RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania imefikia milioni 61.7 kufikia tarehe 31 Oktoba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la maendeleo ya biashara na uchumi ambalo linatarajaiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...
By Kelvin MwaipunguOctober 31, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeOctober 31, 2022MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Daktari Albina Chuwa, amesema takwimu za sensa ya watu na makazi za 2022, zitasaidia...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Anna Makinda, amesema matokeo ya zoezi hilo yataendelea kutolewa baada ya Rais Samia...
By Regina MkondeOctober 31, 2022MCHAKATO wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari nchini, umetajwa kuirudisha heshima ya Tanzania kimataifa, katika masuala ya ulinzi wa uhuru wa...
By Regina MkondeOctober 31, 2022WINIFRIDA Wambura, na watoto wawili, wamenusurika kufariki dunia baada ya mkwe wake, Naim Byabato, kuchoma moto nyumba kwa sababu ya wivu wa...
By Regina MkondeOctober 30, 2022KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameoneshwa shahuku na ndoto aliyonayo ya kuwa Rais wa Tanzania, baada kusimulia alivyokuwa akimfariji mama yake kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2022CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehudhuria uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo lililopewa jina la Maalim Seif...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022MSIMU wa nne wa kampeni ya NMB MastaBata tayari umeanza baada ya promosheni hiyo ya kuchagiza malipo kidijitali kuzinduliwa Mbeya huku sehemu ya...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022TUME ya Taifa ya Uchaguzo leo tarehe 30 Oktoba, 2022 imetangaza majina 10 ya madiwani wanawake wa viti maalumu walioteuliwa kujaza nafasi 10...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022JESHI la Polisi nchini Sri Lanka limeanzisha uchunguzi kuhusu udanganyifu mpya wa fedha ambao hadi sasa umehusisha utapeli wa Sh bilioni 14 huku...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Buruhani Nyenzi ameipongeza TMA kwa kutekeleza Mkataba waBaraza kwa kuhakikisha wajumbe wa Baraza wanakutana mara...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022BAO la mkwaju wa penalti ambalo limefungwa na winga machachari, Bernard Morrison wa klabu ya Yanga katika dakika ya 45 limetosha kuwaandikia Wana-jangwani...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022WAKATI mjadala wa uhaba wa maji nchini ukiendelea kushika kasi Chama cha ACT-Wazalendo kimesema Tanzania haipaswi kukumbwa na changamoto hiyo kwa kuwa kuna...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022CHAMA cha Democratic (DP) kimekuja na ‘Kampeni ya Mlete Mzalendo Twende Pamoja’ yenye lengo la kujenga chama na kuhakikisha kinafanya vizuri katika uchaguzi...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amezindua tawi jipya la Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) lililopo eneo la Kibada...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022WATAALAM kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya barani Ulaya (EMA) wameonya kuwa baadhi ya chanjo za Covid 19 zinaweza kusababisha akina...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022IMEELEZWA kuwa Paul Pelosi, mume wa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi, amepata nafuu kutokana na upasuaji baada ya...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania wanaoishi ughaibuni kuwa mabalozi wazuri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi wanazoishi ili kujenga taswira...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022JUMLA ya watumishi wa afya 139 wamechaguliwa kwaajili ya kupewa ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi katika fani zao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani katika Kikosi Kazi cha Rais...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022LUTENI Jenerali, Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema baba yake ameruhusu kufanyika kwa kongamano la vijana wazalendo, lenye...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mchakato wa marekebisho ya sheria za habari unakwenda vizuri na kwamba hivi karibuni Waziri wa...
By Regina MkondeOctober 28, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa amesema Wizara hiyo inaandaa mpango mkakakati kuhakikisha 2030 Tanzania inashiriki kombe la Dunia, huku...
By Seleman MsuyaOctober 28, 2022BENKI ya NMB imekuwa mstari wa mbele kwa ubunifu katika sekta ya TEHAMA kwa kutoa masuluhisho mbalimbali kwa wateja wake wa nyanja zote. NMB...
By Gabriel MushiOctober 28, 2022TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo ya watu wenye tatizo la kusikia ‘viziwi’ (Miss & Mister...
By Faki SosiOctober 27, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameruhusu Magari kuanza kutumia daraja jipya la wami kufuatia Ujenzi wake kukamilika kwa asilimia...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chauuma), Hashimu Rungwe amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuzifuta sheria zote kandamizi kwa vyombo vya...
By Faki SosiOctober 27, 2022MAKANDARASI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kulalamika badala yake waweke juhudi ili wapate kazi kubwa zinazotangazwa ndani ya nje nchi. Na Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022KAMPUNI ya simu za Mkononi ya Vodacom imezindua huduma ya Vodacom M-Pesa inayoitwa “Dunia Kijiji, Afrika ni M-Pesa” ambayo inawawezesha Watanzania kutuma...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022SERIKALI ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Sh bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemfungulia kesi Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la chama hicho, Joseph Selasini, katika Mahakama Kuu,...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022OFISI ya Msajili wa Hazina imekusanya zaidi ya Shilingi bilioni 852.98 ikiwa ni mapato yasiyokuwa na kodi kutoka katika mashirika mbalimbali ambayo yanasimamiwa...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022UTAFITI mpya umeonesha kuwa matumizi fanisi ya huduma za fedha za simu za mkononi yana mchango wa moja kwa moja katika ukuaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022BODI ya maji Bonde la Wami Ruvu katika kulinda vyanzo vya maji imelazimika kusitisha vibali 12 vya watumiaji maji mkoani Morogoro ili kupunguza...
By Christina HauleOctober 27, 2022HOSPITALI ya Benjamini Mkapa iliyopo Jijini Dodoma imeokoa kiasi cha Sh. bilioni 3.881 tangu ilipoanza kutoa huduma ya upandikizaji wa figo, upanuaji wa...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022UTAFITI wa Benki ya Stanbic umebaini kuwa mradi wa kuchakata gesi asilia (LNG) uliofufuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan utaingiza zaidi ya dola...
By Gabriel MushiOctober 26, 2022KHEDROOB Thondup mtoto wa Mwanadiplomasia Gyalo Thondup, kaka mkubwa wa Dalai Lama na mwakilishi wake wa kibinafsi wa zamani nchini China, amepata...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KLABU ya Soka ya Simba inatarajiwa kuwakosa nyota wake wanne kuelekea mchezo wa kesho tarehe 27 Oktoba 2022 ambapo Simba watakuwa wageni wa...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa Msimu wa Mvua za Mwaka unaotarajiwa kuanza mwezi Novemba 2022 na kumalizika Aprili...
By Masalu ErastoOctober 26, 2022MBUNGE wa Ndanda Cecil Mwambe ameishauri Serikali kufuta tozo zilizokuwepo kwenye utaratibu za maozo ya kurosho ghafi ili kunusuru bei ya korosho...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KUANZIA Novemba Mosi, 2022 utekelezaji wa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwarejeshea michango yao wale wote waliofukuzwa kazi kwasababu ya...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewataka wadau wa habari nchini kupambana ili kubadili sheria za habari nchini huku akieleza...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MTU mchafu zaidi duniani Amou Haji aliyekaa zaidi ya miaka 50 bila kuoga amefariki duniani miezi michache baada ya kuogeshwa kwa lazima....
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KAMATI ya Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini (CVCPT), imeishauri serikali kuongeza wigo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeuamrisha upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayowakabili baadhi ya madiwani wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022