Monday , 27 May 2024
Home gabi
1273 Articles147 Comments
Habari Mchanganyiko

Kinondoni wafunguliwa dirisha la maunganisho ya bure huduma maji taka

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saadi Mtambule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni hususani Kata za Kawe, Kunduchi, Wazo na Mbezi Beach kujitokeza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NHC yadai bil. 2.1 taasisi za Serikali, Waziri atoa maagizo

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linakabiliwa na changamoto ya baadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wacharuka kukatika kwa umeme

TATIZO la kukatika kwa umeme kila mara katika maeneo mbalimbali ya nchi limewaamsha wabunge ambao kwa nyakati tofauti wameibana Serikali bungeni na kuitaka...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

GGML inavyookoa walemavu dhidi ya dhana potofu

MKOA wa Geita ni mmoja wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ambayo imeathiriwa na imani za kishirikina. Kila juhudi zimefanyika kuwaelimisha wananchi kuachana...

Habari za SiasaMichezo

Serikali yaanika mikakati maandalizi AFCON 2027

Serikali imesema inaendelea kufanya mazungumzo na wadau pamoja na wamiliki wa hoteli kubwa kwa ajili ya kuboresha hoteli hizo ili ziweze kukidhi viwango...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Tanzania, Msumbiji wajadili mikakati kuinua biashara, uwekezaji

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike amekutana na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji, Silvino...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mathayo aibana Serikali ujenzi barabara Mwembe-Mbaga- Mamba

Serikali imepanga kuanza taratibu za manunuzi ya kumpata mhandisi mshauri kwa ajili ya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa barabara...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanawa mikono fidia Kimara-Kibamba

SERIKALI imewataka waathiriwa wa bomoabomoa ya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara – Kibamba uliofanyika mwaka 2017/2018, kuelewa kwamba Serikali ilitumia sheria...

Habari Mchanganyiko

Geita, Mwanza waongoza kwa mbwa

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema taarifa ya sampuli ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi iliyotolewa na Ofisi ya...

Habari Mchanganyiko

Balile ateuliwa rais wa wahariri Afrika Mashariki

Jumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES), imemchagua Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kuwa Rais wa jumuiya hiyo kwa kipindi cha...

Habari Mchanganyiko

DC – Kheri James awaasa wakandarasi umeme Iringa kuzingatia uweledi

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wakandarasi wenye leseni za umeme Mkoani Iringa kufanya kazi kwa weledi katika kazi zao. Anaripoti...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Total Energies yawekeza bilioni 17 kusambaza gesi ya kupikia

ILI kurahisisha upatikanaji wa gesi ya kupikia kwa gharama nafuu kwa Watanzania, Kampuni ya Total Energies Tanzania imewekeza kiasi cha dola za Marekani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa Gas waanika mikakati kupunguza gharama za gesi ya kupikia

KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas imefungua maduka 250...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati...

Habari Mchanganyiko

DAWASA yamaliza kero ya maji Nyakahamba iliyodumu kwa miaka 5

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Prof. Ndakidemi aitaka TMA kutoa taarifa kwa njia ya SMS

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (CCM) ameishauri Serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) kutumia simu za mkononi ili...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Msukuma aibana Serikali ujenzi nyumba za watumishi Geita DC

MBUNGE wa Geita, Joseph Msukuma (CCM) ameishauri Serikali kutenga bajeti maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Halmashauri 31 zilizoanzishwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

WADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku wameonesha kuridhishwa  na  mafunzo ya ufugaji kuku kisasa yanayotolewa Kituo cha SilverLands Tanzania...

Habari Mchanganyiko

Tanzania  yasisitiza kuwa Kituo Kikuu cha Uchimbaji Madini Afrika

Tanzania imeendelea kusisitiza adhma yake ya kuwa kituo kikuu cha uchimbaji madini barani Afrika, kupitia  hatua zake mbalimbali za kimkakati na kiujumuishi ikiwemo...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Serikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha Sh tatu bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mpiji ili...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

WAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza sekta ya madini kwa kufanya tafiti za kina za jiofizikia; kujenga maabara ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Wanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa fedha na vitu mbalimbali vyenye thamani ya...

Habari za Siasa

Mavunde aomba bilioni 231.9 bajeti wizara ya madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo na kuliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya Sh...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amefunga mashindano ya Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko aipongeza GGML kudhibiti vifo, majeruhi mahali pa kazi

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited kutimiza masharti ya mkataba wa ubia wa uwekezaji  wa kutoa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni)...

