Tuesday , 30 April 2024

Month: April 2017

Habari za Siasa

Lukuvi atishia kumtoboa kitambi DED

WILLIAM Lukuvi, WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemtahadhalisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba atakitoa pumzi kitambi chake,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM atuhumiwa kuhujumu uchumi

MBUNGE wa Kwimba, Mwanza, Shannif Mansour (CCM), anatuhumiwa kugoma kulipa kodi ya eneo lake la ardhi lenye ukubwa wa hekta 39,000, kiasi cha...

Habari za Siasa

Bunge lisiwe ndumilakuwili – Kubenea

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amehoji uhalali wa Bunge kuwaadhibu wabunge wa upinzani na “kuwanyamazia” wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Erasto...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya vyeti feki yamlinda Makonda

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye anatuhumiwa kutumia vyeti feki amenusurika kuondolewa katika nafasi yake baada ya Waziri wa...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene awaitia fulsa watu Dodoma

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amewataka wananchi kuchangamkia fursa za kimaendeleo zinazopatikana katika mkoa wa...

Habari Mchanganyiko

Askofu amwangukia Rais Magufuli bei ya vyakula

ASKOFU wa kanisa Methodist jimbo la Dodoma,Joseph Bundala amemtaka rais Dk. John Magufuli kuingilia kati suala la mfumko wa bei ya vyakula ili...

Habari Mchanganyiko

Visiwa vilivyokuwa giza toka Uhuru, kupata umeme

VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex...

Habari za Siasa

Rais Magufuli achimba mkwara kiaina

RAIS John Magufuli, amesema mtu yeyote atakayejitokeza na kujaribu kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zazibar atavunjika yeye, anaandika Dany Tibason. Amesema kuulinda Muungano...

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Jaji Mutungi ndiye chanzo cha vurugu

CHAMA cha Wananchi ‘CUF’ kimemshutumu Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuwa  ndiye chanzo cha vurugu zinazoendelea ndani ya chama cha...

Habari za Siasa

TEF nao wamkaba koo Prof. Lipumba, wamtaka aombe radhi

JUKWAA la Wahariri Tanzania ‘TEF’ limemtaka Prof. Ibrahim Lipumba kutoa kauli kuhusu tukio la kupigwa kwa waandishi wa habari katika uvamizi wa mkutano...

Habari Mchanganyiko

Vijana washauriwa kukopa kukuza uchumi

VIJANA waliohitimu elimu ya juu nchini wameshauriwa kuanzisha shughuli za ujasiriamali na kukuza uchumi wao kwa kujitokeza kwenye ofisi za mikopo badala ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ahoji: Who is Makonda?

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemvaa Waziri Mkuu wa Jamhuri, Kassim Majaliwa kuhusiana na kauli yake kuwa “serikali inachunguza vitendo vya utekaji,”...

Habari za SiasaTangulizi

CUF wamtaka Sirro kuchukua hatua ‘mazombi’ ya Prof. Lipumba

KAMATI ya Uongozi ya Chama cha Wananchi ‘CUF’ imemtaka Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuchukua hatua dhidi ya...

ElimuHabari Mchanganyiko

Makamu wa Rais mgeni rasmi Kongamano ya Jinsia

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Ajali adui namba 3 wa sekta ya Afya

MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...

Habari Mchanganyiko

DC Ukerewe aomba kivuko

ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri...

Habari Mchanganyiko

Prof. Muhongo awakalia kooni REA

WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameiagiza bodi mpya ya wakurugenzi wa Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini (REA) kuwakagua wakandarasi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali ikisema hakuna njaa, bei ya unga juu

WAKATI Serikali ikijinasibu kuwa nchini hakuna njaa, bado jamii imeendelea kulalamikia upandaji wa bei ya vyakula, anaandika Dany Tibason. Kwa nyakati tofauti baadhi...

Habari Mchanganyiko

Ewura wajipanga kupunguza kero katika utendaji

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji...

Habari Mchanganyiko

Wauaji wa Kibiti wahofiwa kujificha Dar

SIMON Sirro, Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amewataka wakazi wa jiji hilo kuwa makini hasa katika kipindi hiki uchunguzi dhidi...

Habari Mchanganyiko

Vyama vya wafanyakazi wakumbushwa kanuni

SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na...

MichezoTangulizi

Yanga wamwaga mboga, Simba kubinua sahani na bakuli

KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Isango azikwa kijijini kwao Kisasida

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....

