Tuesday , 30 April 2024

Month: January 2023

Habari za Siasa

Kampuni za simu zinazoruhusu meseji za matapeli, matangazo kikaangoni

  WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuzichukuliwa hatua kampuni za mawasiliano ya simu...

Habari za Siasa

Mpina ataka uchunguzi mchakato wa manunuzi SGR Tabora-Kigoma

  MBUNGE wa Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina, ameliomba Bunge kuitisha mchakato wote wa manunuzi wa mkataba wa mkandarasi wa...

Habari za Siasa

Spika Tulia ataka ripoti za waliowapa ujauzito wanafunzi 9,011

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuwasilisha bungeni taarifa ya watu wanaodaiwa kuwapa ujauzito wanafunzi...

Habari za Siasa

Mbowe: Wanachadema wametuma salamu hitaji la katiba mpya, tume ya uchaguzi

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema muitikio mkubwa wa wanachama wa chama hicho katika mikutano ya hadhara,...

Habari za Siasa

Rais Samia aipa miezi minne tume kupitia mfumo haki jinai

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka tume aliyoiunda kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, kukamilisha kazi hiyo ndani ya miezi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aibuka na bei za vyakula, “Njaa inadhalilisha nchi”

MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, ameitaka Serikali kuja na mikakati ya kutatua changamoto ya mfumuko wa bei za vyakula huku...

Habari Mchanganyiko

Sali, Libenanga washangilia DC kuondoshwa Ulanga

BAADHI ya wananchi wakazi wa wilaya ya Ulanga, wamepongeza uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kumuondoa mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya...

Habari Mchanganyiko

Ubalozi wa Ufaransa wafungua ofisi ndogo Dodoma

UBALOZI wa Ufansa umefungua ofisi ndogo mkoani Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada zinazaofanywa na Serikali, kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na...

Habari Mchanganyiko

Polisi, wananchi wafanya usafi

JESHI la Polisi Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wameshirikiana na wananchi kufanya usafi, ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

KATIKA azma yake ya kuchangia ujumuishi wa kifedha nchini kupitia huduma za bima, Benki ya NMB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yataka kibano wadaiwa sugu kodi majengo ya serikali

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), iwachukulie hatua za kisheria wapangaji wake wanaodaiwa malimbikizo ya...

Habari za Siasa

Bunge lataka TBC kuajiri wenye vipaji ili kuvutia watazamaji

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imelitaka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kuajiri watangazaji au wasanii wenye vipaji badala ya kuajiri wenye...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaangukia wafanyabaishara mfumuko wa bei “ tusaidie wananchi”

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Daktari Hussein Mwinyi, amewataka wafanyabiashara visiwani humo, kupunguza bei za bidhaa hususan vyakula, ili kuwasaidia wananchi wasiokuwa...

Habari za Siasa

Tanroads yatakiwa kuharakisha ujenzi wa barabara Kidatu-Kilombero

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameisisitiza Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kumsimamia kikamilifu mkandarasi anaye jenga kwa kiwango cha...

Habari za Siasa

Gambo avutana na Dk. Nchemba kuhusu mfumuko wa bei, Spika atoa agizo

  MBUNGE wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amekataa kupokea taarifa ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, iliyoeleza kwamba mfumuko...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ahoji fedha za Plea-Bargaining

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka Tume ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai, ikapitie mchakato kisheria wa makubaliano ya kukiri...

Habari za Siasa

Rais Samia: Naogopa mahakama, polisi

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema hapo awali alikuwa anaogopa kuingia katika majengo ya mahakama na polisi, akieleza kuwa alihisi huenda akageuziwa kibao...

Habari Mchanganyiko

LSF yazindua mradi kuwezesha wanawakekiuchumi, 1,423 kunufaika Arusha

  SHIRIKA la Legal Services Facility (LSF), limezindua mradi wa kuwawezesha kiuchumi wanawake jamii ya kimasai waishio wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, ambapo...

Habari Mchanganyiko

Wateja wa M-Pesa sasa kupokea pesa kutoka nchi 21 za Ulaya

  WATEJA wanaotumia mtandao wa simu wa Vodacom kupitia M-Pesa sasa wanaweza kupokea fedha kutoka katika nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani na nchi...

Tangulizi

Sheria ya kuwabana wenye nyumba yaja,Waziri Mabula ataka madalali wawe na maadili

SERIKALI imesema inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoanzisha chombo cha kusimamia sekta ya milki (Real estate Regulatory Authority), kwaajili ya kusimamia na kulinda maslahi...

ElimuMakala & Uchambuzi

Waraka maalumu kwa NECTA, “hawapaswi kuungwa mkono”

HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...

Habari za Siasa

Chongolo: Chama hakitaacha kuhoji, kufuatilia miradi

  KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Chama hicho hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa Ukaribu Miradi mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

CCM wampa maagizo mazito Waziri Makamba

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhakikisha umeme wa REA unawaka mwezi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Bashe apewa siku saba kuhakikisha skimu za umwagiliaji zinafanya kazi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 7 Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kufika katika Kijiji Cha Mvumi...

Habari Mchanganyiko

Kijana ahukumiwa jela maisha kwa kubaka mwanafunzi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Shinyanga imemuhukumu kifungo cha maisha jela Hamza Butondo (32) baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi...

Habari Mchanganyiko

Mgodi wa Baraka wanufaisha wanakijiji

IMEELEZWA kuwa mgodi wa EBR and Partners maarufu Baraka uliopo katika kijiji cha Lyulu – Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita tangu...

