MKUU wa mkoa wa Tanga, Omar Mgumba leo Jumapili amesema majeruhi watatu katika ajali iliyotokea juzi Korogwe mkoani Tanga, wamefariki dunia na kuongezeka idadi ya vifo vilivyotokana na ajali hiyo...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023WATU 14 ni wa familia moja kati ya 17, wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Magira...
By Gabriel MushiFebruary 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amepiga marufuku tabia za wazazi na walezi nchini kuwatumia watoto wakike katika shughuli...
By Christina HauleFebruary 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameagiza ofisi zote za mabalozi wa mashina nchini zitumike kuwalea na kuwajenga watoto katika...
By Christina HauleFebruary 4, 2023BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha Bodaboda...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023WADAU wa tasnia ya habari wametakiwa kuongeza juhudi katika kupaza sauti kutaka mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limewataka wadau wa habari nchini kuwa na subira kwa kuwa muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma...
By Regina MkondeFebruary 3, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuunda tume ya kuangalia namna ya kuboresha mfumo wa...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kuwasaidia wananchi wa wilaya za Liwale na Nachingwea mkoani Lindi, wanaokabiliwa na baa...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Zungu, watu wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma,...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023NDEGE ya Shirika la Precision Air imeshindwa kufanya safari yake kama kawaida baada ya kupata hitilafu ya kiufundi huku nyingine ikilazimika kutua kwa dharura baada ya kugonga kiumbe kinachodhaniwa...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023JUMLA ya Sh bilioni 120.7 zimetumiwa na Halmshauri ya Jiji Ilala katika uboreshaji wa miundombinu ikiwamo ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2023HOSPITALI nchini China zimejaa wagonjwa na wazee katika kipindi cha likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar. hali hii imetokea ikiwa mamlaka ya China...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Serikali kudhibiti uuzaji holela wa dawa za asili zisizopimwa ubora,...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023ADHA ya mafuriko kwa wakazi wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo sasa imebaki kuwa historia baada ya jumla ya Sh bilioni 215.9 kutumika...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton, aliyepotea tangu tarehe 24 Januari 2023, amepatikana akiwa hajitambui katika pori...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023