Tuesday , 30 April 2024

Month: November 2023

Habari Mchanganyiko

Heche ataka mawakili vijana kuamka sakata Mpoki

MWENYEKITI wa Mawakili Vijana Tanzania kutoka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Edward Heche, amewataka wanachama wake kuchukua hatua pindi watakapoona sekta ya...

Habari Mchanganyiko

Bihimba awakumbuka watoto yatima Msongola

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ametoa msaada wa mahitaji mbalimbali ikiwemo chakula, katika Kituo cha Watoto Yatima Msongola, kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam,...

Kimataifa

Papa Francis kumfukuza Kardinali anayepinga mageuzi Kanisa Katoliki

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anadaiwa kupanga kumfumkuza Kardinali wa Marekani, Raymond Burke anayedaiwa kuwa mkosoaji mkubwa na mpingaji wa mpango...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda ataka mwarobaini changamoto uchaguzi 2020

KATIBU Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema changamoto zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, kama hazitajadiliwa kwa uzito...

Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

  NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3...

Habari za Siasa

Wanawake Chadema waingilia kati sakata la Pauline Gekul

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), wilayani Ilala, limeitaka Serikali kushughulikia kwa ukamilifu tuhuma za ukatili wa kijinsia, zinazomkabili...

Habari Mchanganyiko

Polisi wawili mbaroni tuhuma za kumuua mlinzi wa baa

ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, wanashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi aliyekuwa mlinzi wa...

Habari za Siasa

Dk. Tulia apendekeza mbinu kumaliza mgogoro Palestina, Israel

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, ameielekeza kamati inayoshughulikia masuala ya Mashariki ya Kati ya umoja huo kutembelea eneo...

Habari za Siasa

NEC CCM yateua wagombea uenyekiti mikoa, wilaya

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Jumatano kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea wa nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

⁩ Samia aridhia Chongolo kujiuluzu

Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano ameridhia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo kutokana na barua aliyoiandika...

Michezo

Meridianbet na Ligi ya Europa inakupa pesa za kumwaga mapema sana

  KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani kubwa sana,...

Habari za Siasa

RC Dodoma: Kila kaya, taasisi zilime heka 2 mazao ya chakula

KATIKA harakati za kuimarisha sekta ya kilimo pamoja na kuhamasisha  wananchi kulima mazao yenye tija ili kuondokana na baa la njaa, Mkuu wa...

Habari za Siasa

Dodoma kinara ukaguzi miradi mbio za mwenge 2023

MKOA wa Dodoma umeshika nafasi ya kwanza kati ya mikoa 31 kwa mwaka 2023 katika miradi iliyokaguliwa na kuzinduliwa na mbio za Mwenge...

Habari za Siasa

Kapinga awataka wananchi kutunza miundombinu ya umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miundombinu ya umeme nchini ili itumike kwa muda mrefu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Zitto aipa ushauri Serikali maandalizi dira mpya ya maendeleo

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali ianzishe mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kujadili namna ya kuandaa dira mpya ya...

Habari za Siasa

Serikali yaanika mikakati upanuzi wa viwanja vya ndege Kigoma

SERIKALI imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

13 wafariki dunia ajali ya basi likigonga treni Singida

JUMLA ya watu 13 wakiwamo wanawake sita na wanaume saba wamefariki dunia baada ya basi la kampuni ya Ally’s Star Bus kugonga kichwa...

Habari Mchanganyiko

Polisi Arusha waja na mbinu mpya kukabiliana na uhalifu

  JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na matukio ya uhalifu katika Mkoa huo ambapo wamewapanga askari...

Biashara

Kasino ya Lucky Sevens ni rahisi kucheza na kuibuka tajiri, fanya haya

  NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha gani? Iko hivi Kasino ni sehemu nzuri yenye kila kitu cha kufurahi, ikiwemo...

Michezo

Kwapua mpunga na mechi za UEFA leo na kesho

  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho kwa michezo kibao hivyo ukiwa kama mteja wa Meridianbet na wale wengine mambo...

Habari Mchanganyiko

Mageuzi makubwa Msajili wa Hazina

  MAGEUZI makubwa yanatarajiwa kuhusu uendeshaji wa mashirika ya umma na wwkala za serikali kufuatia kuja kwa sheria mpya ya Mamlaka ya Uwekezaji...

Habari MchanganyikoTangulizi

33 wanusurika ajali ya ndege Mikumi

JUMLA ya abiria 30, marubani wawili na mhudumu mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo saa 3:40 asubuhi katika Hifadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ulega amtumbua mkurugenzi uvuvi

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameagiza kuondolewa katika nafasi yake Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi, Stephen Lukanga baada ya kushindwa kupanga na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

KKKT: Viongozi msitumie madaraka kutesa watu

Askofu Kanisa la Kiinjili, Kilutheri Tanzani (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, Jacob Mameo ametoa wito kwa viongozi wenye tabia ya kutumia vibaya madaraka  yao...

