BABA Mtakatifu Francisko, ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania, Telesphor Mkude la kung’atuka madarakani. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020SERIKALI ya Tanzania, imeagiza mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hospitali zote za umma, ili kubaini sababu za kukwama kwa mfumo wa utoaji huduma za...
By Regina MkondeDecember 31, 2020WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amepiga marufuku, makongamano ya dini au mikutano ya mikesha inayofanyikia viwanja vya wazi usiku...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imerejesha vifaa ghafi vya umeme vya zaidi ya Sh.1.2 bilioni kwa Shirika la...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika kipindi kifupi alichokaa madarakani, amebaini ubadhirifu wa fedha za umma katika taasisi za Serikali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020MSHAMBULIAJI wa Yanga, Saidi Ntibanzokiza huenda akaukosa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons, kutokana na kuumia kwenye mchezo uliopita...
By Kelvin MwaipunguDecember 29, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) kumi visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Uteuzi huo...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amekagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi, lililopo jijini Mwanza, litakalokuwa na urefu wa 3.2...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020UONGOZI wa klabu ya Simba umemsimamisha kiungo wake mkabaji, Jonas Mkude kwa muda wa siku zisizojulikana kutokana na utovu wa nidhamu mpaka atakaposilizwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufanunuzi juu ya sakata la kudaiwa na klabu ya Lipuli FC kiasi cha Sh. 10,000,000...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2020HATUA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kushitaki Kamati Kuu (CC) ya (Chadema, mbele ya Baraza Kuu la taifa (BKT), yaweza kuwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2020JUSTIN Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada anatakiwa kuchunguza kifo tatanishi cha mwanaharakati Karima Baloch. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ni kutokana na shinikizo...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameagiza Tume ya Uchunguzi wa Majengo ya Kihistoria yaliyoko katika Mji Mkongwe, atakayoiunda, kuwahi kutoa orodha ya majengo...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020LIGI Kuu nchini Uingereza kuendelea tena hii leo, ambapo klabu ya Manchester City itashuka dimbani kuwakabili Everton, huku Chelsea ikiwa nyumbani itapata wakati...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2020WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Tehama) nchini Tanzania, Dk. Faustine Ndugulile, ameipa miezi mitatu (siku 90), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum Bandari za Dar es Salaam, Mwanza,...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WATU wanaomiliki ardhi mijini, mashambani na vijijini, wametakiwa kulipa kodi ya ardhi kabla ya Januari 2021, vinginevyo watafikishwa kortini. Anaripoti Regina mkonde, Dar...
By Regina MkondeDecember 27, 2020KRYSTYNA Marty, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali Uswizi amefanya mazungumzo na Qin Gang, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuhusu mahusiano...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2020RAIS John Magufuli ameagiza Hoteli ya Desderia inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, isivunjwe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa hiyo...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020LEONEL Messi, mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona na Argentina anawindwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Mkufunzi wa zamani wa Klabu ya Tottenham Hotspur ya...
By Hamisi MgutaDecember 26, 2020WATU kadhaa wameuawa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya wanamgambo wa Boko Haram kushambulia vijiji vya Wakristo na kuteketeza Kanisa wakati wa Mkesha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020KIONGOZI wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee, wameshinda tuzo za...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshinda Tuzo ya Watu, Taasisi na Chapa, zinazoongoza mtandaoni (Tanzania Digital Awards), kwenye kipengele cha chama bora cha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020SERIKALI ya Tanzania imeagiza utoaji wa majibu ya vipimo vya ugonjwa wa corona ndani ya saa 24 badala ya saa 72. Anaandika Regina...
By Regina MkondeDecember 26, 2020VYAMA vya siasa nchini, vimetakiwa kumaliza tofauti zao kwa kukaa meza moja na kuzungumza ili kuweza kufikia mwafaka wa kupata amani badala ya kutunishiana...
By Hamisi MgutaDecember 25, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameungana na Watanzania kuadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, kwa kusali Misa Takatifu ya Krismasi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amesema...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2020MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mwanza, imewahukumu kunyongwa hadi kufa, kwa washitakiwa wanne waliotuhumiwa na Jamhuri, kumuua kwa makusudi, Alphonce Mawazo. Anaripoti Faki Sosi,...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020KATIKA juhudi za kudhibiti kukua kwa ushawishi wa China katika Pwani ya Kusini mwa nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Japan, Yoshihidi Suga na mshirika...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kuwashangaa wapinzani kwa kudhani kampeni nzuri zinaweza kuwapa ushindi. Hamis Mguta,...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020WIZARA ya Katiba na Sheria Tanzania, imemuomba Rais John Magufuli aongeze idadi ya majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, ili kuimarisha mfumo...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020JECHA Salim Jecha, aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ameibuka upya. Safari hii anasema, aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutoendesha shughuli zake kwa njia ya mtandao, ili kudhibiti...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amani hailetwi kwa majeshi, itikadi yoyote...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020VURUGU za kisiasa, kukua kwa deni la nje na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, vimesababisha kupunguza uwekezaji wa China nchini Pakistan, ambapo Beijing...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amemsimamisha kazi, Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii visiwani humo(ZSSF), Sabra Issa Machano na watendaji...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020SERIKALI ya Tanzania imeagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuchunguza madai ya wananchi kuhusu wizi wa data na vifurushi, unaodaiwa kufanywa na baadhi...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam imetaifa madini yenye gramu zaidi ya 800 ya mfanyabiashara Haji Hassan (52) na Jamas...
By Hamisi MgutaDecember 23, 2020MWAKA 2020 unaelekea ukingoni, hata hivyo umeacha jambo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ndani ya...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam, imeiamuru Kampuni ya Mwasiliano ya Halotel Tanzania, kulipa fidia Sh. 42 Bilioni. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaDecember 23, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...
By Hamisi MgutaDecember 23, 2020SERIKALI inatarajia kujenga shule mpya za Sekondari 1,000, kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP), ili kuondoa changamoto ya upungufu wa madarasa...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (Salander), lililoko jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020MWAKA 2020 uondoke na usirejee tena, kutokana na jinsi ulivyoacha maumivu, malalamiko, uharibifu na kugharimu maisha ya baadhi ya watu. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaDecember 22, 2020TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu uliyopita, bado yuko kwenye makazi yake nchini Ubelgiji na anasema, “mapambano yanaendelea.”...
By Hamisi MgutaDecember 22, 2020KAULI ya Mohamed Salah, mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool kwamba, alifedheheshwa kwa kutopewa nafasi ya unahodha wakati wa mechi yao na Midtjylland, Klabu Bingwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020VIONGOZI wa vituo vya huduma za afya vya umma, wametakiwa kuchukua tahadhari ya matumizi ya fedha kulingana na bajeti ya serikali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amstukiza mkandarasi wa ujenzi wa Soko la Tandale ili kujiridhisha kama ametekeleza maagizo ya...
By Hamisi MgutaDecember 22, 2020