Sunday , 19 May 2024

Month: November 2019

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye ajitosa kumkabili Mbowe

LICHA ya “vitimbi” vya wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya...

Michezo

Simba wamtema rasmi Aussems, mwenyewe athibitisha

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amethibitisha kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Kubenea kuchuana umakamu mwenyekiti Chadema

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania umakamu...

Habari za Siasa

Pambalu ajitosa uenyekiti BAVICHA

JOHN Pambalu, Diwani Kata ya Butimba jijini Mwanza, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Anaripoti Kelvin Mwaipungu...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amaliza utetezi, Msigwa aanza 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba chama chake hakina dhamira ya kushika...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Gharama mpya NHIF ni janga

GHARAMA kubwa za matibabu zilizowekwa na Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF), zitaumiza wengi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe...

Habari za Siasa

Zitto hakijaeleweka kortini

HURUMA Shahidi, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, ameahirisha kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama ch...

Habari za Siasa

Diwani CCM kupigwa risasi: Viongozi Chadema wanaswa

VIONGOZI wawili wa Chadema, mkoani Songwe wameachwa huru, huku wawili wakifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, kwa tuhuma za kujaribu kumuua kwa...

Habari Mchanganyiko

Bombadier iliyokamatwa Canada, kuwasili nchini

NDEGE iliyoshikiliwa nchini Canada kutokana na amri ya mahakama kufuatia kesi ya madai iliyofunguliwa na Hermanus Steyn, inataraji kuwasili Tanzania wakati wowote. Anaripoti...

Habari za Siasa

Lissu ‘ainusa’ Tanzania

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki yupo nchini Kenya, akisubiri ‘amri’ ya kuingia nchini endapo atahakikishiwa usalama wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Fredrick Sumaye: Nimepozwa na uenyekiti wa Mbowe

FREDRICK Tluway Sumaye, ameshindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, kufuatia kupigiwa kura nyingi za  Hapana. Anaripoti...

Habari za Siasa

Ma-DED wala kibano

WAKURUGENZI wa halmashauri nchini, wameagiza kurejesha fedha walizokopa kwenye taasisi za fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Agizo hilo limetolewa...

Habari za Siasa

Afya ya Mbowe mgogoro, mawakili ‘wamkomalia’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha shauri namba 112/2019, linalowakabili viongozi tisa wa Chadema, kutokana na kutetereka kwa afya...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye: Nina asilimia chache kupita

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amewataka wagombea kwenye kanda hiyo, kutojenga chuki pale wanaposhindwa. Anaripoti Hamis...

Habari Mchanganyiko

Handeni kupanda shamba la kuni

SHUGHULI za utafutaji nishati ya kupikia nyumbani (kuni) kwenye misitu zinapaswa kubadilika na kutafuta kwenye shamba binafsi jambo litakalosaidia kuendeleza uhifadhi wa misitu...

Habari Mchanganyiko

Machinga Morogoro wapigwa tafu na taasisi ya Wakimbizi

WAFANYABIASHARA ndogondogo ‘Machinga’ wa kata tatu Kingo, Sabasaba na Chamwino, Morogoro wamepokea misaada ya vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 3  milioni kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

Membe tishio CCM

CHAMA Chama Mapinduzi (CCM), kina hofu na Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilifikia mtandao...

Habari za Siasa

BAVICHA ni toka ingia

PATRICK Ole Sosopi, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayemaliza muda wake, amesema hana mpango wa kugombea...

AfyaMakala & Uchambuzi

Kukoroma kunaweza kusababisha kifo

WATU wengi wanaona tatizo la kukoroma usingizini, ni jambo la kawaida, lakini linapokomaa, madhara yake ni makubwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Dk. Elisha Madebere,...

Habari za Siasa

JPM: Hakuna vya bure

RAIS John Magufuli amesema, hakuna vya bure, na kwamba ili upate fedha, lazima ufanye kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kiongozi huyo wa nchini,...

Habari za Siasa

Tume Huru ya Uchaguzi yamtesa Dk. Bashiru

MADAI ya Tume Huru ya Uchgauzi yanayotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani nchini, yanakinzana na mtazamo wa Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu...

Kimataifa

Palestina walaani mauaji ya wafungwa Israel

UBALOZI wa Palestina nchini Tanzania umelaani mauaji ya wafungwa katika magereza ya Israel. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yamuonya Bernard Membe

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo...

Habari za Siasa

Jaji Warioba aingia hofu

JAJI Mstaafu, Joseph Sinde Warioba ameingiwa na hofu kutoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, uliofanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti...

Afya

Serikali yafumua mfumo wa Vyuo vya Afya

WIZARA ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefumua mfumo wa uongozi wa vyuo vya afya vidogo, ili kuboresha utoaji...

Habari Mchanganyiko

Wadau wa uchumi watunukiwa vyeti vya heshima

WAJUMBE 40 wa vituo vya taarifa na maarifa nchini wametunukiwa vyeti vya heshima vya elimu ya ajira kwa wanawake na vijana kwa kuanzisha...

