BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Hatutaongeza bei ya gesi – Taifa Gas April 3, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya Taifa Gas nchini Tanzania, imetangaza kwamba haitapandisha bei ya gesi ya majumbani (LPG), licha ya kuongezeka kwa bei ya gesi ulimwenguni kwa 43 asilimia. Anaripoti Zakia Nanga, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Prof. Kabudi amrihi Lukuvi, Mgombea Mwenza wa NCCR- Mageuzi, azawadiwa ubunge April 2, 2026 Erasto Masalu PROF. Paramagamba Kabudi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum (Ikulu), ameteuliwa kuwa mrithi wa William Lukuvi, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Mafuta yakipanda, mzigo unaangukia walala hoi, hii itaisha lini? April 2, 2026 Erasto Masalu KUPANDA kwa bei ya mafuta nchini kumeendelea kuwa mwiba mkali kwa wananchi wa kipato cha chini, huku athari zake zikienea kwa kasi katika sekta mbalimbali za maisha ya kila siku.…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bei ya mafuta Tanzania yatisha April 1, 2026 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imetangaza bei mpya ya mafuta itakayoanza kutumika kuanzia leo Jumatano, tarehe 1 Aprili 2026. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mwigulu awahakikishia Wana-Isimani kukamilisha miradi iliyoachwa na Lukuvi March 31, 2026 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Mwigulu Nchemba ameongoza mazishi ya Marehemu William V. Lukuvi aliyekuwa Mbunge wa Isimani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tume ya Uchunguzi matukio ya Oktoka 29 kufikia kikomo Aprili 3 March 30, 2026 Erasto Masalu TUME ya Uchunguzi iliyoundwa kuchunguza matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kufika kikomo ifikapo tarehe 3 Aprili 2026 baada ya kukamilisha kazi ya ukusanyaji na uchambuzi wa taarifa mbalimbali. Anaripoti Zakia…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi wakana maafa mgodi wa Msasa, Geita March 30, 2026 Erasto Masalu UTATA umeiibuka kufuatia Jeshi la Polisi mkoani Geita, kukana taarifa ya kuwapo vifo na majeruhi, katika mgodi wa dhahabu wa Msasa, uliyopo Runzewe, wilayani Bukombe mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bei ya mafuta yazidi kupaa duniani March 30, 2026 Erasto Masalu BEI ya mafuta duniani imepanda kwa kasi huku hifadhi zikishuka kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari leo Jumatatu asubuhi, 30 Machi 2026 kufuatia kuongezeka kwa mvutano unaoendelea…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Ibada ya kuuga mwili wa Marehemu Lukuvi mkoani Iringa March 30, 2026 Erasto Masalu IBADA ya Misa ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, imefanyika…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA TANGULIZI Madaktari sita wanusurika kifo Mwanza March 29, 2026 Erasto Masalu MADAKTARI sita wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekou Toure, wamenusurika kifo, kufuatia gari waliyokuwa wakisafiria kupata ajali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Ajali hiyo, imetokea katika…