Wakali wa ubashiri leo hii wamekuletea promosheni kubwa na ya kibabe kabisa ambayo unaweza ukarejesha pesa yako ambayo ulikuwa umefanya kama ubashiri siku ya leo. Promosheni hii ni maalum na inayowapa wateja nafasi ya kufurahia burudani ya kubashiri kwa thamani zaidi kupitia ofa ya urejeshaji wa 100% (100% Cashback) kwa michezo teule inayoshiriki kwenye promo hii. Meridianbet inasema kuwa promosheni hii inalenga kuwazawadia wachezaji wanaoshiriki katika michezo husika, kwa kuwapa fursa ya kurejeshewa kiasi cha dau lao endapo watatimiza masharti ya kampeni kama yalivyoainishwa hapo awali kabisa. Kwenye promosheni hii hakuna dau maalumu ambalo linatakiwa kuwekwa ili upate kurejeshewa dau lako, bali ni pesa yoyote ambayo unaiweka na ukafata masharti yote wakati wa kubashiri unaweza ukawa ni moja ya wanufaika hao. Lakini pia promosheni hii ya Meridianbet inasema kwamba hailengi tiketi yenye bashiri ya mechi moja tuu, hivyo mteja kama anataka aweze kunufaika hapa inabidi abashiri mechi zaidi ya moja ndipo apate kurejeshewa pesa. Ukiachana na promosheni hiyo, Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Vilevile mechi ambazo mteja amebeti kwa kutumia mfumo wa BET BUILDER hatazitahusika kipindi cha promosheni hii. Pia kumbuka ili uweze kupata rejesho lako ni lazima kwenye mkeka wako timu moja pekee ndio iwe imepoteza mechi. Mfano kama ulibashiri timu 10 na moja ikapoteza basi unajiweka kwenye nafasi ya kurejeshewa dau lako. Kila mmoja ambaye anatumia Meridianbet ana nafasi kubwa ya kurejeshewa dau lake endapo akibashiri mechi azipendazo leo. Kwa ujumla, promosheni hii ya 100% Cash Back inaonyesha dhamira ya Meridianbet ya kuendelea kuwapa wateja wake thamani bora, burudani ya kisasa na uzoefu salama wa michezo ya kubashiri. Kwa maelezo zaidi kuhusu masharti na vigezo vya kampeni hii, wateja wanashauriwa kutembelea tovuti rasmi ya Meridianbet au kuwasiliana na huduma kwa wateja. Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Latra yaonya wanaopandisha nauli kabla ya mei mosi