Habari Mchanganyiko

“Wanafunzi vyuo vikuu wanashiriki mapenzi ya wenyewe kwa wenyewe”

SHIRIKA la Kutetea Haki za Wanawake na Watoto (Kivulini) mkoani Mwanza, limebaini vijana wengi wa vyuo vikuu hususan wa mwaka wa kwanza, wamekuwa...

Habari za Siasa

Dk. Bisimba: Nchi imevimba

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, ameibuka na kusema, uchaguzi wa Serikali za Mitaa,...

Habari za Siasa

Mbowe bado mgonjwa, aomba kughairishwa kesi yeke

FREEMAN Mbowe, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupumzika kutokana na hali ya afya yake...

Habari za SiasaTangulizi

Mwambe: Nataka kumtua mzigo Mbowe, Ajifananisha na Simon Wakirene aliyemtua Msalaba Yesu

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara, Cecil Mwambe, amejitosa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ndani ya...

Habari za Siasa

Vyama vilivyojitoa vyapewa nafasi 163 kati ya 332,160

VYAMA vya upinzani vilivyojitoa katika kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimepewa nafasi 163 kati ya 332,160, zilizokuwa zinashindaniwa katika uchaguzi huo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Wadau wa misitu wataka mabadiliko ya sheria ya misitu

WADAU wa misitu wameomba mabadiliko ya Sheria na Sera za misitu ili ziwekwe vizuri, kusaidia kuondoa uharibifu wa misitu nchini. Anaripoti Christina Haule,...

HabariHabari Mchanganyiko

Rais Magufuli: Jeshi msikubali vikwazo

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameyataka majeshi nchini kutokubali kuwekewa vikwazo, katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Martin Kamote…(endelea) Rais...

Habari Mchanganyiko

China kuchangia 98 Bil. ujenzi makao makuu ya ulinzi Dodoma

SERIKALI ya China imepanga kutoa Yuan RMB 300 Milioni (Tsh. 98,084,910,435.8), kwa ajili ya kuimarisha ulinzi nchini ikiwemo, ujenzi wa Makao Makuu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Vituko vitupu uchaguzi serikali za mitaa

KATIKA mitaa 565 jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa tovuti ya mkoa huo, mitaa isiyozidi mitano, iliyoripotiwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji...

Michezo

Pambano la Mwakinyo sasa ni bure

WAPENZI wa mchezo wa ngumi nchini watepata fulsa ya kushuhudia mpambano wa kimataifa utakaowakutanisha Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya mpinzani wake...

Habari za Siasa

JPM: Tumebembelezana sana, sasa basi

RAIS John Magufuli, amezipa siku 60 taasisi, mashirika na kampuni 187 za umma, ziwasilishe gawio serikalini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Ametoa agizo hilo leo...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema waanza kupanga mikakati ya kushughulikiana

UHASAMA na siasa za makundi vimeanza kushika kasi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia baadhi ya viongozi wandamizi wa chama...

Habari za Siasa

Halima Mdee achukuliwa fomu BAWACHA

WAJUMBE wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) wamemchukulia Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, fomu ya kugombea uenyekiti wa baraza hilo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu...

Habari za Siasa

Viongozi Chadema watuhumiwa kumpiga risasi diwani wa CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Songwe, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha Vwawa, kwa tuhuma za kumjeruhi...

Habari za SiasaTangulizi

Bombadier ya Tanzania yakamatwa Canada, Prof. Kabudi achimba mkwara

NDEGE aina ya Bomberdier Q 400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania, inashikiliwa nchini Canada, kwa amri ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mtatiro awaonya wanaokwamisha minada ya korosho

JULIUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, amewaonya watendaji watakaokwamisha minada ya korosho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mtatiro ametoa onyo...

Habari Mchanganyiko

Mambosasa akazia marufuku ya wapiga debe

LAZARO Mamabosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Saalam amesema upigaji wa debe ni marufuku katika vituo vya daladala. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge kutotumia neno chama tawala, upinzani 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, chombo hicho cha kutunga sheria, kipo kwenye mjadala mzito wa kutafuta majina ya utambulisho kwa...

Habari Mchanganyiko

Tapeli wa fedha kupitia ATM akamatwa

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Halima Juma (23), Mkazi wa Chalinze kwa tuhuma za wizi wa fedha kupitia...

Habari za Siasa

Zitto apigwa kalenda

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Huruma Shaidi ameahirisha kesi ya uchochezi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe kutokana...

Habari za Siasa

Hakimu amgeuzia kibao Lissu

THOMAS Simba, Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemtaka Tundu Lissu kufika katika mahakama hiyo tarehe 19 Desemba...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Tuhuma za rushwa ya ngono vyuoni, pasua kichwa

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Faustine Bee, amewachongea baadhi ya wahadhiri wenzake katika chuo hicho kwa Rais John Pombe...

Habari za Siasa

Mkapa aisisimua CUF, Prof. Lipumba amuita

BARAZA Kuu la Uongozi wa Taifa la CUF, limeeleza kuguswa na yaliyomo ndani ya kitabu cha Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa ‘Maisha Yangu, Kusudio...

Michezo

Hiki ndiyo kinachoitia unyonge klabu ya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga amesema uuzaji wa jezi feki ni moja ya kitu kinachowapa Yanga unyonge kutokana na kukosa mapato na kunufaika...

error: Content is protected !!