Sunday , 19 May 2024

Month: January 2020

Habari

Marekani, JPM waungana kuelekea uchaguzi mkuu 2020

AHADI ya Rais John Magufuli kwamba, atahakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu unakuwa huru na haki, imeungwa mkono na Marekani. Anaripoti Martin Kamote,...

Kimataifa

Corona janga la dharura – WHO

TEDROS Adhanom, Kiongozi Mkuu wa Shirika la Afya duniani (WHO), ametangaza kwamba virusi vya Corona sasa ni janga la dharura duniani. Inaripoti Mitandao ya...

Habari za Siasa

Mkopo WB: Bunge lamuwinda Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), anasubiriwa kwa hamu na Bunge la Jamhuri, kutokana na uamuzi wa kuiandikia barua Benki ya Dunia...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa Fedha atia nchi hasara Mil 80 kila siku

KILA siku taifa linateketeza Sh. 80 milioni kulipa wakandarasi kutokana na Philip Mpango, Waziri wa Fedha kushindwa kuruhusu Shirika la Nyumba (NHC), kumalizia...

Habari za Siasa

Lugola atinga Takukuru bila ‘jezi’

KANGI Lugola, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ametinga katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), jijini Dodoma. Anaripoti...

Habari

WB ipo kwenye majadiliano ya mkopo – Serikali

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi amesema, Tanzania inaendelea na majadiliano na Benki ya Dunia (WB), kuhusu mkopo wa Dola za Marekani...

Habari Mchanganyiko

Rugemalira atoa ombi rasmi kortini

JAMES Rugemalira, mfanyabiashara mkubwa na mshtakiwa wa kesi ya utakatishaji fedha, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kufuatilia barua...

Habari za Siasa

Maalim Seif agombea uenyekiti ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Baada TAKUKURU, Bunge lamkalia kooni Lugola

BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa...

Habari Mchanganyiko

Mfanyabiashara pombe kali, wenzake wafikisha kortini

MFANYABIASHARA wa pombe kali na Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaluma General Suppliers Limited Lucas Mallya na wenzake wanane, wamefikishwa mahakamani kwa makosa 28...

Habari za SiasaTangulizi

Heche atibua tena, aibuka na Tril 426

JOHN Heche, Waziri Kivuli wa Wizara ya Madini, ameitaka serikali ieleze zilipo fedha kiasi cha Sh. 426 trilioni, zilizokwepwa kulipwa na kampuni ya...

ElimuHabari Mchanganyiko

UDOM yaanza kutoa msaada wa kisheria bure

KITUO cha Msaada wa Kisheria kutoka Chuo Kikuu cha Dododoma (UDOM), kimeanza kutoa huduma ya elimu ya sheria bure kwa wakazi wa jiji...

Habari Mchanganyiko

Serikali yachukua hatua kukabili virusi vya Corona

SERIKALI imejipanga kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa kuanza ukaguzi wa watu wanaoingia nchini, pamoja na kuanzisha maeneo ya kutibu wagonjwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ahadi ya Chadema 2020

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeweka ahadi ya kutovumilia kunyongwa kwa haki, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Monde, Dar...

Habari za Siasa

Sakata la Zitto, Prof. Assad, Rais Magufuli laanza kufukuta kortini

HATUA za awali katika kesi iliyofunguliwa na Zitto Kabwe, kupinga hatua ya Rais John Magufuli kumteua Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Michezo

Tuhuma za Kabwili, Simba wainua mikono, waiachia TFF

UONGOZI wa klabu ya Simba umetoa taarifa ya kusikitishwa kwao na tuhuma za madai ya rushwa zilizotolewa na mchezaji wa klabu ya Yanga,...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya ataweza kuumeza mfupa uliomshinda Selasini?

MBUNGE wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Amos Bulaya, ametangazwa kuwa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Uteuzi huo umefanywa...

Michezo

Yanga yaitisha mkutano wa dharura kubadili Katiba

MWENYEKITI wa Yanga. Dk. Mshindo Msola ameitisha mkutano mkuu wa dharura kwa wanachama wa klabu hiyo unaotarajia kufanyika tarehe 16 Februari, 2020, katika...

Habari Mchanganyiko

Mahabusu wabebwa kwa bodaboda

UKOSEFU wa usafiri katika Gereza la Ulanga, Morogoro, imesababisha mahabusu kusafirishwa kwa bodaboda kupelekwa mahakamani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

WB kuitosa Tanzania? Kikao cha dharura chafanyika

MSIMAMO wa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Asasi za Haki za Binadamu za Kimataifa nchini Tanzania, umeisukuma Bodi ya...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yatangaza kujitenga Uchaguzi Mkuu 2020

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kusimama peke yake katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Safu mpya ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetangaza kuanza mchakato wa kupanga safu mpya ya uongozi wa chama hicho, kwa kufanya uchaguzi wake wa ndani. Anaripoti Martin Kamote,...

Habari za Siasa

‘Kabendera hajamalizana na DPP’

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, bado yupo kwenye majadiliano na Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Makosa ya Jinai (DPP). Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Vurugu CUF

VURUGU, kutupiana maneno na kutuhumiana imekikumba Chama cha Wananchi (CUF), wakati wa maadhimisho ya miaka 19 ya mauaji ya wananchama wake viwiwani Zanzibar....

