Sunday , 19 May 2024

Month: October 2017

Habari Mchanganyiko

Wakandarasi wazawa waililia serikali

VYAMA vya wakandarasi vya Contractors Association of Tanzania, Tanzania Civic Engineering Contractors na Association of Citizen Contractors, wameiomba serikali iendelee kutoa fursa za...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aachiwa kwa dhamana, akamatwa tena, sasa takwimu

KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo ameachiwa kwa dhamana alipokuwa anahojiwa katika kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi,...

Habari za SiasaTangulizi

Sababu za kukamatwa Zitto hizi hapa

JESHI la Polisi linaendelea kumshikiria Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa mahojiano kwa kosa ya kutoa...

Habari za Siasa

JPM atangaza vita na wakuu wa mikoa

RAIS John Magufuli ametangaza vita na wakuu wa mikoa watakaoshindwa kuweka mikakati na mipango ya kujenga viwanda katika maeneo yao ili kuendana na...

Makala & Uchambuzi

Lazaro Nyalandu hakamatiki

KILICHOITWA na watawala, “Operesheni Tokomeza” iliyoishia kujiuzulu kwa waziri mmoja na kufutwa kazi mawaziri watatu wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yaweza kuwa...

Habari Mchanganyiko

Taasisi ya Tulia Ackson yatembeza bakuri kwa wadau

TAASISI ya Utamaduni wa Ngoma za Asili ( Tulia Traditonal Dances) imewaomba wadau mbalimbali waliosaidia kufanikisha tamasha lao kufanya hivyo tena kwa mwaka...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli amwaga Sh. bilioni 9  Mwanza

RAIS  John Magufuli ameagiza zitolewa Shilingi bilioni tisa kwa ajili ya upanuzi wa  uwanja wa ndege wa Jiji la Mwanza, anaandika Moses Mseti....

Habari Mchanganyiko

Ujenzi soko la Sabasaba Morogoro wageuka kitendawili

HALMASHAURI  ya Manispaa ya Morogoro imeombwa kuweka wazi na kuanza mapema ujenzi wa soko kuu jipya la kisasa, anaandika Christina Haule. Soko hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu aitosa CCM, haridhishwi na serikali ya Magufuli

MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejiuzulu nafasi hiyo na kujiondoa CCM kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa siasa nchini, anaandika Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mkandarasi wa barabara ‘awachefua’ Madiwani Morogoro

MWENYEKITI  wa  Kamati ya Mipango Miji katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro,  Amir Nondo ameiomba iundwe kamati maalum kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Mwanza akamatwa asimwage mboga mbele ya Rais Magufuli

MEYA wa Jiji la Mwanza, James Bwire amekamatwa na jeshi la Polisi muda mchache kabla ya kutoa salamu zake kwa Rais John Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe aivuruga tena serikali

KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kupika takwimu juu ya kupanda kwa pato la taifa, anaandika Faki Sosi. Akizungumza...

Habari Mchanganyiko

Polisi ‘vibaka’ wapewa neno

TUME y a Haki za Binadamu na Utawala Bora Nchini, imelionya Jeshi la Polisi na kulitaka kuagiza askari wa jeshi hilo kurudisha mali...

Kimataifa

Makamu wa rais mpenda anasa atupwa jela

MAHAKAMA nchini Ufaransa imemhukumu makamu wa rais wa Equatorial Guinea, Teodorin Obiang kifungo cha miaka mitatu jela ambacho kimeahirishwa. Obiang 48, hufahamika sana...

Kimataifa

Rais Nkurunzinza aichomoa Burundi ICC

NCHI ya Burundi imekuwa ya kwanza kwa Afrika Mashariki kujiondoa uanachama katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC). Serikali ya taifa...

