BIASHARA Mchongo wa mwaka ni Drops & Wins inayokupa pesa papo kwa papo April 16, 2026 Erasto Masalu Kama unaijua michezo, basi hili ndio lile dili ambalo huachi lipite. Meridianbet wameachia Drops & Wins, ikiwa inaleta pesa mezani bila stori nyingi. Hapa ni kuchukua nafasi yako na kuanza…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Dar kuandaa Tamasha la kwanza la Vichekesho la Kimataifa PICF 2026 April 16, 2026 Erasto Masalu PUNCLINE Africa imetangaza rasmi uzinduzi wa Punchline International Comedy Festival (PICF) 2026, tamasha la kimataifa la vichekesho litakalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 Mei hadi 1 Juni 2026.…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO EACOP yasaidia fedha vikundi 16 kuinua uchumi Tanga April 16, 2026 Erasto Masalu SERIKALI imeipongeza Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuendelea kuchangia maendeleo ya jamii baada ya kutoa shilingi milioni 33.6 kusaidia kuboresha maisha ya wananchi wa…
BIASHARA Mwalimu ashinda Mazda ya tatu katika kampeni ya My Airtel Money App April 15, 2026 Erasto Masalu AIRTEL Tanzania imemtangaza Jogrey Pascal Paul, mwalimu wa Jiografia kutoka Shule ya Sekondari Hai, kuwa mshindi wa tatu wa gari aina ya Mazda CX-5 kupitia kampeni yake ya “Mwaka Umenyooka…
BIASHARA Hii ni hatua nyingine, jichukuli pesa kupitia na michezo ya Spearhead April 15, 2026 Erasto Masalu Kama ulikuwa unasubiri ishara ya kurudi kwenye mchezo, basi ndio hii. Meridianbet wamepiga hatua kubwa kwa kuwaleta Spearhead Studios, na sasa kila kitu kimekuwa cha kibingwa. Hapa ni zaidi ya…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO CRDB yatangaza washindi wa safari ya Fainali ya Kombe la Dunia Marekani April 14, 2026 Fedrick Gama BENKI ya CRDB kupitia kitengo chake cha kadi, imetangaza washindi 7 waliopata fursa ya kusafiri kwenda kushuhudia fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Marekani.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
BIASHARA Casino ilivyokuwa sehemu ya burudani ya kidijitali nchini April 14, 2026 Fedrick Gama Meta Description: Michezo ya casino inazidi kupata umaarufu Tanzania, ikijumuisha slot, crash kama Aviator na Chicken Road, pamoja na table games na card games kwa wachezaji wote. Mwongozo wa michezo…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Waziri Homera azitaka Bodi za wadhamini kuwajibika zaidi April 14, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Juma Zuberi Homera, amewataka wajumbe wa bodi za wadhamini nchini kuzingatia kikamilifu sheria, uwajibikaji na uadilifu katika usimamizi wa mali za taasisi wanazoziongoza, akisisitiza…
BIASHARA Toka magetoni sasa ukapige hela za Planet Power Slots April 14, 2026 Erasto Masalu Hii sio stori ya kusimuliwa, ni ukweli unaoingia moja kwa moja kwenye soko la ubashiri. Meridianbet wameachia Planet Power Slots, mchezo unaokupa nafasi ya kupaa angani na kurudi na mamilioni…
BIASHARA Huitaji mamilioni kutalii nchi za nje, cheza Leprechaun Wish upate burudani April 13, 2026 Erasto Masalu Leo ni siku yako mpambanaji na kaa ukijua kwamba bahati haijirudi. Meridianbet inakuletea Leprechaun Wish, mchezo unaokuletea Ireland moja kwa moja. Cheza kidogo tu, lakini ushindi mkubwa unaweza kukukuta bila…