Elimu

Prof. Mkenda avitaka vyuo vikuu Afrika kujikita katika tafiti

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Prof. Adolf Mkenda amevitaka vyuo vikuu barani Afrika, kujikita katika kufanya tafiti zitakazojibu changamoto za...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha tiba Afrika

SERIKALI  imejipanga kuifanya nchi kuwa kitovu cha tiba utalii, kwa kuweka mikakati itakayosaidia utoaji huduma za afya kwa wagonjwa maalum wa ndani na...

AfyaMichezo

GGML yatoa milioni 17 kung’arisha ATF Marathon

KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...

Biashara

Ujenzi waiva barabara ya Bigwa – Kisaki

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa mkandarasi atakayetekeleza ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya Bigwa – Mvuha – Kisaki (km 133.28),...

Habari za Siasa

Kigoma walia rushwa ugawaji vitambulisho vya NIDA

BAADHI ya wananchi mkoani Kigoma wameilalamikia Mamlaka ya Taifa ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa madai kuwa baadhi ya maofisa wake mkoani humo...

Habari Mchanganyiko

Kihenzile ataka miradi Ziwa Tanganyika kukamilika

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amezitaka mamlaka na taasisi za serikali zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu na vyombo vya usafirishaji majini kwenye...

ElimuTangulizi

Tazama matokeo darasa la saba 2023 hapa

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Latra yatangaza kupanda kwa nauli za daladala, mabasi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 gharama...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda: Chama kitafuata mkondo wake kuhusu Gekul

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema taratibu zitafuata mkondo wake kupitia mamlaka za nidhamu kuhusu tuhuma za udhalilishaji zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini, Pauline...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wananchi washirikishwe uandaaji Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi...

Biashara

Fanya haya kabla hujacheza kasino

  UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida, Meridianbet kasino mtandaoni ni jibu tosha, cheza michezo mingi ya Sloti na kasino...

Biashara

NMB, Oryx Tanzania wazindua mpango wa kukopesha gesi ya kupikia

BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina la ‘Moto...

Afya

‘Ambulance’ yawarejeshea tabasamu wananchi Mkuyuni

Wananachi wa  Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Morogoro mkoani Morogoro, wameepukana na adha ya kukodi magari ya kubebea wagonjwa kwa gharama kubwa kutoka...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Tanesco kateni umeme kwa yeyote mnayemdai

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amtumbua Naibu Waziri – Pauline Gekul

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul. Anaripoti Mwandishi Wetu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB mlipa kodi mkubwa na bora zaidi Tanzania 2023

Benki ya NMB imeibuka mshindi wa jumla kitaifa katila kundi la mlipa kodi mkubwazZaidi Tanzania lakini pia katika kundi la mlipa kodi bora...

Habari za Siasa

Majaliwa: Majina wezi wa mapato Mbozi ninayo…

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema fedha nyingi za mapato yanayokusanywa katika halmashauri kongwe ya wilaya ya Mbozi  mkoani Songwe zinaishia katika mifuko ya...

Biashara

Bashungwa awataka wakandarasa kuacha kufanya kazi kwa mazoea

WAKANDARASI wazawa nchini wametakiwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea badala yake wafanya kazi zenye viwango bora na tija katika miradi wanayoipata ili waendelee...

Michezo

Yanga wasijiamini kupitiliza, watafanya vizuri

  NILICHOKIONA kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga hatua ya makundi, ni kwamba Yanga imekaribishwa rasmi kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kupita...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aitaka TRA kukusanya kodi bila kuwapa misukosuko wafanyabiashara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wafanyakazi wa wizara ya fedha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha...

Habari Mchanganyiko

Makatibu wakuu wakagua ujenzi wa miundombinu Msomera

Makatibu wakuu wa wizara za kisekta leo ijumaa wametembelea kijiji cha Msomera  wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hatua mbalimbali za ujenzi wa miundombinu...

Habari za Siasa

Somalia mwanachama mpya wa EAC

JAMHURI ya Shirikisho la Somalia, imekubaliwa rasmi kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Uamuzi wa EAC...

Habari Mchanganyiko

GST yatafiti miamba, udongo kwa kurusha ndege nyuki Shinyanga, Geita

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kufanya majaribio ya utafiti wa jiosayansi kwa kutumia njia ya High Resolution Airborne...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka vikwazo vya kibiashara viondolewe Afrika Mashariki

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametaka watendaji wa serikali za nchi wanachama wa Afrika Mashariki, wafanyie kazi maelekezo ya wakuu wa...

Habari za Siasa

Rais Museveni aitaka Afrika iache kutegemea misaada ya wazungu

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema ili nchi za Afrika zipate mafanikio zinatakiwa kuungana badala ya kuendelea kutegemea misaada kutoka katika mashirika na...

Habari za SiasaTangulizi

Begi la mirungi lakutwa kwa mwenyekiti wa CCM, Polisi wamhoji

BEGI lenye dawa za kulevya aina ya mirungi, linadaiwa kukutwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Amani, Kerege, Bagamoyo mkoani Pwani, Othman Ally,...

error: Content is protected !!