Habari Mchanganyiko

Mawasiliano ya barabara Dar mikoani yarejea

MAWASILIANO ya barabara kati ya jiji la Dar es Salaam na mikoani imerejea leo baada ya magari kuanza kupita katika daraja la Kiluvya...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa Kikwete asema Tanzania hapafai kufanyia siasa

GOODLUCK ole Medeye, aliyepata kuwa naibu waziri katika serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameibuka na kusema mazingira ya sasa nchini hayafai kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Hukumu ya Sheikh Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Rufaa imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda baada ya jaji kutokamilisha kuiandika, anaandika Faki Sosi....

Habari Mchanganyiko

Waziri wa Nishati ‘amtoa kafara’ mtumishi Tanesco

WAZIRI wa Nishati na Madini, Merdad Karemani amemtoa  ‘kafara’ meneja uendeshaji wa mtambo wa kufua umeme wa Kidatu mkoani Morogoro kufuatia nchi kuingia...

Habari Mchanganyiko

Mvua zaleta balaa Dar, Pwani

MVUA zinazoendelea kunyesha kuanzia jana mchana zimeanza kuleta madhara baada ya daraja la Kiluvya linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kukatika....

Habari MchanganyikoTangulizi

Lulu afikwa maji ya shingo kesi ya Kanumba

WAZEE wa Baraza la Mahakama Kuu ya Tanzania wametoa maoni yao yanayotarajiwa kutoa tawsira ya hukumu ya kesi ya  msanii wa maigizo  Elizabeth...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Luu yafika patamu Dar

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepokea ushahidi wa mganga  wa tiba mbadala Josephine Mushumbusi aliyekuwa akimtibu Steven Kanumba matatizo ya moyo,...

Tangulizi

Serikali yatangaza bomoa bomoa Dar-Arusha

KAMPUNI ya Reli (TRL), imetangaza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kando kando mwa reli inayotoka Dar es salaam, Moshi  hadi jijini Arusha, anaandika Angela...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jinamizi lamkalia Diallo uenyekiti CCM  Mwanza

JINAMIZI la kisiasa limezidi kumkalia kooni mwenyekiti wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Antony Diallo baada ya kuibuka tuhuma...

Kimataifa

Majaji Kenya wakimbia mahakama ya juu

HAKAMA ya Juu Nchini  Kenya imeshindwa kusikiliza na kutoa maamuzi katika kesi ya kupinga kufanyika uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika kesho kutokana na...

Habari Mchanganyiko

Sura halisi ya Mwakyembe sasa inaonekana

Na Saed Kubenea DK. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa amri ya kuzuia uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, kwa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafunga magazeti 3 kwa mwezi mmoja

UHURU wa vyombo vya habari hapa nchini umezidi kuingia matatani baada ya leo serikali kulifungia gazeti la kila siku la Tanzania Daima kwa...

Habari Mchanganyiko

‘Watu wasiojulikana’ wapiga hodi polisi

JESHI la Polisi Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kufanya msako kuwasaka watu waliofanya mauaji ya askari polisi aliyeokotwa juzi akiwa...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Kenya washikiliwa na Mahakama

UCHAGUZI  Mkuu Nchini Kenya upo mashakani kufanyika Oktoba 26 kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo, (IEBC),  baada ya...

Habari Mchanganyiko

DC  atangaza vita na askari waliopiga raia

MKUU wa wilaya ya Ilala,  Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua askari wanaodaiwa kuwapiga wananchi katika eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es...

Habari MchanganyikoMichezo

Josephine Mushumbusi atajwa kesi ya Lulu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka askari aliyerekodi ushahidi wa Josephine Mushumbusi kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Elizabeth Michael...

Habari za SiasaTangulizi

Ikulu yatuhumiwa

IKULU ya Tanzania, kupitia ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, imewaandikia wafanyakazi wa iliyokuwa kampuni ya uchapishaji ya Printpak (T) Limited kuwaeleza kwamba suala...

Habari za Siasa

Polisi wamng’ang’ania Kigaila, anyimwa dhamana

BENSON Kigaila, Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema ametupwa rumande baada ya kukosa dhamana alipojisalimisha kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum...

