BIASHARA Meridianbet yazindua “The Expanse: Stock Trade” – mchezo wa mikakati unaochochewa anga za juu na soko la wakati halisi April 20, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inafuraha kutangaza uzinduzi wa mchezo wake mpya wa kisasa, The Expanse: Stock Trade, unaolenga kubadilisha namna wachezaji wanavyoshiriki katika michezo ya kimkakati. Ukichanganya msisimko wa maamuzi ya kifedha na…
BIASHARA Serengeti Apple wasafirisha mastaa zaidi ya 30 kwa ndege binafsi hadi Serengeti April 20, 2026 Erasto Masalu SERENGETI Premium Apple imeandika historia kwa kuwasilisha uzinduzi wa kipekee ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, ikiweka alama kama kinywaji premium (RTD) cha kwanza kutengenezwa Tanzania na kampuni ya…
HABARI ZA MICHEZO Crystal Palace yawaalika West Ham mchezo EPL April 20, 2026 Erasto Masalu Uwanja wa Selhurst Park, London Leo tarehe 20 kuanzia saa 22:00 utakuwa jukwaa la pambano la kusisimua la derby ya London kati ya Crystal Palace dhidi ya West Ham United…
BIASHARA Samsung A26 sasa ni kitonga kama ukicheza Super Heli April 20, 2026 Erasto Masalu Kila mbashiri anazungumzia nafasi ya kubeba Samsung Galaxy A26 mpya kabisa kutoka Meridianbet, zawadi inayosubiri yule atakayejua kupaisha vizuri helikopta ya Super Heli. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale…
BIASHARA Mnara wa 4G wa Airtel wabadilisha maisha ya vijijini, Tanga April 19, 2026 Erasto Masalu Wananchi wa Kijiji cha Daluni Kisiwani na vijiji vya jirani, wilayani Mkinga mkoani Tanga, wameanza kunufaika na huduma bora za mawasiliano kufuatia uzinduzi wa mnara wa 4G uliojengwa na Airtel…
BIASHARA Mamilioni hayalali, Big Bounty inatafuta wajasiri wa kweli April 19, 2026 Erasto Masalu Kila kona ya mtaa kuna stori za watu waliobadilisha siku zao kwa dau moja tu la maana. Wakati wengine wanabaki kusubiri bahati, kuna wale wanaoichangamkia kupitia Big Bounty Challenge ya…
HABARI ZA MICHEZO Vita ya ubingwa wa Ligi ya England kuamuliwa leo Manchester City, Arsenal April 19, 2026 Erasto Masalu Leo tarehe 19 kuanzia saa 18:30 kwenye uwanja wa Etihad utashuhudia moja ya mechi zenye uzito mkubwa katika historia ya Ligi Kuu ya Uingereza, ambapo Manchester City watakuwa wenyeji wa…
HABARI ZA MICHEZO Chelsea kukipiga dhidi ya Man United April 18, 2026 Erasto Masalu Jumamosi hii kule Uingereza kutakuwa na mitanange mingi, lakini Chelsea vs Man United ndio mechi kubwa itakayopigwa siku hiyo huku kila timu ikitaka ushindi mnono. Mechi kati ya Chelsea vs…
BIASHARA Paisha kindege cha Aviator ushuke na rundo la mizawadi April 18, 2026 Erasto Masalu Mtaa umejaa upambanaji, kila mtu anatafuta njia ya kutoka na kujiweka sawa. Sasa Meridianbet wamekuletea mseleleko, ni kupitia kindege cha Aviator. Hapa siyo hadithi, ni nafasi ya kweli ya kupaa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Equinor yafanya ziara bandari ya Mtwara kutathmini utayari wa mradi wa LNG April 18, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya Equinor kutoka Norway, ambayo ni miongoni mwa makampuni yanayotarajiwa kuwekeza katika mradi wa gesi asilia (LNG), imefanya ziara katika Bandari ya Mtwara kujionea maboresho yanayoendelea kufanyika katika bandari…