Habari za SiasaTangulizi

Yametimia: CUF hatarini kumeguka tena

VURUGU zimeibuka katika Kongamano la kuwarehemu wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF, waliouawa katika maandamano ya Visiwani Zanzibar tarehe 26 na 27 Januari,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atibua, Polepole amwita kibaraka

BARUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwenda Benki ya Dunia (WB), kutaka kuzuiwa msaada wa Dola za Marekani Mil...

KimataifaMichezo

Shujaa wa kikapu: Kobe Bryant, hatuko naye tena

NI majonzi. Ni simamizi. Ni vilio kote duniani, kufuatia kifo cha ghafla cha nyota wa mpira wa kipaku nchini Marekani, Kobe Bryant. Mwanamichezo...

Habari za Siasa

Mtatiro aagiza wazazi wasiopeleka watoto shule kukamatwa, 50 wadakwa

WAZAZI 50 wamekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma, kwa kosa la kutopeleka shuleni watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato...

Habari za SiasaTangulizi

Babu Duni: Dhamira yetu Z’bar haijatimia, hatuchoki

JUMA Duni Haji, mwanasiasa mkongo wa upinzani visiwani Zanzibar amesema, dhamira ya ‘kuwanusuru’ Wazanzibari haijatimia na hawatachoka. Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea). Ametoa kauli...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba ahojiwa

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anahojiwa na Jeshi la Polisi mkoani Tanga kwa madai ya kufanya ziara bila kibali....

Habari za Siasa

Zitto afungua kesi kupinga Prof. Assad kuondolewa madarakani

ZITTO  Kabwe, Kiongozi  Mkuu wa ACT wazalendo, amefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga Uteuzi wa Mdhibiti...

Habari za Siasa

Waziri ashangaa madini kulindwa na wageni

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Ajira Vijana na wenye Ulemavu, Jenister Mhagama amevishangaa vyombo vya ulinzi na usalama nchini,...

Habari za Siasa

Halmashauri ya Chadema yaenda kujifunza kwa CCM

HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Dodoma ambayo inaongozwa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF kwafukuta tena, Prof. Lipumba aonyesha maguvu yake

MINYUKANO mipya ya kuwania madaraka, imeanza kujirudia kwa kasi, ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Asasi za kiraia kuwasilisha taarifa kila robo mwaka

WAMILIKI wa Asasi zisizokuwa za kiserikali katika Jiji la Dodoma zimekubaliana kuwa zitakuwa zinawasilisha taarifa zao za kila robo ya mwaka kwa Afisa...

Habari za Siasa

Mawakili wajifungia kusaka mwarobaini wa kesi za utakatishaji fedha

BAADHI ya mawakili nchini Tanzania, wamefanya semina ya mafunzo ya kuepuka kujihusisha na makosa ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi, pindi wanapotekeleza majukumu...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya waponea ‘tundu la sindano’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapa onyo kali,  Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, kwa kukiuka masharti...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo Chadema watua mzigo wa utetezi

KESI ya uchochezi namba 112/2018, inayowakabili vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,  imekaribia kufika...

Habari Mchanganyiko

Makontena ya makinikia sasa kuuzwa

HATIMAYE Rais John Magufuli ameagiza makontena 277 ya makinikia, yaliyozuiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa zaidi ya miaka miwili yauzwe. Anaripoti...

Habari za Siasa

JPM: Msipuuze wapinzani, wamebadilika

RAIS John Magufuli amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutobweteka kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aahidi maumivu kwa wapinzani

RAIS wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Magufuli, ameahidi maumivu kwa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba,...

Habari za Siasa

Zungu aukwaa uwaziri, Simbachawene amrithi Lugola

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, kwa kumteua Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya...

Habari Mchanganyiko

Wazamiaji Afrika Kusini wadakwa, wafikishwa Kisutu

WATANZANIA 30 waliorudishwa nchi kutoka Afrika Kusini, walikokuwa wakiishi kinyemelea, wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu, kujibu tuhuma za kusafiri kinyume cha sheria. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Dar kizazaa, bunduki yakokiwa

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita leo amezuiwa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Mipango Miji, Mazingira na Usafirishaji kilichopangwa kufanyika...

Habari za Siasa

Msiri wa Prof. Lipumba ajiuzulu, sababu ‘zazimwa’

MTU wa karibu na msiri wa Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amejiuzulu nafasi ya ukurugenzi wa Idara...

Habari za SiasaTangulizi

Kashfa ya ufisadi yamng’oa Lugola

KASHFA inayohusu mkataba wa ununuzi wa vifaa vya kutumika ndani ya Jeshi la Magereza nchini imechochea kujiuzulu kwa Waziri Kangi Lugola. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Waitara ajikomba kwa Rais Magufuli

MWITA Waitara, Naibu Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, jijini Dar es Salaam amejikomba kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Ingizeni wake zenu – Zungu

MUSSA Zungu, Mbunge wa Ilala, amewataka maofisa na askari magereza kulinda heshima ya nyumba za serikali waliokabidhiwa, kwa kuhakikisha wanaingiza wake zao. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Chadema: Wimbo wa CCM watibua mahakama

WIMBO unaotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye shughuli zake za kampeni, unashawishi wananchi kuwanyima kura wapinzani. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yaokoa Bil 4

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), imeeleza kufanikiwa kuokoa zaidi ya Sh. 4 Bil baada ya kufanyia kazi ripoti ya...

error: Content is protected !!