Afya
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2023KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa tiba kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023MAMILIONI ya fedha yaliyopaswa kutumika katika kusafirisha wagonjwa kutoka mikoa ya Kusini hadi Dar es Salaam, yameokolewa baada ya Hospitali ya Kanda...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2023VYOMBO vya habari vimetakiwa kuongeza jitihada katika elimu ya kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza (NCD’s) ili kukabiliana na janga hilo ambalo sasa likadiriwa...
By Gabriel MushiSeptember 16, 2023HOSPITALI Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo wilaya ya Temeke Barabara ya Kilwa Mkoa wa Dar es Salaam itanufanika na mafunzo ambayo...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetumia kiasi cha Sh 5.9 bilioni kununua viuadudu katika ngazi ya Halmashauri ndani ya kipindi cha mwaka 2017...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametembelea ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa wa Kusini Unguja kinachojengwa na Serikali kwa kushirikiana na...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezindua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatatu ametangaza ameunda Kamati huru yenye wajumbe 13 ili kuchunguza malalamiko ya madaktari watarajali (Intern Doctors) kuhusu...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023SERIKALI imesema itahakikisha gharama za usafishaji figo zinakuwa nafuu ili kuokoa maisha ya watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, … (endelea). Kauli hiyo imebainishwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) linatarajiwa kuipatia Serikali ya Tanzania fedha Sh 855 milioni kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023NAIBU Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dk Charles Mahera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kuwasimamisha kazi Mganga Mkuu...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa mchango mkubwa wa Serikali yake katika uboreshaji huduma za afya kwenye Jimbo la Musoma Vijijini,...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya uhakiki wa wanachama wa mfuko huo na kubaini mambo kadhaa na kuyachukulia hatia...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023WAKAZI wa Kisiwa cha Rukuba, Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, wameiomba Wizara ya Afya na Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ipeleke watumishi pamoja na...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kuanzisha mpango wa kutoa ufadhili wa masomo (scholaships) kwa wanafuzi wa...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewahimiza wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na waliotoka katika maeneo mbalimbali nchini kufika...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023WANANCHI wa kijiji cha Nsele kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023BENKI ya NMB imeadhimisha wiki ya uchangiaji damu salama kwa hiari baada ya kuwakusanya watumishi wa benki hiyo pamoja na wananchi katika mikoa...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya cha Mombo kilichopo...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imetoa msaada wa vitanda vinne vya akina mama kujifungulia katika vituo vya afya vya Nyankumbu na...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ambayo ni moja ya migodi maarufu ya AngloGold Ashanti nchini Tanzania, imeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023KATIKA kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa vifaa tiba nchini, Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo ya Temdo Tanzania (TEMDO) imeanzisha karakana ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amepongeza juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa...
By Mwandishi WetuMay 30, 2023MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio...
By Mwandishi WetuMay 26, 2023Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 25, 2023UJENZI wa mradi wa Zahanati ya Mwanalugali A Kibaha Mjini unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF itakayowahudhumia wakati 3367 umefikia asilimia...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023SERIKALI imetenga kiasi cha fedha Sh. 15 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi wa maboma ya...
By Regina MkondeApril 5, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Murburg, huku ikiahidi kuutokomeza kwa kufuata miongozo ya Shirika la...
By Regina MkondeApril 4, 2023BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...
By Gabriel MushiMarch 16, 2023KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekosoa vikali hatua ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) kuondoa usajili wa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023JUMLA ya wauguzi/manesi saba wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama wamefikishwa polisi baada ya kudaiwa kuwauzia dawa wagonjwa usiku wa manane. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023IMEELEZWA kuwa usimamizi mbovu wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa majengo ya ofisi za serikali kwa baadhi ya halmshauri nchini unaotokana na...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 14 Waziri wa TAMISEMI kufika mkoani Morogoro kutatua changamoto za...
By Christina HauleFebruary 4, 2023NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amewataka waganga wakuu wa Hospitali za Mikoa na Wilaya ambao unafanyika ubadhirifu katika vituo vyao...
By Danson KaijageJanuary 30, 2023RAIS Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete amesema huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ni suala ambalo lipo ndani ya moyo wake...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amemtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuacha kulazimisha watu kujiunga na mpango wa bima...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023KWA kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya matumizi ya fedha za kukabiliana na athari za Ugonjwa wa...
By Danson KaijageJanuary 14, 2023WIZARA ya Afya imesema maoni yaliyotolewa na Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), kuhusu sakata la watumishi wa afya katika Zahanati ya Ishihimulwa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023CHAMA cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya uchunguzi wa tukio la watumishi wa kada ya Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa wilaya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023SERIKALI ya Tanzania, imewataka wadau wa afya kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Mwongozo wa Kudhibiti Virusi vya Ukwimwi (VVU), Ugonjwa...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023WATUMISHI wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya Uyui kutoka Zahanati ya Ishihimulwa waliokuwa wakijibizana kuhusu vifaa vilivyoisha muda...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023SERIKALI ya Tanzania imesema maambukizi ya ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), katika kipindi cha tarehe 29 Oktoba hadi 2 Desemba 2022,...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022