Habari MchanganyikoTangulizi

Majaliwa ataka riba ya mikopo ipungue

SERIKALI imeitaka mifuko ya kijamii ambayo inatoa mikopo kwa jamii kufanya marekebisho upya ili kuona uwezekano kupunguza kiwango cha riba, anaandika Dany Tibason....

Habari Mchanganyiko

Nguruwe wapigwa marufuku Morogoro

WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwigulu avalia njuga, mauaji Kibiti

WAKATI hofu juu ya usalama wa maisha ya wananchi wa Kibiti, Pwani ikizidi kutanda baada ya tukio la mauaji ya askari Polisi nane yaliyotekelezwa...

Habari Mchanganyiko

Josephat Isango kuzikwa Jumanne

MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....

Habari MchanganyikoTangulizi

Pumzika kwa amani Isango wangu

NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL),...

Habari Mchanganyiko

Polisi kusaka waliyoua Askari Kibiti

KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Josephat Isango afariki dunia asubuhi hii

MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani CCM, Ukawa waungana kumg’oa M’kiti Halmashauri

HALI si shwari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya madiwani 24 kati ya 34 kuandikia na kuisaini barua ya kutokuwa...

Habari MchanganyikoMichezo

Roma: Hatupo salama, aeleza mateso waliyopata

MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...

ElimuHabari za Siasa

Hawa Ghasia azomewa Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia (CCM) amejikuta katika wakati mgumu baada ya mezomewa  na baadhi ya wabunge pamoja na  wadau...

Habari Mchanganyiko

Mashirika na Umma yalazimishwa kujiunga NHIF

MASHIRIKA ya Umma yatalazimishwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) kwa kuwa sheria inawataka hivyo na ndiyo maana hata...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawachongea Waganga kwa wabunge

WABUNGE wameelezwa kuwa kiasi cha Sh. 20 bilioni hazikutumika ambazo ni za mfuko wa pamoja wa afya ujulikanao kama ‘Basket Fund’ kwa mwaka...

Habari za Siasa

Wabunge walia kupunjwa fedha zao

BUNGE la Jamhuri ya Muungano limetenga Jumla ya Sh 121 bilioni kwa matumizi ya mwaka 2017/18 kutoka Sh 99 bilioni zilizokuwa zimetengwa mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Bashe amchokonoa Rais Magufuli

SERIKALI ya Rais John Magufuli imeguswa kisawasawa, anaandika Jabir Idrissa. Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea na mkutano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Uvumilivu wetu umefika mwisho

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema viongozi na wanachama wa chama hicho wapo tayari kwa lolote kutokana...

Habari Mchanganyiko

Kamanda Sirro: Roma ‘kutekwa’ ni kawaida

IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Wasanii wamvaa Sirro kumdai Roma

NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...

Habari Mchanganyiko

Samaki wa Sh. 20 milioni wataifishwa Mwanza

SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za...

Habari Mchanganyiko

Kondoa wanufaika na Bil 1 za Tasaf

ZAIDI ya Sh. bilioni moja zimetumika kuwalipwa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini unaofadhiriwa na mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF kwa...

Habari za Siasa

Madiwani Manyoni wapigwa msasa

MADIWANI 28 toka Kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni wamepatiwa mafunzo maalum ya Uongozi, Maadili na Utawala Bora, Mafunzo, anaandika Dany...

Habari za Siasa

Mwenyekiti CUF agoma kuondoka madarakani

LICHA ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mdeme kutangaza kumsimamisha uongozi wa Mwenyekiti wa mtaa wa Malimwa Kusini, Ismail Seifu (CUF),...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Chai Rungwe kuvunjwa

MBUNGE wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda ameitaka Serikali kuvunja bodi ya chai ya Wilaya ya Rungwe kwa sababu wananchi hawana imani na bodi...

Habari za Siasa

Serikali yatumia mil 768 kumtunza Faru Fausta

JUMLA ya 768 milioni zinatumika kila mwaka kwa ajili ya kumtunza Faru Fausta katika hifadhi ya ya Ngorongoro, bunge imefahamika, anaandika Dany Tibason....

Habari Mchanganyiko

TPA yatakiwa kupima mizigo kwa tani

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia...

Habari Mchanganyiko

Tanroads yatenga bil 3 kujenga madaraja Masasi

WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya Chai Kagera yakumbwa na ukata

WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera...

AfyaHabari Mchanganyiko

Uhaba wa dawa wakithiri Nyamagana

UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali...

error: Content is protected !!