Sunday , 19 May 2024

Month: February 2021

Michezo

Bumbuli huru, ashinda rufaa yake

  AFISA habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli ameshinda rufaa yake mara baada ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na masuala ya mpira...

Habari za SiasaTangulizi

Jina la mrithi wa Maalim Seif, lafikishwa kwa Rais Mwinyi

  KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, chama chake, tayari kimekabidhi kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, jina...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif, siri nzito

  MCHAKATO wa kumtafuta mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais Visiwani, umemalizika. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yavimbia wakandarasi, ‘yarejesha’ mil 420 Tanesco

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imerejesha vifaa ghafi vya umeme vyenye thamani ya zaidi Sh. 420 milioni kwa...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Uholanzi, Uturuki ‘waingia’ vitani

  BUNGE nchini Uholanzi, limepitisha muswaada unaoelekeza serikali ya nchi hiyo, kuyatambua mauaji ya Waarmenia, yaliyofanyika wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amuapisha Katibu Mkuu Kiongozi mpya

  DK. Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameapishwa rasmi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Nilipata taarifa za uteuzi mitandaoni

  DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu Kiongozi amesema, taarifa za kuteuliwa kwake, kwa mara ya kwanza alizipata kupitia mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Kimataifa

Mauaji ya Jamal Khashoggi, CIA yaivua nguo Saudia Arabia

  RIPOTI mpya iliyotolewa na shirika la kijasusi la Marekani (CIA), imemtaja mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia Arabia, Mohammed Bin Salman,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amteua Dk. Bashiru kumrithi Balozi Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaan … (endelea). ...

Habari za SiasaTangulizi

Saa 48 baada ya Maalim Seif kuzikwa

  Saa 48 baada ya kuzikwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makwamu wa Kwanza wa Rais, wa Serikali visiwani Zanzibar, Taifa...

Michezo

Manchester United kuivaa AC Milani, 16 bora Europa

  KLABU ya Manchester United itavaana na AC Milan kwenye hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Europa baada ya kuchezeshwa kwa...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro: Hatufungui kesi za madai, migogoro ya ardhi

  INSPEKETA wa Jeshi la Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro ameema, ili kupunguza mrundikano wa mahabusu vituoni, hawafungia kesi za madai na...

Habari Mchanganyiko

Panyabuku waanza kubaini TB

  WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imeanza kutumia teknolojia ya panyabuku, kubaini ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), kwa sampuli za wagonjwa wenye dalili...

Habari za SiasaTangulizi

Manispaa Temeke matatani, Magufuli aagiza uchunguzi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amenusa ufisadi wa Sh.19 bilioni, Manispaa ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam na kuagiza Taasisi ya...

Michezo

Poulsen awabakisha Mgunda, Matola Taifa Stars

  KIM Poulsen, kocha mpya wa Taifa Stars amelibakisha benchi lote la ufundi lilokuwa likitumiwa na Ettienne Ndayilagije wakiwemo makocha wasaidizi Selamani Matola...

Michezo

Kim awarudisha Yondani na Kessy Taifa Stars

  KOCHA mkuu wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen ameita jumla ya wachezaji 43 watakao ingia kambini...

Habari za SiasaTangulizi

Mafao ya wastaafu: Magufuli awanyooshea kidole mawaziri “hamuwasiliani”

  TATIZO la wastaafu nchini Tanzania, kuchelewa kulipwa mafao yao, linasababishwa na baadhi ya mawaziri kutowajibika ipasavyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Afya

COVID-19: Waziri Gwajima ‘matamko yametosha’

  DAKTARI Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania amesema, matamko kuhusu magonjwa ya kuambukiza ikiwemo...

Habari Mchanganyiko

Kigogo wa KKKT Kaskazini afariki dunia

  ARTHUR Shoo, Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, amefariki dunia jana Alhamisi usiku, tarehe 25...

Michezo

Namungo yafuzu makundi, yakubali kipigo bao 3-1

  LICHA ya kupoteza kwa mabao 3-1, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Costo De Agosto...

Michezo

Kim Poulsen kutangaza kikosi cha Stars

  KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen anatarajia kutangaza kikosi chake kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi dhidi...

Makala & Uchambuzi

Kuvunjwa kwa Jiji la Dar giza nene latanda

  RAIS John Magufuli, ametangaza kuivunja halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, kuanzia Jumatano iliyopita, tarehe 24 Februari mwaka huu. Amesema, hatua...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatangaza mchakato mrithi wa Halima Mdee

  BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limetangaza mchakato wa kuwapata viongozi wake ngazi ya juu, ikiwemo ya mwenyekiti...

Habari za Siasa

Mkurugenzi Jiji la Dar, ahamishiwa Kinondoni

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amempangia kazi, Sipora Liana kuwa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam kuanzia leo Alhamisi, tarehe...

Elimu

Shule ya Kandwi Z’bar yapata neema

  BENKI ya Exim imetoa Sh.10 milioni kwa taasisi ya Asma Mwinyi Foundation (AMF), kwa ajili ya kuwezesha ununuzi wa vifaa vya ujenzi...

