HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mahakama Bunda yamuachia Katibu Bavicha, wenzake 13 April 23, 2026 Fedrick Gama MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda imetoa uamuzi mdogo katika kesi ya jinai inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya na wenzake 20, ambapo washtakiwa 14 wameachiwa huru baada…
HABARI MCHANGANYIKO Basi la Tanzania lakutwa na chatu kwenye mpaka wa Namanga April 22, 2026 Fedrick Gama NYOKA aina ya Chatu amekutwa ndani ya basi la kampuni ya Kidia One, lililokuwa likifanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Nairobi, siku ya 21 Aprili 2026.Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Kesi ya mgawanyo wa mali za Chadema kusikilizwa kesho kwa njia ya mtandao April 21, 2026 Fedrick Gama CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa taarifa kuwa kesi ya madai inayowahusu Saidi Issa Mohammed pamoja na wenzake wawili dhidi ya Registered Trustees wa chama hicho na Katibu Mkuu…
HABARI MCHANGANYIKO Taifa litamkumbuka Askofu Mfumbusa kwa kuunganisha dini, madhehebu April 21, 2026 Fedrick Gama MAKAMU wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi amesema Taifa litaukumbuka mchango mkubwa aliyoutoa marehemu Askofu Bernadin Mfumbusa, enzi za uhai wake ikiwemo kuwa kiungo muhimu wa kuunganisha Kanisa Katoliki na Madhehebu…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Tume ya Uchunguzi kuwasilisha ripoti Aprili 23 April 21, 2026 Fedrick Gama TUME ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan 23 Aprili 2026.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ….(endelea). Taarifa hiyo imetolewa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Chadema yamshtaki Samia kwa wanawake viongozi wa Afrika April 20, 2026 Fedrick Gama MAPEMA leo 20 April 2026,uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umefanya kikao na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson…
HABARI MCHANGANYIKO mahakama Afikishwa kizimbani kwa ulaghai wa milioni 60 April 20, 2026 Fedrick Gama MWANAMKE Monica Beda (36), mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Ripoti ya LHRC: Machafuko ya Oktaba 29 yametia doa April 20, 2026 Fedrick Gama KITUO cha sheria na haki za binadamu nchini (LHRC), kimesema machafuko yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 29 Oktaba 2026 na baada ya uchaguzi huo, yamelitia doa taifa kwenye uga…
HABARI MCHANGANYIKO Magembe akamatwa kwa tuhuma za vitendo vya kikatili dhidi ya Mkewe April 18, 2026 Fedrick Gama MTU mmoja, Mkazi wa Kijiji cha Mwanale Wilayani Busega Mkoani Simiyu amekamatwa na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kumtendea mke wake vitendo vya kikatili.Anaripoti…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Equinor yafanya ziara bandari ya Mtwara kutathmini utayari wa mradi wa LNG April 18, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya Equinor kutoka Norway, ambayo ni miongoni mwa makampuni yanayotarajiwa kuwekeza katika mradi wa gesi asilia (LNG), imefanya ziara katika Bandari ya Mtwara kujionea maboresho yanayoendelea kufanyika katika bandari…