Jean-Guy Blaise Mayolas
RAIS wa Chama cha Soka cha Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville – FECAFOOT) amefungwa maisha baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa dola za Kimarekani 1.3 milioni zilizotolewa na FIFA. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Wengine waliokumbwa na kifungo hicho kikali ni mkewe na mtoto wake.
Fedha zilizomtokea puani Jean-Guy Blaise Mayolas, mmoja wa vigogo wa soka katika ukanda wa Afrika ya Kati zilitolewa na FIFA kwa ajili ya maendeleo ya soka ya wanawake na ujenzi wa kituo cha mafunzo.
ZINAZOFANANA
Haki isiwe chombo cha kutolea adhabu pekee-Papa Leo
Watu 518 waliuawa 29 Oktoba
Ripoti ya Tume yasubiriwa