Sunday , 19 May 2024

Month: May 2021

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro ateua kamanda mpya Dar

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania, IGP Simon Sirro, amefanya mabadiliko madogo ya Makamanda wa Polisi, ikiwemo kumhamisha aliyekuwa Kamanda wa Jeshi...

Habari Mchanganyiko

Mifumo majitaka Dodoma kufumuliwa

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa), iko mbioni kufanya upanuzi wa mifumo ya majitaki, ili kukidhi kasi ya ukuaji...

Habari Mchanganyiko

Bil. 40 kupunguza uhaba wa mbegu

  SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia Sh. 40 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji, kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbegu...

Habari Mchanganyiko

Bulaya alilia mradi wa maji uliokwama miaka 13

  MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Ester Bulaya, amehoji lini Serikali itapeleka maji katika vijiji vilivyopitwa na Mradi wa Maji wa...

Afya

Zahanati zachelewa kufunguliwa kisa uhaba wa watumishi

  MBUNGE wa Kilwa Kaskazini (CCM), Francis Ndulane, amesema uhaba wa watumishi wa umma, unasababisha baadhi ya zahanati jimboni humo, kuchelewa kufunguliwa. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Beki wa zamani wa Liverpool atua Ikulu Zanzibar

Beki wa zamani wa Liverpool na klabu ya Crystal Palace kwa sasa Mamadou Sakho amekutana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...

Habari za Siasa

Sh. 6 Bil. kujenga nyumba za viongozi Dodoma

  SERIKALI ya Tanzania, imesema itatumia Sh. 6.0 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, katika makao makuu ya nchi,...

AfyaHabari Mchanganyiko

Hospitali ya Rorya kuanza upasuaji Desemba 2021

  SERIKALI ya Tanzania imesema, Hospitali ya Halmashauri ya Rorya mkoani Mara, inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Desemba 2021. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...

Habari za Siasa

Ubadhirifu watawala mikopo ya halmashauri, Serikali kuja na kibano

  SERIKALI ya Tanzania, imesema iko mbioni kuanzisha utaratibu wa kutoa vifaa badala ya fedha, katika mikopo inayotolewa na halmashauri, kwa vikundi vya...

Michezo

Carlinhos avunja mkataba Yanga, asepa zake

  UONGOZI wa klabu ya Yanga umethibitisha kuvunja mkataba na kiungo wake Raia wa Angola, Carlos Stenio Fernandes ‘Carlinhos’ mara baada ya makubaliano...

Habari za Siasa

Ateuliwa, atumbuliwa kabla ya kuapishwa

  SAA 48 kabla ya Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) kuapishwa, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad....

Habari za Siasa

Siku 14 za Wambura kufikia U-DCI, Rais Samia…

  NYOTA ya Camilius Wambura, ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, imeendelea kung’aa, baada ya Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, kumpandisha...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua ‘Boss’ mpya FCC, WCF

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua watendaji wakuu katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua Ma-RAS, wapya 11

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 29 Mei 2021, amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Watatu mbaroni tuhuma za mauaji

  WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuuwa Elizabeth Mwaike. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aweka kambi Shinyanga

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameendelea na utekelezaji wa operesheni mpya ya chama hicho, iliyozinduliwa hivi karibuni...

Habari za SiasaTangulizi

Walimu wageuza madarasa nyumba za kuishi

  BAADHI ya walimu katika Shule ya Msingi Mwachambia mkoani Singida, wamelazimika kugeuza madarasa kuwa nyumba za kuishi. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es...

Habari za Siasa

Wilaya za Kagera, Kigoma kuunda mkoa wa Chato

  KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC), imependekeza baadhi ya wilaya katika mikoa ya Kagera na Kigoma, zichukuliwe kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa ataka mikakati kuitangaza Serengeti

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Wwatendaji katika Sekta ya Utalii waweke mikakati ya kuitangaza Mbuga ya...

Habari za Siasa

Madiwani Chamwino walia uhaba kondomu za kike

  BAADHI ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wameuomba uongozi wa halmashauri hiyo, usambaze kondom za kike , ili kulilinda kundi...

Habari Mchanganyiko

Sakata mahindi yenye sumu lawaibua TPSF

  SAKATA la kuzuiwa kwa mahindi yaliyodaiwa kuwa na sumu kuvu, katika mpaka wa Namanga mkoani Arusha, unaounganisha nchi ya Kenya na Tanzania,...

Habari Mchanganyiko

Tumthamini mwanamke, kulinda utu wake

  WAKATI leo tarehe 28 Mei 2021, dunia ikiadhimisha siku ya hedhi, bado jamii inahitaji uelewa mpana kuhusu suala zima la hedhi salama...

MichezoTangulizi

Chama, Onyango ‘out’ dhidi ya Namungo

  Wachezaji watatu wa klabu ya Simba Josh Onyango, Clatous Chama na Ame Ibrahim watakosekana kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Namungo kocha...

Habari Mchanganyiko

Spika ashangaa vijiji kukosa umeme

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameshangazwa na kitendo cha Tarafa ya Mungaa, iliyoko katika Jimbo la Singida Mashariki, mkoani Singida,...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na mjumbe wa UN

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Phumzile Mlambo-Ngouka, kuhusu...