Habari za Siasa

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa...

Habari Mchanganyiko

OSHA watakiwa kuwa wakali kwa waajiri, wawekezaji wasiozingatia sheria

WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), umetakiwa kuwa wakali na kuhakikisha sheria, taratibu na kanuni za usalama na afya mahali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja mikakati ya kufikia trilioni 2 biashara Uturuki, Tz

Wakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi kufikia Dola za Kimarekani bilioni moja (Sh trilioni 2.5), ndani ya mwaka mmoja...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa kufanikiwa kukamilisha wa mchakato wa ununuzi wa hisa za Kampuni ya Ore Corp...

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu kuanzia kesho Ijumaa kutokana na kifo cha Mkuu wa Majeshi nchini hiyo CDF-...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

SERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote mbili ili kuendelea kufungua milango ya fursa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kutunukiwa udaktari wa heshima Uturuki

Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki linatarajiwa kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atua Uturuki kwa ziara ya siku 5

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kukuza uhusiano wa diplomasia ya siasa, uchumi...

Habari Mchanganyiko

Sekta binafsi yasifu utekelezaji wa Mkumbi

SERIKAL imepongezwa kwa utekelezaji wa mapendekezo ya sekta binafsi kupitia vikao na mikutano ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) ambapo sekta binafsi...

Habari za Siasa

CAG: TAWA imegawa vibali vya uwindaji bila idhini ya waziri

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2022/2023 imbeinisha kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ilitoa hati...

Habari za Siasa

Ubovu barabara Kigamboni: Tanroad, mkandarasi wapewa maagizo

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza meneja wa Wakala wa barabara mkoa wa Dar es Salaam kufika katika barabara ya Gomvu – Kimbiji...

Habari za Siasa

Chumi aibana Serikali wahitimu kidato cha IV, VI wajiunge JKT

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stargomena Tax amesema Juni mwaka huu wizara hiyo kwa kushirikiana na wizara ya fedha inatarajia...

Habari za Siasa

Shabiby ‘ampeleka shule’ John Heche

MBUNGE wa Gairo, Ahamed Shabiby (CCM), amesisitiza hoja yake kuwa njia rahisi ya kuwawezesha watanzania wote kuwa na Bima ya Afya (NHIF) ni...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM afariki ghafla, Bunge laahirishwa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametangaza msiba wa Mbunge wa Kwahani, Ahmed Yahya Abdulwakil (CCM), aliyefariki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Wizara ya Madini yaja na programu ya kuinua wachimbaji vijana, akina mama

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali itatekeleza programu ya Mining for a Brighter (MBT) kwa lengo la kuwainua wachimbaji wanawake na vijana....

Habari MchanganyikoTangulizi

Meli yenye abiria 27 yazama Ziwa Tanganyika, 17 waokolewa

JUMLA ya abiria 17 kati ya 27 waliozama na meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, wameokolewa huku juhudi za kuendelea kuwatafuta...

Habari za Siasa

WMAs zatakiwa kuwa na matumizi sahihi ya fedha

Serikali imewataka viongozi wa Jumuiya za Hifadhi Wanyamapori (WMAs) kuzingatia matumizi sahihi ya fedha ili kuwanufaisha wananchi wa vijiji wanachama pia kuzingatia mikataba...

Habari za Siasa

Salim aibana Serikali umiliki msitu wa hewa ukaa Ulanga

SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kisheria kukamilisha mchakato wa umiliki wa Msitu wa Hewa ya Ukaa uliopo Kituti hadi Mgolo kwa...

Habari za Siasa

Biteko ataka Watz kumuenzi Sokoine kwa kufanya kazi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii...

Habari za Siasa

Wabunge: Magari ya serikali yazuiwe sehemu za starehe

WABUNGE wameitaka Serikali kuzuia magari yanayotumiwa na viongozi wake katika sehemu za starehe muda wa usiku pamoja na kuchukua hatua pindi yanapovunja sheria...

Habari za Siasa

Mbunge Tarimo ataka TFDA irejeshwe

Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo (CCM) ameitaka wizara ya afya kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na kamati mbalimbali za Bunge kwamba iliyokuwa Mamlaka ya...

error: Content is protected !!