SIASA TANGULIZI Lissu aja na masharti ya mazungumzo, ataja Katiba mpya, kufutwa kwa tume ya Uchaguzi April 17, 2026 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemuambia mjumbe wa Jumuiya ya madola, Dk. Lazarus Chakwera kuwa ili Tanzania kupatikane maridhiano ya dhati inahitaji mabadiliko katika mifumo…
BIASHARA Mchongo wa mwaka ni Drops & Wins inayokupa pesa papo kwa papo April 16, 2026 Erasto Masalu Kama unaijua michezo, basi hili ndio lile dili ambalo huachi lipite. Meridianbet wameachia Drops & Wins, ikiwa inaleta pesa mezani bila stori nyingi. Hapa ni kuchukua nafasi yako na kuanza…
HABARI ZA MICHEZO Hawa hapa wababe wanaowania kwenda Nusu Fainali Europa April 16, 2026 Erasto Masalu ALHAMISI ya Leo kutakuwa na mitanange ya kukata na shoka ya Europa League ambapo tayari baadhi ya timu zinapigiwa upatu kusonga mbele huku zingine zikiwa bado zinajitafuta. Mapema kabisa kule…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Dar kuandaa Tamasha la kwanza la Vichekesho la Kimataifa PICF 2026 April 16, 2026 Erasto Masalu PUNCLINE Africa imetangaza rasmi uzinduzi wa Punchline International Comedy Festival (PICF) 2026, tamasha la kimataifa la vichekesho litakalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 Mei hadi 1 Juni 2026.…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO EACOP yasaidia fedha vikundi 16 kuinua uchumi Tanga April 16, 2026 Erasto Masalu SERIKALI imeipongeza Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuendelea kuchangia maendeleo ya jamii baada ya kutoa shilingi milioni 33.6 kusaidia kuboresha maisha ya wananchi wa…
BIASHARA Mwalimu ashinda Mazda ya tatu katika kampeni ya My Airtel Money App April 15, 2026 Erasto Masalu AIRTEL Tanzania imemtangaza Jogrey Pascal Paul, mwalimu wa Jiografia kutoka Shule ya Sekondari Hai, kuwa mshindi wa tatu wa gari aina ya Mazda CX-5 kupitia kampeni yake ya “Mwaka Umenyooka…
HABARI ZA MICHEZO Vita ya Arsenal na Sporting CP nani mbabe? April 15, 2026 Erasto Masalu Ni Jumatano nyingine tena ya kushuhudia wababe wa Ulaya wakikiwasha kuitafuta Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Huku Arsenal Kule Sporting CP, Je nani kusonga mbele? Arsenal atamleta Emirates Sporting…
BIASHARA Hii ni hatua nyingine, jichukuli pesa kupitia na michezo ya Spearhead April 15, 2026 Erasto Masalu Kama ulikuwa unasubiri ishara ya kurudi kwenye mchezo, basi ndio hii. Meridianbet wamepiga hatua kubwa kwa kuwaleta Spearhead Studios, na sasa kila kitu kimekuwa cha kibingwa. Hapa ni zaidi ya…
SIASA TANGULIZI Chadema yaibuka kidedea April 15, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Rufaa ya Jamhuri ya Muungano, imekiondolea zuio la kufanya shughuli za kisiasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika uamuzi wake uliosomwa…
HABARI MCHANGANYIKO Mmoja auawa, 40 mbaroni sakata la ‘nyeti’ Zbar April 14, 2026 Erasto Masalu MATUKIO ya madai ya wanaume kupokwa sehemu zao za siri – nyeti – yakiwa yanashamiri hapa Zanzibar, tayari yamesababisha umwagikaji damu baada ya kijana wa umri wa miaka 35 kushambuliwa…