ALHAMISI ya Leo kutakuwa na mitanange ya kukata na shoka ya Europa League ambapo tayari baadhi ya timu zinapigiwa upatu kusonga mbele huku zingine zikiwa bado zinajitafuta.

Mapema kabisa kule Hispania katika dimba la Abanca-Balaidos Celta Vigo atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Freiburg ya kule Ujerumani. Mechi ya kwanza kabisa wenyeji walipauska vibaya bila hata kupata goli lolote na mlima ni mkubwa hadi sasa. Aggregate ni (3-0) kwahiyo huu ni mchezo ambao wageni watakuja na falsafa ya kujilinda kwani wana mtaji mkubwa hadi sasa kabisa.

Kila timu inahitaji kusonga mbele kwenye hatua inayofuata ya Europa huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji. Je unadhani mgeni anaweza kuondolewa kwenye michuano hii licha ya kuwa na uongiz mkubwa wa mabao?. Jisajili na usuke jamvi lako la ushindi siku ya leo.

Mechi nyingine ambayo itapigwa ni hii ya Aston Villa dhidi ya Bologna ambao walishangazwa kwenye mechi yao ya kwanza wakiwa nyumbani. Vijana wa Unai waliondoka na ushindi mnono huku siku ya leo wakihitaji kukilinda kile ambacho wanacho.

Aggregate hadi sasa ni 2-0 kwani kwenye mechi ya kwanza iliisha kwa 3-1, lakini wenyeji ndio wanapewa nafasi kubwa ya kwenda Nusu Fainali kwenye michuano hii kutokana na faida ya kuwa nyumbani lakini pia na mtaji ambao wanao hadi sasa. Je Unai Emery na vijana wake watafuzu kwa namna gani nyumbani?. Odds kubwa zinapatikana kwenye mechi hii, hivyo ingia na ubeti sasa.

Leo hii michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupa mkwanja cheza, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao ujishindie pesa nyingi hapa. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Na kimbembe kipo kwenye mechi hii ya Nottingham Forest vs FC Porto ya kule Ureno ambapo mechi ya kwanza walitoshana nguvu yaani hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao baada ya kutoka sare ya 1-1.

Forest kwenye ligi kuu kule Uingereza msimu huu amekuwa hana mwenendo mzuri kwani mpaka sasa yupo nafasi ya 16 baada ya jana kutoa sare, Lakini kwa upande wa Porto wao kwenye ligi kuu kule Ureno wanashikilia nafasi ya kwanza baada ya kuendelea kuwa na mwenendo wa kuvutia. Kila timu inapewa nafasi ya kushinda kwenye mechi hii ya leo huku nafasi ya kushinda pesa pale Meridianbet ikiwa ni kubwa zaidi sana. Ja nani unampa nafasi kubwa ya kushinda siku ya leo?.

Vilevile kwa upande wa Real Betis wao wakuwa nyumbani kumenyana vikali dhidi ya Braga ambao walilazimishwa sare kwenye mechi yao iliyopita. Huu ulikuwa ni mtannage wa kukata na shoka kwani timu zote zilikuwa zinashambuliana kwa zamu hakuna ambaye alikuwa anataka kukaa nyuma.

Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi zimekutana mara 3 ambapo mechi zote wanzokutana wanatoka sare, yaani hakuna ambaye anakuwa mbabe kati yao. Na magoli wanayofung hayazidi matatu. Je safari hii nani kuondoka na ushindi?. Dakika 90 za mwamuzi zitaweza kuamua nani anakwenda Nusu Fainali au ni mpaka dakika za zidia?. Suka jamvi mechi hii pale Meridianbet.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!