Tuesday , 30 April 2024

Month: March 2024

Habari Mchanganyiko

Mchungaji awapa mbinu Watz kutunza amani

Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT) Usharika wa Nyakabanga, Johanitha Yona amewataka watanzania na jamii kwa ujumla wake kujenga...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda ang’oka CCM

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemtea Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha....

Habari za SiasaTangulizi

Mkeka wa Samia: Ndalichako, Makala nje, Migiro, Ndejembi waula

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali wakiwamo wakuu wa wilaya, mikoa,...

Biashara

Meridianbet yagawa reflectors Magomeni

KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kufika maeneo yaMagomeni jiji Dar-es-salaam kugawa Reflectors kwamadereva Bodaboda wanaopatikana katika eneo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Serikali Z’bar yalaani ukamataji, unyanyasaji kwa wanaokula hadharani wakati wa mfungo

SERIKALI ya Zanzibar, imelaani vitendo vya baadhi ya raia kunyanyaswa kwa madai ya kukiuka taratibu za imani ya dini ya kiislam wakati wa...

Habari Mchanganyiko

Watano watupwa jela miaka saba kwa wizi wa pombe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mbozi imewahukumu watu watano kifungo cha miaka saba jela kila mmoja kwa kukutwa na hatia ya kuvunja...

Habari za Siasa

Kigogo ACT-Wazalendo auawa Zanzibar, Polisi wataja chanzo

ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Jimbo la Chaani, visiwani Zanzibar, Ali Bakari Ali (62), amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mnazi...

Habari Mchanganyiko

TANROAD waanika namna Samia anavyoifungua Morogoro

WAKATI tunaadhimisha miaka mitatu madarakani ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, umefanikiwa kutekeleza miradi miwili mikubwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ole Sendeka aeleza wasiojulikana walivyommiminia risasi

MBUNGE wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, ameelezea namna watu wasiojulikana walivyoshambulia kwa risasi gari lake akiwa njiani kurudi jimboni kwake, akisema kabla...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Kikwete aipongeza NBC kwa ukuaji, ushirikiano na wateja

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete ameelezea kuridhishwa kwake na kasi ya ukuaji pamoja na uimara wa taasisi za fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi waanza uchunguzi tukio la Olesendeka kushambuliwa

JESHI la Polisi nchini, limesema limeanza uchunguzi wa tukio la gari la Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, kushambuliwa na risasi na...

Habari za SiasaTangulizi

Gari la Mbunge Ole Sendeka lashambuliwa kwa risasi

GARI la mbunge wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, limeshambuliwa kwa risasi eneo la Ndaleta, wilayani Kiteto wakati akiwa na dereva...

Habari Mchanganyiko

Puma Energy Tz: Watanzania tudumishe amani kuvutia uwekezaji

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika Iftar iliyoandaliwa na Kampuni hiyo huku ikitumia nafasi hiyo kuwaomba Watanzania kuendelea kuwaunga...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Samia aunde tume kuchunguza mauaji mgodi wa Barick

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameombwa aunde tume huru kwa ajili ya kuchunguza mauaji ya raia yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari polisi...

Habari Mchanganyiko

DAWASA waanza utekelezaji agizo la Samia

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso la kuwarudishia...

Habari MchanganyikoKimataifa

Zuma akataliwa kugombea urais

TUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi uliopangwa Mei mwaka huu na hivyo...

KimataifaTangulizi

Zuma akataliwa kugombea urais

  TUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi uliopangwa Mei mwaka huu na...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nani anasema kuna hasara ATCL?

RIPOTI za makusanyo na matumizi ya fedha katika Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ni kwa akili ya wajuzi tu wa mahesabu, wasio na...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

RIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imebaini Mfuko wa Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

VIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19 nchini, vinadaiwa kuingia mitini na fedha za mikopo kiasi cha Sh. 2.6 bilioni....

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

MASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni ya fedha katika mwaka wa fedha ulioisha wa 2022/23. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari Mchanganyiko

Mtandao watetezi wa haki za mazingira Tanzania waundwa

MTANDAO wa watetezi wa haki za mazingira nchini Tanzania, umeundwa kwa ajili ya kuweka mikakati ya kuimarisha shughuli zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

CAG aibua madudu halmashauri 10, TANESCO na MSD

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imeibua madudu katika halmashauri...

Habari za Siasa

Alichokisema Rais Samia baada ya kupokea ripoti ya CAG, TAKUKURU

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itafanyia kazi mambo yaliyoibuliwa katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kapinga kuongoza usambazaji wa mitungi ya gesi 10,000 ya Taifa Gas

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameahidi kuongoza kwa ufanisi usambazaji wa mitungi ya gesi takribani 10,000 iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas...

Habari za SiasaTangulizi

2 wasimamishwa DART kwa kugoma kusafirisha abiria

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umewasimamisha kazi watumishi wawili ambao ni Shabani Kajiru – Msimamizi wa Kituo cha Kivukoni na Brown Mlawa...

Habari za SiasaTangulizi

Deni la Serikali laongezeka kwa trilioni 11

DENI la Serikali imeongezeka kwa takribani Sh. 11 trilioni sawa na asilimia 15, kutoka Sh. 71.31 trilioni (2021/22) hadi kufikia Sh. 82.25 trilioni...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara, wawekezaji China waridhia kuwekeza bil. 800 katika sekta 5 nchini

UJUMBE wa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka Jimbo la Changzhou nchini China umeeleza kwamba umeridhia kufanya uwekezaji wa zaidi ya dola za Marekani...

