Tuesday , 30 April 2024

Month: July 2022

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini watakiwa kuliombea Taifa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kusimama imara na kuliombea Taifa pamoja na viongozi wakuu wa ili wasikengeuke na kuruhusu shetani kuwashambulia na kuacha mapenzi...

HabariMichezo

Djuma Shaban asalia Yanga kwa mwaka mmoja Zaidi

  Mabjngwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga, imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake wa kulia Raia wa...

Habari Mchanganyiko

Benki ya BOA yatoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa Mwanza

  BENKI ya Bank of Afrika -Tanzania (BOA) imeendesha warsha ya uwezeshaji kwa wajasiriamali iliyowalenga wafanyabiashara wadogo na wa kati (SME) ikiwa na...

HabariKimataifa

Mgombea urais alia kunyanyaswa kingono, abwatuka

  UNYANYASAJI wa kingono sasa unaonekana kumuathiri mtu yeyote bila ubaguzi wakiwemo wagombea urais. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea) Tukio hilo la aina...

Habari

Mume awafungia ndani mke, watoto kwa miaka 17

MWANAMKE wa Brazil amezungumzia masaibu yake ya kufungiwa – pamoja na watoto wake wawili – na mumewe kwa miaka 17, vyombo vya habari...

HabariMichezoTangulizi

Simba wazindua rasmi wiki yao, majibu ya jezi yapatikana

  KLABU ya Soka ya Simba hii leo tarehe 31 Julai 2022, imezindua rasmi wiki yao kuelekea kwenye tamasha kubwa la Siku ya...

Michezo

Simbu aibeba Tanzania mbio ndefu

Mwanariadha Alphonce Simbu amekuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa medali kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola msimu huu inayoendelea Uingereza. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

HabariTangulizi

Senzo atimka Yanga, Simon Patric achukua mikoba yake

  KAMATI tendaji ya klabu ya Yanga imebadiliki ombi la kutoongeza mkataba ambalo liliwasilishwa na mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Senzo Mbatha. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Unataka kumiliki nyumba? Sikia hii kutoka NMB

BENKI ya NMB kupitia bidhaa yake ya ‘Makazi Loan’ kwa kipindi cha miaka mitatu imetoa zaidi ya Sh.35 bilioni kuwezesha Watanzania kupata mikopo...

Habari Mchanganyiko

Jafo awafunda wanahabari, awakumbuka utunzaji mazingira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo amewataka wanahabari nchini kujenga tabia ya upendo na kujaliana wakati...

Habari Mchanganyiko

Wafugaji waiangukia Serikali uhaba wa maofisa mifugo

SERIKALI imeombwa kuhakikisha inapeleka wataalamu wa mifugo kwa wafugaji ili kuweza kufanya ufugaji wenye tija. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Kiboko ‘babu’ aliyeua watu 8, auawa

KIBOKO dume ambaye kwa muda mrefu amekuwa akisumbua wananchi wa kata ya Mabilioni wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro na kukwamisha shughuli za maendeleo...

Kimataifa

Odinga, Ruto wakabana koo uchaguzi mkuu Kenya

  VINARA wa kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, Raila Odinga wa Azimio na Dk. Wiliam Ruto wa Kenya Kwanza kimezidi kushika kasi...

Habari Mchanganyiko

Jafo aagiza Dodoma kununua vifaa vya usafi

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kutenga...

Habari Mchanganyiko

Watoto 11,499 watendewa ukatili 2021

  WAZIRI wa Maendeleo ya jamii, Dk. Doroth Gwajima amesema jumla ya watoto 11,499 wamefanyiwa ukatili mwaka jana. Kati yao 5,899 walibakwa na...

Habari za Siasa

8000 wajiandikisha kampeni kupinga ukatili wa kijinsia

  JUMLA ya Watanzania 8000 wamejisajili kujiunga na kampeni ya Shujaa wa maendeleo na ustawi wa jamii (SMAUJATA) yenye lengo la kupinga na...

HabariSiasaTangulizi

Mdee wenzake saba waitwa mahakamani kuhojiwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri ya wito kwa Halima Mdee na wenzake saba kufika mahakamani hapo Tarehe 26...

HabariTangulizi

Serikali: Nyongeza mishahara imelenga wengi wenye mishahara ya chini

SERIKALI imesema nyongeza ya kima cha chini cha asilimia 23.3 kinanuafaisha asilimia 75 hadi 78 ya watumishi ambao wana mihahara midogo. Anaripoti Mwandishi...

Habari

Serikali yaombwa kupeleka wataalamu wa mifugo kwa wafugaji

  SERIKALI imeombwa kuhakikisha inapeleka wataalamu wa mifugo kwa wafugaji ili kuweza kufanya ufugaji wenye tija. Anaripoti Danson Kaijage,Dodoma(Endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari Mchanganyiko

NMB yaendelea kuwa kinara Tanzania, faida kabla ya kodi yafikia bilioni 298

BENKI ya NMB imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Faida kabla ya kodi...

Elimu

Walimu kujinyakulia ‘tablets’ za sensa

SERIKALI imesema itagawa vishkwambi (tablets) vinavyotumiwa na waratibu wa zoezi la sensa ya watu na makazi nchini kwa walimu wa shule za msingi...

Elimu

Prof Mushi kuongoza jopo uchambuzi mikopo elimu ya juu

SERIKALI imeanza mchakato wa uchambuzi wa mifumo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ili kubaini...

ElimuTangulizi

Vinara sayansi watengewa Sh bilioni 3

SERIKALI kupitia wizara ya elimu, sayansi na teknolojia imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika mwaka huu wa fedha 2022/2023 kufadhili wanafunzi ambao...

