepanga kuja na mkakati wa Pamoja kwa kushirikiana...

KimataifaTangulizi

Mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki ya Rwanda akamatwa Afrika Kusini

  MMOJA wa watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda (1994), Fulgence Kayishema, amekamatwa nchini Afrika Kusini, baada ya msako wa zaidi...

Habari Mchanganyiko

Kampeni ya Samia Legal Aid yazinduliwa Manyara, kesi 45 zapokelewa

  KAMPENI ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, imezinduliwa mkoani Manyara, ambapo mamia ya wananchi wamepatiwa huduma hiyo na wasaidizi wa kisheria...

Habari Mchanganyiko

NMB ya kwanza kuzindua Malipo kwa QR na UnionPay International

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na UnionPay International (UPI), wamezindua suluhisho la malipo ya kimtandao kupitia QR kwa wateja wao (NMB – UPI...

Kimataifa

Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini China chaongezeka

  WAKATI kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana nchini China kinazidi kuongezeka ikiwa wengine mamilioni wakikaribia kuhitimu vyuo vikuu. Imeripotiwa na ANI...

Habari Mchanganyiko

Shuwasa yaainisha maeneo yatakayotwaliwa kwa ajili ya mradi wa AFD

  MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imeainisha maeneo matatu katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambayo yatatumika kujenga...

Michezo

NBC Dodoma Marathon yazinduliwa, wakiambiaji 6,000 kushiriki

BENKI ya NBC imetangaza kufanyika kwa mbio kubwa za NBC Dodoma Marathon Jumapili tarehe 23 Julai 2023 mkoani wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari Mchanganyiko

NMB yaahidi kutoa bidhaa zinazokidhi mahitaji wanadiaspora

Benki ya NMB imeahidi kutoa bidhaa zinazokidhi mahitaji ya wanadiaspora ilikuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za ujenzi wa Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo...

Habari Mchanganyiko

Taasisi ya Wajibika yaja na muarobaini malalamiko huduma duni za afya

TAASISI ya Wajibika, imeanzisha mradi wa Afya Shirikishi mkoani Dodoma, wenye lengo la kuimarisha mifumo ya utoaji na upokeaji huduma za afya kupitia...

Habari za Siasa

Musoma Vijijini waomba ujenzi wa barabara uanze haraka

JIMBO la Musoma Vijijini, mkoani Mara, limeomba Serikali kuhakikisha ujenzi wa Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera, unaanza baraka baada ya mwaka mpya wa fedha (2023/24),...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yaanika madudu miradi ya ujenzi, moundombinu

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi juu ya uelekeo wa Serikali na mjadala unaondelea Bunge kuhusu ushirikishwaji wa sekta binafsi kwenye ujenzi wa...

Habari Mchanganyiko

Shule ya St Mary Goreti kuotesha miti 2000 Kilimanjaro

  SHULE ya sekondari St. Mary Goreti iliyoko Moshi, mkoani Kilimanjaro, imepanga kuotesha miti 2,000 mkoani humo ili kuunga mkono juhudi za Serikali...

Michezo

Rais Samia anunua tiketi 5000 Yanga vs USM Alger

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amejitoa kimasomaso kuhakikisha kuwa Yanga inashinda nyumbani dhidi ya USM Alger ya...

Habari Mchanganyiko

Fomma yakumbuka wanafunzi wa Bugiri wasioona

JAMII imetakiwa kujenga desturi ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingiramagumu kwa kuwapatia elimu na haitaji muhimu ya kibanadamu na siyo kuwanyanyasa na kuwanyanyapaa...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wanaotumia madaraka vibaya waonywa

VIONGOZI mbalimbali wametakiwa kutokutumia madaraka yao vibaya kwa ajili ya kujiufaisha wenyewe badala yake watambue kuwa nafasi walizonazo ni kwaajili ya kuwatumikia watu...

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC yazindua huduma ya NBC Connect Kanda ya Ziwa

KAMPUNI pamoja na taasisi mbalimbali ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC), sasa wanaweza kupata uzoefu mpya wa huduma...

Habari Mchanganyiko

SBL yazindua mfumo wa kufanya mauzo kiganjani kwa wasambazaji wake

  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua mfumo wa aina yake wa kufanya mauzo wenye lengo la kurahisisha na kuongeza ufanisi wa...

Habari Mchanganyiko

ITM Tanzania yaadhimisha miaka 5, serikali kuwezesha sekta ya rasilimali watu

  KATIKA jitihada za kuibua na kuhakikisha ukuaji wa vipaji vya ndani katika soko la ajira linalohitajika kila mara, serikali ya Tanzania itaendelea...

Michezo

Mwenyekiti UVCCM anogesha nusu fainali Kimwanga CUP, Hawa Abdul Rede CUP kwa kishindo

HEKAHEKA za michuano ya kuwania kuingia fainali ya michuano ya ligi ya mpira wa miguu katika ligi ya Kimwanga CUP na mashindano ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yaahidi kuunga mkono kuupaisha utalii wa Tanzania

BENKI ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono juhudi za kukuza maendeleo ya sekta ya utalii nchini ikiwa ni sehemu ya...

Elimu

Watakaopata Division One St Anne Marie Academy kupewa iphone ya macho matatu

Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie Academy, Dk. Jasson Rweikiza ameahidi kutoa simu ya iphone macho matatu kwa mwanafunzi wa kidato cha...

Habari Mchanganyiko

Vodacom, Tecno wazindua Camon 20 series, atakayenunua kuzawadiwa GB 96

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania ikishirikiana na Tecno Tanzania wamezindua simu mpya aina ya Tecno Camon 20 series iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya...

Habari Mchanganyiko

Kikwete aongoza harambee ya GGML Kili Challenge, yapatikana bilioni 1.6

JUMLA ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa harambee Ya kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa...

Habari Mchanganyiko

Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi lazinduliwa

  JUKWAA la kitaifa la kuwawezesha wanawake kiuchumi limezinduliwa ili kuliwezesha kundi hilo kufikia fursa zinazowazunguka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Uzinduzi...

Elimu

Prof. Muhongo apinga TAMISEMI kusimamia elimu

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameshauri masuala ya elimu kusimamiwa na wizara moja badala ya wizara mbili, akisema suala hilo...

Habari Mchanganyiko

USAID yasaini mkataba wa Bil. 11.8 kuiunga mkono serikali utekelezaji wa mfumo wa M-mama

  TAASISI ya Vodacom Tanzania Foundation na USAID zimesaini mkataba wa makubaliano ili kuunga mkono utekelezaji wa afya ya uzazi na mfumo wa...

Habari Mchanganyiko

ALP yazindua ripoti ya soko la Pamoja la Afrika ya Mashariki

  KAMPUNI inayojihusisha na usimamizi wa shughuli za kisheria katika nchi za Afrika ya Mashariki, ALP East Africa, imezindua ripoti inayohusu taarifa za...

Habari Mchanganyiko

NMB yajitosa uwezeshaji watalii kutoka China kutembelea Tanzania  

BENKI ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuwa benki chaguo katika kuwezesha watalii kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo China kutembelea Tanzania kwa kutoa huduma...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aibeba tena Yanga, aahidi 20 milioni kwa goli la ushindi

RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan ameibeba tena klabu ya Yanga baada ya kutangaza dau nono la Sh 20 milioni katika mechi za fainali ya...

Habari Mchanganyiko

Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi waridhishwa na kasi ya usambazaji maji

  BODI ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga-Shuwasa wameridhishwa na kasi ya miradi mbalimbali inayotekelezwa na mamlaka hiyo...

error: Content is protected !!