Thursday , 9 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yagawa reflectors Magomeni
Biashara

Meridianbet yagawa reflectors Magomeni

Spread the love


KAMPUNI
ya Meridianbet imefanikiwa kufika maeneo yaMagomeni jiji Dar-es-salaam kugawa Reflectors kwamadereva Bodaboda wanaopatikana katika eneo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidikurudisha kwa jamii yao inayowazunguka mara kwa mara, Na ndivyo walivyofanya leo baada ya kufika katika eneo la Magomeni jijini Dar-es-salaam.

Lengo La Meridianbet kutoa Reflectors kwa Bodaboda kwajiliya kuhakikisha wanaungana na Serikali katika kuhakikishawanapunguza ajali barabarani,Kwani kupitia Reflectors imekuaikiwasaidia sana Bodaboda kuepukana na ajali za mara kwamara barabarani.

Aidha mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutokaMeridianbet Bi. Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumzakatika eneo hilo akiiwakilisha taasisi ya Meridianbet “Kwanza kabisa nipende kuwashukuru viongozi wa eneo hili kuwezakufanikisha sisi kufika hapa, Lakini jambo la msingi nifuraha yetu kuona tunaungana na serikali katika kupiga vita ajali za barabarani kwa kuweza kufika hapa na kugawaReflectors”

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leokwenye ligi mbalimbali barani ulaya na dunia kwa ujumla. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kiongozi wa Umoja wa Bodaboda eneo la Magomeni naealipata nafasi ya kuongea baada ya Meridianbet kufika eneo hilona kutoa neno la shukrani Tunashukuru sana kwa kampunihii kongwe kabisa kufika eneo hili na kuweza kutoa msaadawa Reflectors kwetu ambazo kiukweli zitakwendakutusaidia sana kuepusha ajali za barabarani ambazotumekua tukikumbana nazo mara kwa mara, Nipende kutoawito kwa makampuni mengine yaweze kujitoa na kugusajamii kama Meridianbet

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

Spread the love  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

Spread the loveWADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku...

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Spread the love Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament,...

Biashara

Bounty Hunters sloti yenye utajiri Meridianbet kasino

Spread the love Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya...

error: Content is protected !!