HabariTangulizi

Serikali kutoa tamko leo nyongeza mishahara

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajia kutoa tamko la Serikali kuhusu nyongeza ya mishahara ya watumishi wa umma iliyoanza Julai mwaka...

HabariMichezo

Kocha Simba ashtuka, Okrah, Phiri wapewa kazi nzito

  MARA baada ya kupoteza mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu, kocha mkuu wa klabu ya Simba Zoran Maki ameanza tena kulifanyia kazio...

HabariTangulizi

Sabaya afanyiwa upasuaji atinga mahakamani na bandeji, kesi yaahirishwa

MSHITAKIWA namba moja katika kesi namba mbili yam waka 2022 ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi, Lengai Ole Sabaya, ametinga mahakama...

HabariTangulizi

Wizara ya afya yafunga utoaji taarifa za homa ya mgunda

Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kuisha kwa visa vya homa ya mgunda baada ya wagonjwa 17 kupona kabisa huku kukiwa hakuna kisa...

8.7
Business

Best Places Where Democrats Can Pull Off an Opinion

Import demos, pages or elements separately with a click as needed. Single WordPress license gives you access to all of what's shown below,...

6
Active

Governors in Danger of Losing Their Jobs With Two Weeks

Mauris mattis auctor cursus. Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet Aliquam erat volutpat....

Sports

The COVID Data That Are Actually Useful Now

Mauris mattis auctor cursus. Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet Aliquam erat volutpat....

Active

If You Struggle To Hit Your Goals, Try This Instead

Mauris mattis auctor cursus. Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet Aliquam erat volutpat....

81%
Business

Splurge or Save Last Minute Pampering Gift Ideas

Mauris mattis auctor cursus. Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet Aliquam erat volutpat....

Habari Mchanganyiko

Afrika kinara maambukizi ya homa ya ini, Serikali yahadharisha

WAKATI bara la Afrika likiwa kinara kwenye maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini duniani, Serikali ya Tanzania  imetoa tahadhari juu ya maambukizi...

Kimataifa

Kisa Ukraine, viongozi Ufaransa, Marekani Urusi watinga Afrika

VIONGOZI kutoka nchi za Ufaransa, Marekani na Urusi wanazuru bara la Afrika, katika kile kinachoelezwa ni kuyashawishi mataifa ya Afrika kuunga misimamo yao...

Elimu

Uongozi UDOM wafumuliwa

UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma umefuliwa baada ya Mkuu wa Chuo hicho, Dk. Stergomena Tax kuteua sura mpya katika nafasi za juu...

Habari Mchanganyiko

Tume ya madini yakusanya Sh bilioni 623

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema katika kipindi cha mwezi Julai 2021 hadi Juni, 2022 wamekukusanya kiasi cha Sh...

AfyaTangulizi

MOI wakana kufyeka kiholela miguu majeruhi bodaboda

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface amesema si kweli kwamba majeruhi wa ajali za bodaboda hukatwa miguu...

Habari Mchanganyiko

Wanaotafuta utajiri kwa nguvu za giza waonywa

WATANZANIA wanaotaka kupata utajiri wa haraka wametakiwa kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kuwaingizia kipato badala ya kufanya matambiko yenye kafara za...

Habari Mchanganyiko

TUCTA yawasilisha mapendekezo ya viwango vya mishahara serikalini

  SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) limepeleka mapendekezo yake Serikalini ya kutoridhika na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma iliyoanza...

Tangulizi

TEF wakomalia mabadiliko sheria ya habari

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema kusudio la maboresho ya sheria za habari nchini, yanalenga kuwaondoa wanahabari na...

Habari za Siasa

Samia ateua makatibu tawala wa mikoa wapya, saba watemwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai, 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Halima Mdee na Wenzake kuanza kusikilizwa kesho

KESI ya waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaibua Chegeni, Serukamba, Chalamila, Hapi atupwa nje

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewateuwa Raphael Chegeni, aliyekuwa Mbunge wa Busega na Peter Serukamba, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, kwenye wadhifa wa ukuu...

Habari Mchanganyiko

Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikia

WANANCHI mbalimbali katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wameiomba Serikali kuwapatia nishati safi na salama ya kupikia ili waweze kufanya shughuli za kuwaingizia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yapiga ‘stop’ Vumbi la Mkongo linalodaiwa kuongeza nguvu za kiume

WIZARA ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala limeifungia dawa ya Hensha ambayo ni maarufu kwa jina la Mkongo yenye...

Kimataifa

Tisa wafariki katika mlipuko wa bomu Somalia

  WATU tisa wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, katika mlipo wa bomu la kujitoa muhanga, uliotokea kwenye Mji wa Marka, nchini Somalia....

Habari Mchanganyiko

RC Makalla azindua ‘Mwalimu Spesho’ Dar, atoa ujumbe

KONGAMANO la Siku ya Walimu na Benki ‘NMB Teachers Day’ Mkoa wa Dar es Salaam, limefanyika na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa (RC),...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Kisena, wenzake yatua Mahakama ya Mafisadi

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es Salaam – Kisutu imefunga jalada la kesi mbili kati ya tatu za uhujumu uchumi...

Habari za Siasa

Mbunge amuangukia Samia ujenzi barabara kuelekea Burundi

  MBUNGE wa Buyungu, wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Aloyce Kamamba, ameiomba Serikali itoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara inayounganisha mkoa...

Kimataifa

Rais wa zamani Burkina Faso aomba radhi mauaji ya Sankara

  RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaore ameiomba radhi familia ya kiongozi shujaa wa mapinduzi wa taifa hilo, Thomas Sankara kutokana...

error: Content is protected !!