MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amepata maambukizi ya virusi hatari vya Corona (Covid 19). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2021WATUMISHI wa serikali na wale wanaopewa kazi na serikali, wametakiwa kuzifanya kwa ufanisi mkubwa kwa kuwa, Rais John Magufuli atakuwa mkali zaidi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2021SERIKALI imeeleza kwamba, kutokana na muingiliano na mataifa mengine duniani, haiwezi kuepuka tahadhari juu ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 31, 2021RAIS John Magufuli amewaambia wakazi wa Bahi, Dodoma na Tanzania kwa ujumla kwamba, ‘hakuna vya bure.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2021BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), linapanga mkakati mzito unaolenga kumzika kabisa kisiasa, aliyekuwa mwenyekiti wao wa taifa,...
By Masalu ErastoJanuary 31, 2021WIKI mbili zilizopita, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume, alizungumzia kwa kirefu historia ya Mapinduzi Visiwani. Akakumbusha jinsi mwafaka wa...
By Masalu ErastoJanuary 30, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Seleman Jaffo ametangaza msimu wa tatu wa kujifukiza nyungu, ili kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura...
By Mwandishi MaalumJanuary 30, 2021MARA baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) kwenye hatua ya makundi, timu ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021KOCHA wa kikosi cha TP Mazembe, Felix Mwamba ameonekana kuvutiwa na kiwango cha kiungo wa klabu ya Simba Laary Bwalya mara baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021NAHODHA msaidizi wa klabu ya Simba, Mohammed Hussein amesema kuwa ujio wa kocha wao mpya umeongeza mzuka kwa wachezaji katika kutimiza malengo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza madaktari wanaopangiwa ajira katika hospitali za umma kisha wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kwa kigezo cha masilahi...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo, amewataka viongozi wa kanisa hilo, kuwaelimisha waamini wake, kuchukua...
By Regina MkondeJanuary 30, 2021BODI ya Ligi Tanzania Bara imetoa ratiba ya michezo iliyohairishwa kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi, ambapo klabu ya Simba itaanza kushuka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amewasisitiza viongozi aliowateua kwenda kwa wananchi kuwasikiliza changamoto walizonazo na kuyatafutia ufumbuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2021BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), linaendelea kufanya tathimini za athari ya maambukizi ya corona (COVID-19), kisha itatoka na msimamo ya nini...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2021SIKU chache kupita baada ya viongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania kutoa mwongozo kuhusu kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya corona, Chama...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021JUTORAM Kabatele Mahala, ni Mtanzania aliyebuni alama sita za barabarani kwa ajili ya kuwalinda makundi ya watu wenye walemavu barabarani ambazo zinatumika...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021NI vuta nikuvute kwa miaka mitano sasa, kati ya wakazi wa Kijiji cha Kongo, Kata ya Yombo wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani na...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Makurumla Manispaa ya Ubungo, Bakari Kimwanga na mwenzake wa Mzimuni Manispaa ya Kinondoni, Manfred Lyoto...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana taarifa kuwa kimekuwa kikipokea ruzuku ya mamilioni ya shilingi kutoka serikalini, tangu kumalizika kwa...
By Regina MkondeJanuary 29, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imetaka wananchi wanaokabiliwa na vitendo vya kikatili kwenye familia/nyumba zao, kuwasiliana na maofisa wa wizara hiyo moja...
By Masalu ErastoJanuary 29, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amemuagiza Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kutowachekea wakandarasi wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeitunuku tuzo Kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), kwa kutambua mchango katika...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, vitambulisho vipya vya Wamachinga vilivyofanyiwa maboresho vikiwa na picha ya muhusika na baadhi ya kumbukumbu...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnum’ amesema, kiwango cha fedha anachoingiza kwa mwezi, kutokana na mikataba mbalimbali ya...
By Masalu ErastoJanuary 28, 2021MKANG’ANYIKO wa taarifa juu ya virusi hatari vya corona (Covid-19), nchini Tanzania, unazidi kuwaweka wananchi njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemsamehe kumfuta kazi, Anderson Msumba, Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga aliyetuhumiwa kununua gari kinyume...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021VYOMBO vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, imewakamata watuhumiwa 314 wa uhamihaji haramu, ambao watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima amewaonya watumishi wa afya wanaoiba dawa, wakibainika watafukuzwa kazi pamoja na kunyang’anywa taaluma zao. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021MARA baada ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na Kamati ya Maadili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema serikali yake itaendelea kuboresha sekta ya afya ili wananchi wapate huduma bora za afya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimejifungia Visiwani Zanzibar, kuweka mkakati wake wa kisiasa, ili kuweza kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars ) imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021AFISA Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kujihusisha na masuala ya mpira wa miguu baada ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kushusha viingilio kutoka Sh. 3,000 mpaka Sh. 2,000, kwenye mchezo wao dhidi ya TP Mazembe kutoka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021DAKIKA tatu zilizotosha kumfanya Bernard Morisson kuibuka mchezaji bora wa mechi mara baada ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa Kombe la...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021YUDA Thaddaeus Ruwa’ichi, Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaomba waumini kuchukua tahadhari juu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2021MTU yeyote atakayekamatwa akitupa takataka katika Mamispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam, atatozwa faini.Anaripoti Brightness Boaz, Dar es Salaam … (endelea)....
By Masalu ErastoJanuary 27, 2021NIZAR Khalfan, ametangazwa kuwa Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa Michuano ya Mapinduzi ya Zanzibar, Yanga ya jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania....
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, ameshauri wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi...
By Masalu ErastoJanuary 27, 2021MSITU wa Chato mkoani Geita, kama ambavyo umekuwa ukitambulishwa toka awali, sasa utaitwa Msitu wa Silayo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Geita … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, hana mpango wa kuifungia nchi (lock down), kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2021BARAZA la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona na ugonjwa wa...
By Saed KubeneaJanuary 26, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 100.34, waliofariki kwa ugonjwa huo ni milioni 2.15 na waliopona milioni 72.39. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJanuary 26, 2021WATANZANIA 64 wamehukumiwa kulipa faini zaidi ya Sh.25 million au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la kwenda nje ya nchi bila...
By Masalu ErastoJanuary 26, 2021KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa beki wa kati, Peter Muduhwa raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa kwenye michuano ya kombe la Mataifa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 26, 2021KIONGOZI wa kiroho wa Kanisa Katoliki la All Saints Cathedral, Nairobi nchini Kenya, Sammy Wainaina amemshangaa Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amewaondoka kazini zaidi ya wahasibu 80 kwa tuhuma za kuchezea rafu mifumo ya ukusanyaji wa mapato. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametangaza msahama wa wafungwa na mahabusu 1,789 wa Ethiopia wanaoshikiliwa katika mahabusu na magereza mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021