Habari za SiasaTangulizi

Sita wadakwa kwa utakatishaji fedha Bil 4.78

  WATU sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa madai ya utakatishaji fedha kiasi cha Sh. 4.78...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Hatuchukii kukosolewa, ila kosoeni kwa staha

  RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, serikali yake haikasirishwi na vyombo vya habari vinavyoikosoa, lakini ukosoaji huo, ni sharti uwe...

Kimataifa

Marekani yafanya ‘uchochezi,’ yawaonya wanaokuja Tanzania

  SERIKALI ya Marekani nchini Tanzania, imeonya wasafiri wanaotaka kutembelea taifa hilo kutofanya hivyo, kufuatia kuwapo kwa maambukizi makubwa ya virusi vya Corona....

Michezo

Waziri Bashungwa aitaka CCM kuwekeza kwenye michezo

  WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwekeza kwenye michezo kwa kuwa inamiliki asilimia kubwa...

Habari

Magufuli aomba wimbo wa Prof Jay, acheza

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameonesha kufurahishwa na wimbo ya Joseph Haule maarufu Profesa Jay, na kutaka upigwe ili asikilize na kutazama....

Habari za Siasa

Zungu amwambia JPM ‘barabara ni mbovu’

  MUSSA Azzan Zungu, Mbunge wa Ilala amesema licha ya manispaa hiyo kupandishwa kuwa Jiji, kuna barabara mbovu. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari

Mwili wa Profesa Ndulu kuzikwa Dar leo

  MWILI wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), unazikwa leo Alhamisi tarehe 25 Februari 2021, katika...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yamwachia huru Mdee

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Mdee. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli alivunja Jiji la Dar, watumishi wake…

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ameivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa...

Habari za Siasa

JPM: Sitaki kisingizio cha corona

  RAIS John Magufuli ametaka miradi mbalimbali nchini kukamilika kwa wakati, na kwamba hataki kusikia imesimama kwa sababu ya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Kituo cha mabasi Magufuli, Daraja la Kijazi yaziduliwa

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amezindua Daraja la Juu la Ubungi na Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi, Mbezi...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi walilia madarasa Mtwara, Silinde awajibu

  WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Mpowora, Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, wameiomba Serikali kuwajengea madarasa kwani yaliyopo ni mabovu na yanahatarisha...

Kimataifa

Balozi aliyeuawa Congo, mwili warejeshwa Roma

  MWILI wa Luca Attanasio, aliyekuwa Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umerejeshwa Roma nchini humo kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Magufuli akumbusha machungu ya Waziri Mkuu Pinda

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amekumbusha ‘machungu’ ya Mizengo Pinda, aliyekuwa Waziri Mkuu katika Serikali ya awamu ya nne kuhusu bomoabomoa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

  JIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania, linatarajiwa kuvunjwa ili kuokoa fedha zinazotumika kuendesha jiji hilo wakati halina miradi ya maendeleo na...

KimataifaMichezo

Tiger Wood apata ajali mbaya, alazwa ICU

  MCHEZAJI namba moja wa gofu duniani, Tige Wood amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Los Angeles, Marekani. Inaripoti Aljazeera …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli anazindua Daraja la Juu la Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, leo Jumatano tarehe 24 Februari 2021, amezindua Daraja la Juu la Ubungo, jijini Dar es Salaam,...

MichezoTangulizi

Simba yaweka rekodi dhidi ya kocha wa Al Ahly

  USHINDI wa bao 1-0, dhidi ya Al Ahly walioupata Simba kwenye uwanja wa Mkapa, mchezo wa kundi A wa Ligu ya Mabingwa...

MichezoTangulizi

Simba yaifanyia mbaya Al Ahly

  BAO pekee la Luiz Miquison lilitosha kuiangamiza Al Ahly kwenye mchezo wa kombe la Ligu ya Mabingwa Afrika, katika mchezo uliofanyika kwenye...

Habari Mchanganyiko

LSF, NGO’s zajadili mfumo upatikanaji haki Tanzania

  SHIRIKA linalofanya kazi ya kukuza upatikanaji wa haki nchini Tanzania, kupitia uwezeshaji wa kisheria (LSF), linaendesha mkutano wa siku mbili kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa maagizo kwa wazazi, walezi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wazazi na walezi wahakikishe wanawapunguzia watoto majukumu ya nyumbani na kuwawezesha kupata muda wa kujisomea...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango: Nililetwa hospitali na mtungi wa Oksijeni

  DAKTARI Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, ameeleza namna alivyokabiliana na tatizo la upumuaji, kwamba alifikishwa hospitali akiwa na...

Habari za Siasa

Uwekezaji si lazima pesa nyingi – Dk. Kitila

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwekeza, kwa kuwa uwekezaji si lazima kuwa na pesa nyingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari Mchanganyiko

Corona: Bila kutimiza masharti haya, hupandi mwendokasi

  WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), umetoa maelekezo kwa abiria wanaotumia usafiri huo jijini Dar es Salaam, wa namna bora ya kujikinga...

Kimataifa

Balozi wa Italia auawa DRC

  LUCA Attanasio, Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ameuawa katika shambulio lililolenga magari ya Umoja wa Mataifa (UN)....

error: Content is protected !!