Sunday , 19 May 2024

Month: April 2024

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx gesi yagawa mitungi, majiko 100 kwa waandishi wa habari Dar

KAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi ya kilo 15 pamoja na majiko yake yenye sahani mbili kwa wahariri na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

WAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza sekta ya madini kwa kufanya tafiti za kina za jiofizikia; kujenga maabara ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Wanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa fedha na vitu mbalimbali vyenye thamani ya...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu hii imefikia patamu kweli kweli kwani ni hatua ya nusu fainali, ambapo itafanikiwa...

Biashara

Wazir Jr kinara wa ufungaji KMC FC ajiunga Meridianbet

    MUITE Wazir Jr ‘The King of CCM Kirumba’, kwa sasa anakipiga KMC FC inayodhaminiwa na kampuni namba moja kwa michezo ya...

Habari Mchanganyiko

TMA yapongezwa kuimarisha ubora na usahihi wa taarifa za Hali ya Hewa

  WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa...

Habari za Siasa

Mavunde aomba bilioni 231.9 bajeti wizara ya madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo na kuliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya Sh...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema hajafanya makosa kumuita Mzanzibar Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amefunga mashindano ya Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha kwa...

Kitengo

Mvua sio kikwazo tena DSM, Meridianbet yaja na mbinu mbadala kwa bodaboda

Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri nakasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge mkono chama chake cha zamani, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

7 wafa Ulanga, mbunge alia kutelekezwa na mawaziri, Tanroad

Watoto saba wamepoteza maisha na zaidi ya kaya 70 kukosa makazi Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro kutokana na athari za mafuriko yaliyotokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Wizara Katiba na Sheria yaliomba Bunge Sh. 441.2 bilioni

  WIZARA ya Katiba na Sheria imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake kwa mwaka wa fedha wa 2024/25 ya kiasi cha Sh. 441.2 bilioni....

Habari za Siasa

Serikali yandaa rasimu utoaji elimu ya katiba

  SERIKALI imeandaa rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Kutoa Elimu ya Katiba na Uraia kwa Umma, ili kuhakikisha wananchi wanafahamu haki na...

Biashara

Meridianbet Expanse Tournament ushindi rahisi  

  Jisajili na Meridianbet kisha uwe wa kwanza kupata taarifa ya promosheni mpya kila siku, Bonasi za kasino na michezo ya kasino ya...

Habari Mchanganyiko

Bil 12.4 zimetumika ujenzi wa miradi wilaya ya Momba

MKUU wa wilaya ya Momba mkoani Songwe Kennan Kihongosi ame tumia sherehe za  siku ya Muungano wa Tanganyika kutaja mafanikio ya miaka mitatu...

AfyaHabari Mchanganyiko

Songwe katika mikakati ya elimu ya lishe kudhibiti udumavu

  SERIKALI mkoani Songwe imejipanga kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa wananchi ngazi ya vijiji kata na wilaya ili kudhibiti ukondefu na udumavu....

Biashara

Mbinu bora za kubeti kwa mafanikio

  MIONGONI mwa burudani zinazidi kupata umaarufu ulimwenguni, kubeti katika michezo ni mojawapo ambapo watu wengi wanatafuta mbinu za kuongeza uwezekano wao wa...

Habari Mchanganyiko

NBC yapata tuzo ya mwezeshaji bora wa mikopo serikali Afrika

Benki ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Bara la Afrika kwa mwaka 2023...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko aipongeza GGML kudhibiti vifo, majeruhi mahali pa kazi

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya...

Habari za Siasa

Askofu Shoo awataka ACT kupigania maslahi ya Taifa, wasikubali kuhongwa

ALIYEKUWA Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Askofu Dk. Fredrick Shoo amewataka viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo kuendelea kupigania maslahi ya...

Habari za Siasa

Biteko aagiza waajiri kudhibiti vifo mahali pa kazi

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza waajiri kuhakikisha hakuna kifo chochote cha mfanyakazi kinachotokea mahali pa kazi...

Michezo

Beti na Meridianbet mechi za leo

IKIWA leo hii ni Jumapili tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia leo ndio siku ya kupiga pesa kirahisi sana kwani huku kuna kila kitu kuanzia...

