MTENDAJI Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba, amesema asilimia ya 96 ya Watanzania wamefikiwa na huduma ya mawasiliano ya...
By Jonas MushiFebruary 13, 2023MELI ya MV Mwanza “Hapa Kazi Tu” inayojengwa katika Ziwa Victoria, imeshuhwa rasmi majini kutoka juu ya chelezo ambamo ilikuwa ikijengwa. Anaripoti Jonas...
By Jonas MushiFebruary 12, 2023MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema amekuja na “dawa” ya kupanda kwa bei za vitu kulikosababisha...
By Jonas MushiJanuary 25, 2023WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha wanawasaidia wale wanaotaka kuanzisha uwekezaji kwani hao...
By Jonas MushiJanuary 11, 2023SERIKALI imekanusha taarifa za uwepo wa ndege iliyoingia hifadhini na kusafirisha wanyama na rasilimali ambapo imedai kuwa taarifa zilizosambazwa mitandaoni “ni uzushi...
By Jonas MushiJanuary 9, 2023MAMBO sita yanatarajiwa kutikisa katika vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitakavyoanza Januari 19 hadi 29...
By Jonas MushiJanuary 5, 2023WAKALA wa Hifadhi ya Misitu Tanzania (TFS) imeanza zoezi la kuweka mpaka katika Msitu wa Morogoro maarufu Msitu wa Kuni uliopo Wilayani...
By Jonas MushiDecember 2, 2022KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dk. John Jingu, amefunga warsha ya siku nne kwa makamishna na maafisa...
By Jonas MushiNovember 25, 2022TOFAUTI na masuala mengine yaliyofanyiwa kazi na Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi, suala la Katiba limetajwa...
By Jonas MushiOctober 21, 2022HATIMAYE Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kimeitimisha kazi...
By Jonas MushiOctober 21, 2022INAELEZWA kuwa takribani watu 33,000 hufariki dunia nchini Tanzania kutokana na magonjwa ya mfumo wa hewa yanayosababishwa na matumizi ya nishati chafu za...
By Jonas MushiOctober 12, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema lishe duni ndiyo chanzo kikubwa cha uwepo wa watu wenye matatizo ya afya ya uzazi na...
By Jonas MushiSeptember 30, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mashauri ya kikodi ya Sh 360 trilioni yalifutwa kufuatia makubaliano ya Serikali na kampuni...
By Jonas MushiSeptember 23, 2022Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kuisha kwa visa vya homa ya mgunda baada ya wagonjwa 17 kupona kabisa huku kukiwa hakuna kisa...
By Jonas MushiJuly 29, 2022MAMLAKA ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imetakiwa kujiwekea malengo kwa kila maonyesho na baadae kufanya tathimini ya kufanikiwa au tutofanikiwa. Anaripoti Jonas Mushi...
By Jonas MushiJuly 13, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa maelekezo saba kwa Wizara na taasisi mablimbali nchini katika kuhakikisha Kiswahili kinatumika ipasavyo katika shughuli...
By Jonas MushiJuly 7, 2022TAREHE 7 Julai kila mwaka sasa inatambulika kuwa ni siku ya Kiswahili duniani ambapo leo ndiyo mara ya kwanza siku hiyo kusheherekewa...
By Jonas MushiJuly 7, 2022TATIZO la ubakaji limetajwa kuwa sababu ya kuongezeka kwa matatizo ya fistula kwa wasichana wenye umri mdogo. Anaripoti Jonas Mushi, Dar es...
By Jonas MushiJuly 5, 2022MPANGO wa kuboresha huduma ya afya ya uzazi mkoa wa Dar es Salaam, inayoratibiwa na Hospitali ya CCBRT, imesaidia kupunguza vifo vya...
By Jonas MushiJuly 5, 2022MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema, tangu kuanza kwa matumizi ya Mfumo wa Stempu za Kodi za Kielektroniki (ETS) umeonesha mafanikio makubwa...
By Jonas MushiFebruary 25, 2022WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) nchini Tanzania imeanzisha kutumia mfumo mpya wa ukataji wa tiketi wa kielektroniki ili kuhakikisha inazuia upotevu...
By Jonas MushiJanuary 21, 2022SIKU moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan aengue mawaziri na naibu mawaziri kutoka Baraza lake, wamemshukuru wakisema, hawawanii urais na au kuunga...
By Jonas MushiJanuary 10, 2022JOYCE Mbongo, aliyekuwa mkufunzi katika Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) nchini Tanzania, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...
By Jonas MushiNovember 18, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimesema, hakitashiriki kikao kilichoitishwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na...
By Jonas MushiOctober 18, 2021WENYEVITI wa mikoa ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema wamesema, kilichomtokea Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai,...
By Jonas MushiOctober 18, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania ameanza mchakato wa kutumia maabara katika kufanya kaguzi mbalimbali za maendeleo...
By Jonas MushiAugust 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na wafanyabiashara wa Soko...
By Jonas MushiJuly 11, 2021KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewateua mapadre, Henry Mchamungu na Stephano Musomba, kuwa Maaskofu wasaidizi Jimbo Kuu la Dar es...
By Jonas MushiJuly 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh.10 milioni kwa wafanyakazi bora wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) wa...
By Jonas MushiJuly 6, 2021WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, ametoa siku 30 kwa mamlaka zote za maji, kufanya ukaguzi kwa wateja wote wanaowahudumia ili kupata takwimu...
By Jonas MushiJuly 6, 2021