WANANCHI wa kijiji cha Shinji kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe wamesema hawana imani na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Ali Kalinga kutokana...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023WASHINDI saba wa kampeni ya kuhamasisha matumizi ya kadi iliyoondeshwa na Benki ya NMB ‘NMB MastaBata – Kote Kote’ wameagwa na kukabidhiwa tiketi...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023MAHAKAMA Kuu, kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza shauri la jinai, lililofunguliwa na mwanahabari mahiri nchini, Saed Kubenea, dhidi ya Paul Makonda,...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023MGOMBEA wa chama tawala Bola Ahmed Tinubu anaongoza uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali zaidi nchini Nigeria tangu nchi hiyo irejee kwa demokrasia...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023KANISA Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita, limefungwa kuanzia jana Jumatatu hadi tarahe 18 Machi 2023, kwa ajili ya kusubiri...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023ELON Musk amerejea katika nafasi ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani, baada ya kupoteza kwa muda mfupi taji kwa Bernard Arnault wa...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023BAADA ya kuibua mjadala kufuatia hatua yake ya kuhutubia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, Balozi Dk. Wilbroad...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuwajengea uwezo wahitimu wa vyuo vikuu kwa kuwapatia mafunzo kazini zimeendelea kuonekana baada ya...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023Shirika la UN Global Compact Network Tanzania limezindua mchakato wa kutafuta mshindi wa tuzo zitakazokuwa zinatolewa kila mwaka kwa makampuni ya kibiashara yaliyoonesha...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023KAMPUNI ya Huawei imejiunga na UNESCO Global Alliance for Literacy (GAL) kama sehemu ya maandalizi ya kampuni hiyo kuongoza Kongamano la Simu...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023MWENYEKITI wa Kamati teule ya Baraza la Wawakilishi la Marekani inayoangazia China, ametuma barua kwa Shirika la Upelelezi (FBI) akitaka majibu kuhusu madai...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kutoelewana miongoni mwa viongozi wa Serikali na wasaidizi wao ndiyo sababu kubwa ya kupangua safu ya...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaomba Watanzania wakipe ridhaa ya kuiongoza nchi kupitia sanduku la kura, kwani kitawaondoa katika umasikini ndani ya...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kulinda mikutano ya hadhara ya vyama...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023BAADHI ya Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Njombe, wamempa zawadi Mwenyekiti wao Taifa, Freeman Mbowe, kwa kutambua mchango wake...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi , ameishukuru Benki ya Maendeleleo ya Africa (AfDB) kwa kuunga...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023MAMLAKA ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Iringa (IRUWASA) imefanikiwa kufunga dira za maji 6700 za malipo ya kabla...
By Danson KaijageFebruary 27, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), kutafakari upya kuhusu bei ya ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni, kikidai...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ametoa wito kwa vijana wanaohitimu vyuo vikuu, wafanye shughuli nyingine za kujitafutia kipato...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeFebruary 27, 2023WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewahimiza wakazi wa Kigoma na watanzania kuwekeza katika zao la mchikichi na kusisitiza ndio fursa ya kukuza uchumi...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023BENKI ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya ya Ulaya (EU)...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimebuni utaratibu mpya wa kujisogeza kwa umma mapema hata kuliko kawaida ya uendeshaji siasa nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Jabir IdrissaFebruary 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba katika...
By Masalu ErastoFebruary 26, 2023WANARIADHA wa kitanzania wameng’ara katika mbio za 21 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, baada ya kufanya vizuri katika mbio za Km 42...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023CHANGAMOTO ya upatikanaji wa fedha za wafadhili imetajwa kukwamisha shughuli za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) na asasi za kiraia zinazotetea haki za...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023KAMISHNA wa Utawala na Raslimali watu wa Jeshi la Polisi nchini, C.P Suzan Kaganda amewataka vijana hasa wasichana ambao ni wahitimu wa kidato...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni na taasisi amabzo zimetoa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023OFISI ya Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, Mwanafamilia ya Kifalme ya Dubai kutoka Falme za Kiarabu, imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Serikali...
By Gabriel MushiFebruary 25, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimezindua klabu ya ujasiriamali kwa shule ya sekondari Temeke Wailes iliyoko Wilaya ya Temeke jijini Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2023MTANDAO wa Wanawake, Katiba na Uongozi umezitaka asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake na watoto kuungana pamoja katika kuwasilisha ajenda za...
By Regina MkondeFebruary 25, 2023VYUO vikuu bora kutoka nchi za India, Cyprus, Uingereza, Malaysia na Uturuki vimeleta wawakilishi wake nchini kwaajili ya kuonyesha shughuli zao kwa watanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe sambamba na kukagua miradi mbalimbali ya...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), MT 89487 CPL, Hamis Ramadhan, anayedaiwa kumsukuma askari wa usalama barabarani kwa kutumia gari lake,...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto na Mkurugenzi Mtendaji wa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, kimeomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, itekeleze kikamilifu sera...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuboresha zaidi sekta ya mifugo kupitia njia mbalimbali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023MBUNGE wa viti maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Maleko, amewataka wanawake nchini kupaza sauti katika kupinga vitendo vya kikatili na ulawiti kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimekana kuwatambua wanachama 374 waliotangaza kujivua uanachama, kikidai katika kundi hilo wanachama wake hawazidi 60 na kwamba wengi...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023KATIKA kurahisisha utambuzi wa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika vituo vya kutolea huduma na kudhibiti vitendo...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2023KIONGOZI mwandamizi klabu ya soka ya Simba ya Tanzania, Marco Masanja, aliyekuwa kifungoni nchini China, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2023WAFANYABIASHARA ndogo ndogo (Wamachinga) wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa soko la kisasa linalojengwa kata ya Majengo Halmashauri ya Mji Tunduma mkoani Songwe...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2023SHIRIKA la Legal Services Facility (LSF), limetoa ruzuku ya kiasi cha Sh. 3.1 bilioni kwa ajili ya kuimarisha upatikanaji haki nchini hususan kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2023WAKATI Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kuchunguza taaisisi za haki jinai ikiendelea kukusanya maoni ya wadau, Shura ya Maimamu Tanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MWAKILISHI wa Marekani, Ro Khanna ameongoza msafara wa wajumbe wa Bunge la nchi hiyo nchini Taiwan wikiendi hii kwa lengo la kuimarisha...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanga kuanzisha vilabu vya ujasiriamali kwa shule za sekondari mkoani Dar es Salaam na kwa kuanzia kimezindua...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendelea kufanya vyema kwenye nyanja mbalimbali zinazogusa jamii na serikali kwa ujumla baada ya Meneja Uhusiano...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) inatarajiwa kutumia zaidi ya Sh bilioni saba katika ujenzi wa daraja jipya la Berega...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika mwaka huu takribani mikoa 11, inatarajia kunyesha...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MBUNGE wa Viti maalum Dodoma (CCM), Fatma Toufiq, ameahidi kushughulikia changamoto ambazo zinaikabili shule ya msingi maalum ya Buigiri iliyopo Chamwino mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023