Habari MchanganyikoMichezo

Lulu: Kanumba alijiangusha chumbani

MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael au Lulu, atawasilisha utetezi mahakamani dhidi yashitaka la kuua bila ya kukusudia kwa kutumia mashahidi watatu, anaandika...

Afya

Wizara ya Afya yapokea mashine 100 za saratani

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amepokea mashine 100 za tiba mgando (cryotherapy), mashine tisa za...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge wa CCM aikosoa serikali ya JPM

MBUNGE mstaafu wa Chama cha Mapinduzi, Omar Mjaka Ali, amesema serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inahitaji kuokolewa kwa sasa imepotea na kupoteza...

Habari za SiasaTangulizi

Mwigamba amsikitisha Zitto Kabwe

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza masikitiko juu uongo uliotumiwa na walikuwa wafuasi wa chama hicho, Samson Mwigamba na wenzake kuwa chama...

Elimu

Matokeo ya darasa la 7 haya hapa, shule za serikali hoi

BARAZA la Mitihani Taifa NECTA limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2017, na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa 2.4% ukilinganisha na...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Daktari wa Kanumba afunguka mazito kesi ya Lulu

MAHAKAMA ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri kwenye kesi inayomkabili msanii wa filamu, Elizabeth Michael...

Habari Mchanganyiko

Wauzaji kuku Singida wapaza sauti

WAFANYABIASHARA wa soko la kuku mkoani Singida wameiomba Serikali kuangalia na kuboresha upatikanaji wa masoko ya uhakika hapa nchini, anaandika Christina Haule. Ombi...

Habari Mchanganyiko

Waziri Kindamba ‘apigia chapuo’ TTCL kwa SUA

OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amewaomba Watanzania kutumia kampuni hiyo kwa mawasiliano kwa kuwa hivi sasa huduma...

Kimataifa

Rais Trump awachefua watangulizi wake

MARAIS wawili wa zamani nchini Marekani wameonyesha wasiwasi wao kuhusu hali ya kisiasa nchini humo bila kumtaja kiongozi wa sasa wa taifa hilo...

Kimataifa

Tume ya Uchaguzi Kenya yazidi kusambaratika.

OFISA Mkuu Mtendaji wa Tume ya Uchaguzi Nchini Kenya, Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marudio...

Habari za Siasa

Serikali kuvuna 50 kwa 50 kwenye dhahabu

HATIMAYE mazungumzo kati ya Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold kuhusu sekta ya madini yaliyodumu kwa takribani miezi mitano yamehimitishwa jijini Dar es...

Makala & Uchambuzi

Wananchi hawali takwimu, wanakula uchumi

Na Saed Kubenea MSEMAJI wa serikali, Dk. Hassan Abass, amekana madai kuwa uchumi wa taifa unayumba, mfumuko wa bei umeongezeka na mifuko ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Kesi ya Lulu yaunguruma, mdogo wa Kanumba atoa ushahidi

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya mauaji ya bila kukusudia, inayomkabili msaanii wa filamu nchini, Elizabeth...

Habari Mchanganyiko

Wamarekani wamwaga vyandarua kwa wajawazito Mwanza

WAJAWAZITO nchini wametakiwa kuwa na utamaduni wa kupima afya zao na kuhakikisha wanapata chanjo ya ugonjwa wa malaria ili kujikinga wao pamoja na...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kuanika wabaya wake

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anatarajiwa kuhutubia kupitia mkanda wa video utakaorushwa na vituo mbalimbali vya kimataifa vya televisheni, ndani ya...

Habari za SiasaTangulizi

Picha za kwanza ya Tundu Lissu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kusambaza picha ya Tundu Lissu kama alivyoahidi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mbele ya waandishi...

Habari za Siasa

Takukuru yakunjua makucha kwa makada wa Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, amehojiwa na Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...

error: Content is protected !!