Habari Mchanganyiko

Bil. 4.42 kumaliza uhaba maji kata 2 Musoma Vijijini

WANANCHI wa kata za Busambara na Kiriba, Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Soko nepi za watoto lashuka, watu wazima lapaa

Kiwanda cha kutengeneza nepi cha Japan kimetangaza kuwa kitaacha kutengeneza nepi kwa ajili ya watoto wachanga nchini humo na badala yake kitaangazia soko...

Habari Mchanganyiko

NMB yafuturisha Dar, Majaliwa azitaka Serikali za Mitaa, Taasisi zijifunze kwao

BENKI ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada kwa vituo vya...

Habari za SiasaKimataifa

Mwanaye rais jela miaka miaka 6 kwa dawa za kulevya

Mwanawe rais wa zamani wa Guinea-Bissau amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela na mahakama ya Marekani kwa kuongoza mtandao wa kimataifa wa ulanguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Mapya yaibuka wamasai waliohamishwa Ngorongoro kwenda Msomera

MAPYA yameibuka kuhusu zoezi la Serikali kuwahamisha kwa hiari wamasai waliokuwa wanaishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo ya Msomera mkoani Tanga,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baba aomba msaada kuzika miili ya familia yake iliyofunga bila kula kuonana na Mungu

WAKATI Mamlaka nchini Kenya, ikiendelea kukabidhi miili ya watu waliofariki kutokana na njaa baada ya kupokea maelekezo ya mchungaji mwenye utata Paul McKenzie,...

Habari Mchanganyiko

Simba wapungua kwa asilimia 45 Uganda

WIZARA ya utalii na wanyamapori ya Uganda imesema nchi hiyo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa idadi ya simba kufuatia kupungua kwa asilimia 45...

Habari Mchanganyiko

Bihimba awavunjia ukimya wanaharakati

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya, amewataka wanaharakati kujikita zaidi katika kuisaidia jamii na kuwataka baadhi yao ambao wanatumia majukwaa yao vibaya kuacha mara moja....

Habari za Siasa

Rais Samia ampongeza mpinzani aliyeshinda urais Senegal

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza mwanasiasa wa upinzani, Bassirou Diomaye Faye, kwa kufanikiwa kushinda kiti cha urais wa Senegal, katika...

Biashara

Mchezo mpya mjini Super Heli Kasino, ushindi, zawadi ndiyo sehemu yake

  KUNA watu wanakwambia hakuna njia rahisi ya mafanikio kwenye maisha? Achana nao hao leo nataka nikujuze tu kila mtu ana njia yake...

Habari za Siasa

Ushindi wa mpinzani Senegal wakoleza moto kwa wapinzani Tanzania

USHINDI wa aliyekuwa mgombea  urais wa upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye ambaye amevunja rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo zaidi barani...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda awapopoa wanaomtofautisha Magufuli na Samia

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka viongozi wa chama hicho na watu wanaojaribu kumtenganisha Rais Dk....

AfyaHabari Mchanganyiko

Marekani kuipa Tanzania bilioni 980 kudhibiti VVU, UKIMWI

SERIKALI ya Tanzania inatarajiwa kupewa msaada wa fedha kiasi cha Sh. 980 bilioni na Serikali ya Marekani, kwa ajili kuongeza nguvu katika mapambano...

Habari Mchanganyiko

Ubomoaji Msimbazi Bondeni kuanza Aprili 12, bilioni 52 zalipwa

Zoezi la ubomoaji wa nyumba zilizofidiwa na Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi linatarajiwa kuanza rasmi tarehe 12 Aprili 2024, na litawahusu...

Habari Mchanganyiko

Waandishi wa habari Lindi wafariki ajalini, Nape awalilia

AJALI ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia tarehe leo 26 Machi 2024, maeneo ya Nyamwage mkoani Pwani, imekatisha maisha ya waandishi wa habari...

Habari za SiasaKimataifa

Faye aahidi kuongoza kwa unyenyekevu, wagombea wenzie wakubali yaishe

Mgombea wa upinzani Senegal, Bassirou Diomaye Faye anajiandaa kuwa rais baada ya mpinzani wake mkuu kutoka chama tawala kukubali kushindwa, kufuatia uchaguzi uliofanyika...

Habari Mchanganyiko

Wakulima waeleza kunufaika na mradi wa ‘Beyond Cotton’

  WAKULIMA wa zao la pamba Wilayani Magu Mkoa wa Mwanza wameeleza kunufaika na mradi wa uongezeaji tija na thamani katika zao la...

Habari Mchanganyiko

DAWASA yatoa vifaa vya maunganisho mapya Dar

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapandishwa uwezo wake wa kukopa Kimataifa

  TANZANIA imepandishwa kwenye orodha ya kimataifa ya viwango vya nchi vya kukopa kutokana na kuimarika kwa uchumi wake ndani ya uongozi wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yafuturisha Unguja, Pemba, SMZ yaahidi ushirikiano

BENKI ya NMB imeendeleza utamaduni wa kufuturisha wateja wake walioko kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, baada ya kufanya hafla mbili tofauti...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Miaka 28 watumishi UDSM yaliwa na nzige, madumadu

GEORGE Francis anasikitika; anatembea akiwa na mawazo mengi, hajui la kufanya. Kinachomfanya awe katika hali hiyo ni baada ya kujikuta miaka 18 aliyotumika...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nimekumbuka Samia wa miaka 3 iliyopita

WAKATI naandaa makala ya safu hii wiki hii, nimejikuta nakumbuka kuwa leo (19 Machi 2023), ni miaka mitatu kamili tangu Rais Samia Suluhu...

error: Content is protected !!