Habari Mchanganyiko

Wami Ruvu hawana deni la Rais Samia katika kutunza vyanzo vya maji

  BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu, imeendelea kuchua hatua stahiki katika kuhakikisha inatekeleza agizo la Makamu wa Rais, Dk. Philipo Isory...

Biashara

Maisha ya kasino ni furaha, cheza Book of Eskimo kujichukulia utajiri 

  KUPNGA ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku kuna bonasi kibasi na michezo sana...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited kutimiza masharti ya mkataba wa ubia wa uwekezaji  wa kutoa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk. Selemeni Jafo ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas Tanzania kwa kuendelea kuunga...

Habari Mchanganyiko

Mvungi aendesha kikao kazi cha wataalam wa Regrow

  MKURUGENZI wa Idara Sera na Mipango Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Abdallah Mvungi leo Mkoani Morogoro ameongoza kikao kazi cha Wataalam...

Habari za Siasa

Sauti ya Watanzania waeleza sababu za kuiunga mkono Chadema

  KIKUNDI kinachojipambanua katika kupigania rasilimali na uhuru wa nchi, Sauti ya Watanzania, kimesema kimechagua kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jacob, Malisa waachiwa kwa masharti

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaachia kwa masharti, Mkurugenzi wa Shirika la Haki, Godlisten Malisa na kada wa...

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa fursa ya kukusanya vito na madini. Ikiwa unakusanya kwa wingi, utapata ushindi wa...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia leo ndio siku ya kupiga pesa kirahisi sana kwani huku kuna...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia zimekubaliana kuibua maeneo mapya ya kimkakati ya ushirikiano ili kudumisha mahusiano ya kidiplomasia...

Habari Mchanganyiko

Polisi wakanusha kufanya uzembe ajali iliyouwa mwandishi Ayo Tv

JESHI la Polisi limekanusha tuhuma zilizoibuliwa dhidi yake  kwamba limekawia kuuchukua mwili wa aliyekuwa mpiga picha wa televisheni mtandao ya Ayo Tv, Noel...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia kuzindua gazeti litakalotoa habari za wafanyakazi Tanzania

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), liko mbioni kufufua gazeti lake litakalokuwa linatoa habari za wafanyakazi nchini, ambalo litatambulika mtaani kwa jina...

Habari Mchanganyiko

GGML yaja na teknolojia za kisasa maonesho ya OSHA Arusha

KATIKA kuelimisha wananchi na washiriki wa maonesho ya usalama na afya mahali pa kazi namna ya kuzingatia usalama wawapo katika shughuli zao, Kampuni...

Habari za Siasa

ACT: Waongoza watalii wapate maslahi yao inavyostahili

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya waongoza watalii nchini. Anaripoti Faki Sosi, Kilimanjaro … (endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi

  MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim Lipumba, amekiwakilisha kituo hicho katika mkutano maalum wa kuvishawishi vyama vya siasa nchini...

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa Hacksaw Gaming. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unaleta mshangao mzuri. Kuna...

Habari za SiasaTangulizi

Samia awataka watanzania kudumisha muungano

Rais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuendeleza Muungano kwa kuitekeleza falsafa ya maridhiano, ustahmilivu, kuleta mageuzi na kujenga nchi yetu (4R). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

GGML, OSHA wawanoa mama lishe 50 kukabiliana na majanga ya moto

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo maalumu kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe ni jamii ya matunda ya limao, embe, parachichi, halafu kwenye kusaga usitumie maji...

Afya

Mloganzila yajipanga kupandikizaji wa ini

  HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imesema kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali kwenye sekta ya afya, wataalam wake wataendelea kuanzisha huduma za ubingwa...

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa kwamba, zawadi wanazopeana wakati wa furaha, ni marufuku kunyang’anyana wakiwa katika mifarakano. Anaripoti...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea kuishauri Serikali ijikite katika vyanzo vya umeme vinavyotokana na nishati jadidifu akisema vinaweza...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya mchango...

Habari Mchanganyiko

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

Benki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro ikilenga kuboresha mazingira ya maladhi...

Habari za Siasa

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinatekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kufuata sheria na kuzingatia...

error: Content is protected !!