Sunday , 19 May 2024

Month: June 2020

Habari za Siasa

CUF yapata katibu mkuu mpya

BARAZA Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limempitisha Haroub Shamis kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Malipo ya Tasaf kufanyika kielektroniki

JOSEPHINE Joseph, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf amesema, malipo ya walengwa wa kaya masikini awamu ya pili yatafanyika kwa njia ya kielektroniki. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Petroli, dizeli bei juu

BEI ya mafuta ya Petroli na Dizeli yaliyoingizwa nchini kupitia Bandari ya Dar es Salaam, imeongezwa kuanzia kesho Jumatano tarehe 1 Julai mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amkaribisha Membe ACT-Wazalendo

KIONGOZI Mkuu (KC) wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amemkaribisha rasmi mwanadiplomasia mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, kujiunga na chama...

Habari za SiasaTangulizi

Urais Z’bar: Rais Magufuli atoa onyo kali wagombea 31, asema…

RAIS John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ameonya wanachama wa chama hicho waliojitokeza kuwania urais Zanzibar kutochafuana na kuhakikisha wanaheshimiana na...

Habari Mchanganyiko

Utapataje mtoto bila… mkeo? – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amehoji, mtu anawezaje kupata mtoto bila kusogeleana? Anaripoti Hamisi Mguta, Dodoma …...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru apuliza kipyenga ubunge, udiwani kuanzia kesho 

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk. Bashiru Ally amewatangazia wanachama wa chama hicho wanaotaka kuwania ubunge, uwakilishi na udiwani...

Habari za Siasa

Magufuli arejesha fomu, milioni 1.02 wamdhamini

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amerejesha fomu za kuwania urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....

Kimataifa

Rais mpya Malawi ateua maswahiba zake

RAIS mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera ameanza uteuzi wa watu watakaomsaidia kuendesha serikali yake wakiwemo maswahiba zake. Inaripoti itandao ya kimataifa … (endelea). Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Asasi za kiraia 272 Tanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2020 

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa vibali vya kushiriki shughuli za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kwa Asasi za Kiraia...

Habari za Siasa

Mbowe: Tunaitafuta dola ili kuleta furaha, maisha bora

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema amesema, wanakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kuitafuta dola ili...

Habari za Siasa

Chadema: Tunalichukua jimbo la Bukoba Vijijini

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kulichukua Jimbo la Bukoba vijijini pamoja na halmashauri kwa kushinda kata zote za udiwani....

Elimu

Veta Nyamidaho-Kasulu chazinduliwa, wazazi wapewa somo

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amezindua Chuo cha Ufundi Stadi Nyamidaho kilichopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma....

Makala & Uchambuzi

Prof. Lipumba ageukwa na Swahiba wake, Abas Mhunzi

ABAS Juma Mhunzi, makamu mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Zanzibar, “ameliamsha dude.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Amemtuhumu mwenyekiti wake,...

Habari Mchanganyiko

Rais wa wanafunzi Ruaha afikishwa kortini tuhuma za wizi

CHRISTOPHER Michael Mollel, aliyekuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ruaha (CDTI), anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na...

Habari za Siasa

DED alivyoomba radhi mara tatu mbele ya JPM

ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro (DED), amemuomba radhi mara tatu, Rais John Magufuli, kwa kosa...

Habari Mchanganyiko

Sh. 170,000 yamponza Hakimu, mzazi mwenzake kufikishwa kortini

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), itamfikisha mahakamani Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kilimatinde, Manyoni, Bahati Ilikunda na mzazi mwenzake, Haji...

Habari za Siasa

Msanii Vitalis Maembe ajiunga ACT-Wazalendo, atangaza kugombea Bagamoyo

VITALIS Maembe, Mwanamuziki na Mwanaharakati nchini Tanzania, amesema amejiunga na Chama cha ACT-Wazalendo kwa kuwa chama hicho kina misingi ya  kudai haki  na...

Habari za Siasa

Profesa Kabudi ‘ajitosa’ kugombea ubunge Kilosa

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ameonyesha nia ya kutaka kugombea ubunge jimbo la Kilosa mkoani...

Habari za Siasa

DC, DED Kilosa nusura ‘walale na viatu’

ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Adam Mgoy nusura watumbuliwe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

Lijualikali, Prof. J wapanda jukwaa la JPM

PETER Lijualikali, aliyekuwa Mbunge wa Kilombero (Chadema) na Joseph Haule (Prof. J), Mbunge wa Mikumi (Chadema), wamemwagia sifa Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yawadaka tisa akiwemo mtia nia Arusha CCM

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawashikilia watu tisa wakiwemo viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini waombwa kuombea uchaguzi mkuu 2020

ASKOFU wa Kanisa la Power of God lililopo eneo la Chanika, Dankon Rwaikila amewaomba watumishi wa dini kumuomba Mungu ili atuchagulie viongozi wenye...

Habari Mchanganyiko

Dawasa inavyowatua ndoo kichwani kinamama, JPM atoa neno

MRADI wa maji Kibamba – Kisarawe unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) umezinduliwa na Rais wa...

