Zaidi ya Sh bilioni tano zimewekezwa katika kampuni ya MSALABS inayomiliki maabara ya upimaji wa sampuli za madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo yao ili...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023JUMUIYA na Taasisi za Kiislamu Tanzania, imetupia lawama Serikali ikidai imevunja ahadi yake ya kuwapa umiliki wa mitaala ya somo la elimu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amesema ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini wa awamu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2023Kutokana na mchango wa wachimbaji wadogo wa madini kwenye pato la Taifa, Wizara ya madini inatarajiwa kufanya utafiti wa kina kwa kurusha ndege...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameziagiza kampuni zote nchini zinazojihusisha na uchimbajin wa madini kuzingatia...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2023WANANCHI wa Mkoa wa Mtwara, wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara, kitendo kinachoimarisha shughuli zao...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2023Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa madini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2023IMEELEZWA kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania, Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2023Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC) imeahidi kutoa msaada wa kompyuta kwa shule ya msingi ya Arusha Alliance ambayo inamilikiwa...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2023WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2023Dk. Biteko aacha alama sekta ya madini Imeelezwa kuwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameacha alama kubwa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2023Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufatanuzi kuhusu mabadilko ya ratiba zake za safari za China kwa abiria wake kuwa zimetokana na ndege...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa tiba kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana mkoani Mtwara (Mtwara Girls High School), wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba amesema Mwenge wa Uhuru ambao umetoa mkoani humo kutokea Tabora, unatarajiwa kuzindua miradi yenye thamani ya...
By Danson KaijageSeptember 22, 2023MGOGORO kati ya wafugaji na wakulima katika Kijiji cha Lembapuli, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara umechukua sura mpya baada ya wakulima kudaiwa kuvamia...
By Mwandishi WetuSeptember 22, 2023TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Hali ya Hewa ya Denmark (DMI) kama Mshauri...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2023MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa maonesho ya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuharakisha mchakato wa kunadi vitalu vya mafuta na gesi...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023KAMISHNA wa Polisi wa kamisheni ya Utawala na manejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewasilisha taarifa ya Mkutano wa Jumuiya ya...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023JESHI la Polisi limesema limeona video fupi (clip) ikimwonesha Mtoto aliyefanyiwa vitendo vya ukatili na udhalilishaji. Anaripoti Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi,...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023SHIRIKA la Hima Organization Tanzania, limeanza kutoa mafunzo kwa makundi mbalimbali, juu ya namna ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 19, 2023MSEMAJI wa Jeshi la polisi Tanzania David Misime SACP amewataka waandishi wandishi wa habari kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kukuza maslahi...
By Danson KaijageSeptember 19, 2023Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia hususan kwa Wanawake kwenye maeneo mbalimbali nchini,...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023KESI iliyofunguliwa na kampuni inayoandaa mapambano ya ngumi za kulipwa, Hall of Fame Boxing and Promotion, kuidai fidia ya zaidi ya Sh....
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2023ASKARI wa Kike kutoka Nchini Tanzania wameshiriki Mkutano wa mwaka 2023 wa Mtandao wa Polisi Wanawake Duniani (IAWP) Nchini New Zealand. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2023BARAZA Kuu la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, limewaomba wadau kuchangia ujenzi wa makao makuu yake yaliyopo maeneo ya Kivule, jijini Dar es Salaam....
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2023KITUO cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF (KHGIVF), kimeendesha mafunzo kwa madaktari wa hospitali mbalimbali kuhusu namna bora ya upandikizaji mimba....
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2023VYOMBO vya habari vimetakiwa kuongeza jitihada katika elimu ya kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza (NCD’s) ili kukabiliana na janga hilo ambalo sasa likadiriwa...
By Gabriel MushiSeptember 16, 2023KATIBU wa Shura ya Maimsmu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewataka wanawake wa kiislamu washiriki katika masuala ya kitaifa ikiwemo ujenzi wa Maendeleo. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 16, 2023WADAU wanaoshughulika na malezi na makuzi ya watoto wametakiwa kushirikiana ili kufanikisha malengo ya Programu Jumuishi ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya awali...
By Danson KaijageSeptember 16, 2023SHIRIKA la Omuka Hub ambalo kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Marekani National Democratic Institute – (NDI) wameandaa majadiliano kwa Jukwaa la...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2023KAIMU Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru amesema malengo yao ya mwaka 2023/2024 ni kukusanya Sh 120...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2023Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini hati za makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2023WAKATI Serikali ya Tanzania ikiongeza juhudi katika utekelezaji wa Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDG’s), ombwe la umasikini kati ya wananchi wa mijini...
By Regina MkondeSeptember 14, 2023SERIKALI imeshauriwa kuweka mkazo katika kilimo hai kwa kuwa ndio kinazalisha chakula safi na salama kwa afya ya viumbe hai na mazingira. Anaripoti...
By Seleman MsuyaSeptember 13, 2023HOSPITALI Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo wilaya ya Temeke Barabara ya Kilwa Mkoa wa Dar es Salaam itanufanika na mafunzo ambayo...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Stergomena...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2023CHAMA cha Wanasheria Afrika Masharika (EALS) kimetoa wito kwa waandishi wa habari kusoma na kuzielewa sheria zinazoongoza sekta hiyo ili kuamka na kupaza...
By Faki SosiSeptember 9, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA), Mhandisi Yusuph Katopola, amesema jitihada kubwa zinahitajika katika kutoa elimu juu...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2023ASKOFU Mkuu wa kanisa la Glory to God Ministry for All Nations lenye makao makuu Mailimbili Jijini Dodoma, Dk. Benson Rutta amewataka watanzania...
By Danson KaijageSeptember 9, 2023SERIKALI imesema wananchi waliokwisha kuandikwa na kutambuliwa kwenye mfumo wa Kitambulisho cha Taifa, watapatiwa vitambulisho vyao ifikapo Machi 2024. Anaripoti Isaya Temu, TUDARCo…...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2023WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema inahitajika uwekezaji wa shilingi bilioni 650, ili kumaliza changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora na salama. Anaripoti...
By Seleman MsuyaSeptember 8, 2023WATU wasiojiweza wakiwemo vikongwe, wameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga(SHUWASA), kwa kuwapatia huduma ya maji bure kila mwezi...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023RAIS mstaafu Jakaya Kikwete, amezishauri taasisi za utafiti wa kilimo nchini, kuwasilisha tafiti zao kwenye Kamati ya Tuzo ya Chakula Afrika (AFP), ili...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kaya milioni 2.2 nchini Tanzania zinajihusisha na sekta hiyo na kuchangia ukuaji wa uchumi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea kulifadhili na kuliunga...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, imemkamata Michael George Clement, mkazi wa Ndala Manispaa...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023