Elimu

Majaliwa atoa maagizo NACTE

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), liongeze juhudi katika usimamizi wa taasisi na...

Michezo

Dilunga aondolewa kikosini Stars, Mudathiri ajumuishwa

KIUNGO wa klabu ya Simba Hassan Dilunga ameondolewa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) mara baada ya jina lake...

Michezo

27 waitwa kambini Stars, kuingia kambini Juni 5

  KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 27 kitakachoingia kambani tarehe 5 Juni, 2021...

Habari za SiasaTangulizi

Ole Sabaya akamatwa

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, ametiwa mbaroni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Kigogo Bandari aliyetoroka, apandishwa kizimbani kwa utakatishaji fedha

  ALIYEKUWA Mhasibu katika Bandari ya Kigoma, Madaraka Robert Madaraka, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, kwa tuhuma za utakatishaji fedha na...

Habari Mchanganyiko

Tuhuma za rushwa: Mwenyekiti CCM akwepa jela, alipa faini

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Maisaka mkoani Manyara, Bakari Yangu, amekwepa kifungo cha miaka miwili gerezani, kwa kulipa faini...

Habari za SiasaTangulizi

Ubadhirifu wa Bil 1.67, wang’oa vigogo 11 wizara ya fedha

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi vigogo 11 wa Wizara ya Fedha na Mipango, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, za matumizi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Zuio NGOs kuishtaki Serikali Afrika: Samia aonesha matumaini

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la kuitaka Tanzania ibadili msimamo wake, wa kujitoa kwenye azimio linaloruhusu Mashirika Yasiyo ya...

MichezoTangulizi

Ligi Kuu Bara kusimama wiki mbili

   Mara baada ya kukamilika kwa mchezo wa tarehe 3 Juni, 2021 kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara...

Habari za Siasa

Dk. Mpango atoa maagizo Wizara ya Kilimo

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Kilimo, ichukue hatua za haraka kukabiliana na changamoto zinazorudisha nyuma sekta...

Habari za Siasa

Mabadiliko tabia ya nchi tishio EAC

  WATAALAM wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekutana jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za mabadiliko ya...

Afya

Mfumo kudhibiti vifo vya wajawazito waja

  WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatarajia kuanzisha mfumo wa ufuatiliaji taarifa za wajawazito, ili kupunguza vifo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awachongea maafisa Takukuru kwa Rais Samia

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua maafisa wa Taasisi ya Kuzuia...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wanaume wasitengwe fursa za kiuchumi

  MBUNGE wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro (CCM), Priscus Tarimo, ameiomba Serikali iweke mipango ya kuwawezesha wanaume kiuchumi, kama inavyofanya kwa wanawake, vijana...

Michezo

Zidane aondoka Real Madrid

  KOCHA wa klabu ya Real Madrid amechukua maamuzi ya kuachana na klabu hiyo mara baada ya kumaliza kwa msimu huu wa Ligi...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ashauri taasisi huru ziundwe kuidhibiti Serikali

  MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mhandisi Mwanaisha Ulenge, amesema kuna haja ya nchi kuwa na taasisi huru, iitakayodhibiti utendaji wa wizara...

Elimu

Kilio darasa la saba kunyimwa ajira serikalini chafikishwa bungeni

MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Nusrat Hanje, amefikisha bungeni kilio cha wahitimu wa darasa la saba, wanaosoma katika Vyuo vya Ufundi...

Habari za Siasa

Ujambazi waibuliwa bungeni, Majaliwa atoa kauli

  MBUNGE wa Makete mkoani Njombe (CCM), Festo Sanga, amehoji kauli ya Serikali kuhusu kukithiri vitendo vya ujambazi katika majiji nchini. Anaripoti Nasra...

MichezoTangulizi

Klabu zenye madeni kutoshiriki Ligi Kuu msimu ujao

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeelezeka kuwa klabu yoyote ambayo inadaiwa na wachezaji haitoweza leseni na kushiriki michuano mbalimbali msimu...

Tangulizi

Chadema yabadili upepo, Mbowe ataja mikakati mipya

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeamua kuachana na siasa za kiharakati, badala yake kinakuja na siasa shirikishi. Anaripoti Nasra Bakari, DMC…(endelea...

MichezoTangulizi

Azam FC waitaka Simba nusu fainali

  MARA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1, dhidi ya Rhino Rangers kocha msaidizi wa Azam FC vivie Bahati anaitaka klabu...

Habari Mchanganyiko

Bajeti ya ardhi 2021/22 yapungua kwa 64.2%

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema bajeti ya maendeleo katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

Habari za Siasa

Bunge lahofia mwenendo upatikanaji fedha za bajeti

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema kusuasua kwa mwenendo wa utoaji fedha za bajeti kutoka serikalini, unakwamisha...

Habari Mchanganyiko

AfDB yatoa Bil. 323.4 mradi wa umeme Malagarasi

  BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeikopesha Serikali ya Tanzania Dola za Marekani 140 (Sh. 323.4 bilioni), kwa ajili ya utekelezaji mradi...

Habari za Siasa

Serikali hatarini kupoteza 100 Bil, Mdee amkaba Lukuvi

  MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amesema Serikali iko hatarini kupoteza Sh. 100 bilioni, endapo itavunja mkataba wa mradi...

error: Content is protected !!