Leo tarehe 22 Aprili 2026, saa 9:00 usiku uwanja wa Reale Arena (Anoeta) mjini San Sebastián utakuwa jukwaa la pambano la La Liga kati ya Real Sociedad na Getafe.Real Sociedad wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na pointi 42 wakishika nafasi ya 7 kwenye msimamo, huku Getafe wakiwa na pointi 41 wakiwa nafasi ya 8. Real Sociedad imekuwa ikiongozwa na kocha Pellegrino Matarazzo aliyeteuliwa katikati ya msimu, na tayari ameanza kuleta mabadiliko chanya kwenye uchezaji wa timu. Matarazzo ameleta mbinu za kisasa za kushambulia, zikiwemo mifumo tofauti ya kuweka wachezaji uwanjani. Nahodha Mikel Oyarzabal anaendelea kuwa kiungo muhimu wa timu akiwa na mabao 12 na pasi 3 za kufunga msimu huu, huku Brais Méndez akionyesha ubora wake wa kupiga pasi za hatari na kufunga mabao kutoka nje ya eneo la hatari. Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Upande wa Getafe, timu hiyo inaongozwa na kocha mwenye uzoefu José Bordalás, anayejulikana kwa mbinu zake za kujihami kwa nguvu na kutumia mpira wa vichwa na seti mbalimbali. Getafe wamekuwa wakitumia mfumo wa 4-4-2 au 4-5-1, wakijenga ngome ngumu kwa timu pinzani na kutumia fursa za mpira uliokufa kufunga mabao. Jisajil sasa Hata hivyo, wana tatizo la kufunga mabao wakiwa na mabao 27 tu katika mechi 31, wakiwa miongoni mwa timu zenye mashambulizi dhaifu zaidi kwenye ligi. Mfungaji wao bora Borja Mayoral bado yuko nje kwa sababu ya jeraha la goti, hivyo wanategemea wachezaji kama Satriano Martin na Vazquez Luis kuwawakilisha mbele. Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation NBC, Azam TV wazindua “Kona ya NBC”: Jukwaa jipya la soka linalolenga burudani, maarifa na fursa za kiuchumi