Habari za Siasa

Chadema yatoa ratiba wagombea urais, ubunge na udiwani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua zoezi la uchukuaji fomu za kugombea Urais wa Tanzania, ubunge na udiwani, katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Mgogoro wa ardhi: Rais Magufuli ampa siku 7 Waziri Lukuvi

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amempa siku saba William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amkabidhi  hati ya shamba lenye...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ampigia kampeni ‘kiaina’ Profesa Kabudi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amempigia chapuo Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwa wananchi...

Kimataifa

Trump alikoroga, atuma video ya ubaguzi Twitter

“NGUVU ya wazungu” ndio maneno ya mfuasi mmoja wa Donald Trump, Rais wa Marekani yaliyomo kwenye video ambayo (Trump) ametuma kwenye ukurasa wake...

Habari za Siasa

Nyalandu: Nitafanya mabadiliko Tanzania, Chadema

LAZARO Nyalandu, mtia nia wa urais wa Tanzania ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, akipewa nafasi ya Rais wa Jamhuri...

Afya

Mwongozo uvaaji barakoa wanafunzi Tanzania watolewa

SERIKALI ya Tanzania imetoa mwongozo wa namna wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari, watakavyokabiliana na ugonjwa wa homa kali ya...

Habari za Siasa

Mwanamke wa tano achukua fomu Z’bar kugombea urais  

MAUDLINE Cyrus Castico, Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto Zanzibar, amekuwa mwanachama wa 32 kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar,...

Kimataifa

Mutharika alia kupokwa ushindi

CHAMA tawala cha Democratic Progressive Party (DPP), kinachoongozwa na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Peter Mutharika, kimelalamika kupokwa ushindi wake na chama cha upinzani cha Malawi...

Habari za Siasa

Kigogo CUF yamemkuta, asimamishwa

BARAZA Kuu la Uongozi la Chama Cha Wananchi (CUF) limetangaza kumsimamisha uongozi, Makamu Mwenyekiti wake Zanzibar, Abbas Juma Muhunzi kwa kukiuka Maadili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Alute: Hakuna kikwazo Lissu kugombea urais akiwa ughaibuni

TUNDU Antipas Lissu, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), aweza kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, “hata kama bado yuko...

Habari Mchanganyiko

Mitihani kidato cha sita kuanza kesho, Necta yatoa onyo

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limewaonya wamiliki wa shuke kuingilia majukumu yanayotendeka ama kufanywa katika mitihami ya kidato cha sita na ualimu inayotarajiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kugombea urais: Maalim Seif atua mzigo Z’bar

KITENDAWILI kwamba Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo atagombea urais visiwani Zanzibar, amekitegua leo. Anaripoti Faki Sosi, Zanzibar…(endelea). Amesema, kutokana...

Habari za Siasa

‘Ishu’ ya Jokate: JPM awapasua mbavu Kisarawe

RAIS John Magufuli amewataka wakazi wa Kisarawe ‘kuchangamkia fursa’ ya kumoa Jokate Mwegelo, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza katika...

Habari za SiasaTangulizi

Kali ya mwaka: JPM atumbua, ateua hapo hapo

RAIS John Magufuli amemtumbua hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe (DAS ), Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi kushika nafasi hiyo hapo...

KimataifaTangulizi

Upinzani washinda Urais Malawi

LAZARUS Chakwera, Kiongozi wa upinzani nchini Malawi, ameibuka mshindi wa Urais katika uchaguzi wa marudio nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa msaada wa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ampigia simu Majaliwa, atoa maagizo kwa mkandarasi

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemuagiza mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation kutoka China aliyesaini mkataba wa ujenzi wa...

Michezo

Simba bado mbili, Yanga yaishusha Azam FC

MICHEZO nane imechezwa leo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo klabu ya Yanga imefanikiwa kuishusha Azam FC kwenye msimamo baada ya kuibuka na...

Michezo

Yanga mguu sawa kuikabili Kagera

USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kikosi cha Yanga kimejiimalisha kuikabili Kagera Sugar, katika...

Michezo

Simba washindwe wao tu, mashabiki waruhusiwa kusherekea ubingwa

SERIKALI kupitia Baraza la Michezo Tanzania (BMT), imeruhusu mashabiki kuingia uwanjani katika mchezo kati ya Tanzania Prisons na Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa...

Habari za SiasaTangulizi

Naibu Spika ajitosa Urais Z’bar, wagombea wafikia 31

MGENI Hasaan Juma, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yapangua safu ya viongozi Arusha

BRIGEDIA Jenerali John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), amepangua vituo vya kazi vya maafisa sita...

Tangulizi

Bosi Takukuru azungumzia walipofikia sakata la Chadema

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru), imekamilisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi wajinoa Dodoma

CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimejifungia jijini Dodoma, tayari kunoa makada wake muhimu watakaoshriki uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa Oktoba mwaka...

Michezo

Biashara kuipa ubingwa Simba kama Chelsea dhidi ya Liverpool?

HUWENDA ubingwa wa Simba ukaamuliwa na Biashara United, kama ilivyokuwa kwa Liverpool kuamuliwa ubingwa na Chelsea baada ya kumfunga Manchester City kwa mabao...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: 15 warejesha fomu CCM, waliojitosa 30

WANACHAMA 15 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamerudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Chief Yemba ajitosa Urais Tanzania, sita wajitosa Z’bar

CHIEF Lutalosa Yemba, amejitosa katika mbio za urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Wananchi (CUF) huku wanachama watano wa chama hicho, wakijitokeza upande...

error: Content is protected !!