Kimataifa

China inatathmini upya sera za wafanyakazi

  WAKATI idadi ya watu wa nchi China inapungua, Beijing inatathmini upya sera za wafanyakazi kwa kuwa nguvu kazi kubwa imepungua. Imeripotiwa na...

Habari Mchanganyiko

Bashe: Serikali haitamzuia mkulima kuuza mazao kwa bei anayotaka

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Serikali haitazuia wakulima kuuza mazao yao kwa bei wanayotaka kwa kuwa kitendo hicho kinaminya maslahi yao. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Tanzania haina maambukizi mapya ya ukoma

NAIBU Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel amesema kwa sasa Tanzania imepiga hatua katika kupambana na ugonjwa huo na wagonjwa wanaopatikana siyo maambukizi...

Afya

Ma-RMO, DMO watakiwa kujitafakari ubadhirifu hospitali za mikoa, wilaya

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amewataka waganga wakuu wa Hospitali za Mikoa na Wilaya ambao unafanyika ubadhirifu katika vituo vyao...

Habari za Siasa

Babu Duni: Tutatumia mikutano ya hadhara kuikosoa Serikali sio kutukana

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Juma Duni Haji amesema chama chake kitaitumia mikutano yahadhara kuisema Serikali kuhusu yale wanayopaswa kuyafanya kwa...

Kimataifa

Vita vya Ukraine: Boris Johnson adai kutishiwa kupigwa kombora na Putin

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alimtishia kwa shambulizi la kombora katika simu isiyo ya kawaida...

Habari Mchanganyiko

Polisi yaanza kuchunguza mawasiliano ya kada wa NCCR-Mageuzi aliyepotea

BAADA ya jitihada za kumtafuta Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton, aliyepotea tangu tarehe 24 Januari 2023 kugonga...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaahidi ushirikiano JOWUTA

CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kimepata viongozi wapya ambao wataongoza chama hicho kwa miaka mitatu katika mkutano Mkuu uliofanyika...

Habari Mchanganyiko

Watu 175 wapata msaada wa kisheria LSF

WATU takribani 175 wamepatiwa huduma ya msaada wa kisheria na Shirika la Services Facility (LSF), katika wiki ya Sheria iliyofanyika kwenye Viwanja vya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo asikitishwa na mradi wa Mil 900 kutoanza kutoa manufaa

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amesema ipo haja ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kutembelea na kutatua mgogoro...

Kimataifa

DCI ajitosa uchunguzi matokeo uchaguzi mkuu Kenya

OFISI ya Mkurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchni Kenya imetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina kuhusu madai ya muungano wa Azimio...

Habari Mchanganyiko

Huawei Tanzania yatajwa miongoni mwa waajiri bora kimataifa

KAMPUNI ya Huawei Tanzania imetajwa kuwa mwajiri bora nchini na kuthibitisha  hadhi yake ubora kiutendaji na usimamizi katika muktadha wa ndani wa ya...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa uchumi wa Finland atua nchini, kuteta na mawaziri 7

WAZIRI wa Masuala ya Uchumi wa Finland, Mika Tapani Lintilä amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Januari...

Habari Mchanganyiko

Asimilia 79 wafeli somo la hesabu matokeo kidato cha nne

WATAHINIWA wa shule 415,844 sawa na asilimia 79.92 ya watahiniwa 520,558  wenye matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2022 wamepata daraja F...

Habari Mchanganyiko

NECTA yafuta matokeo ya watahiniwa 333 kwa kuandika matusi, kudanganya, 286 yazuiwa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumapili limetangaza kuyafuta matokeo yote ya watahiniwa 333 (1 wa QT na 332 wa CSEE) ambao...

Habari Mchanganyiko

NECTA yapiga ‘stop’ kutangaza shule, watahiwani 10 bora

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuondoa utaratibu wa kutangaza shule 10 bora na watahiniwa 10 bora kwa matokeo ya mitihani mbalimbali...

HabariHabari Mchanganyiko

CRB yashtukia makandarasi wanaofanya ubia wa ujanja ujanja, yasema watakaobainika kuchukuliwa hatua kali

  BODI ya Usajili wa Makandarasi (CRB), imeonya makandarasi wanaofanya kazi za ubia kwa ujanja ujanja na imeahidi kuwachukulia hatua kali wote watakaobainika...

Habari Mchanganyiko

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2022, ufaulu waongezeka

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumapili limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani kidato cha nne 2022

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumapili limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022,...

Habari Mchanganyiko

Makalla apiga marufuku biashara kwenye barabara ya mwendokasi

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla leo tarehe 28 Januari 2023 ameongoza zoezi la usafi wilayani ya Temeke katika eneo...

Habari za Siasa

NCCR-mageuzi yawaangukia Polisi kupotea kwa kada wake

JESHI la Polisi nchini limeombwa kufanya uchunguzi wa kina utakaosaidia kupatikana kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton,...

Habari Mchanganyiko

M23 wauteka mji muhimu DR Congo

WAASI wa M23 wamedai kuuteka mji muhimu wa Kitshanga/Kitchanga katika eneo la Masisi nchini DR Congo baada ya siku tatu za mapigano. Inaripoti...

Habari Mchanganyiko

Familia masheikh 100 waliobaki gerezani tuhuma za ugaidi wamuangukia Samia

FAMILIA  za baadhi ya masheikh zaidi ya 100 waliobaki katika mahabusu za magereza mbalimbali nchini, wakikabiliwa na tuhuma za ugaidi, wamemuomba Rais Samia...

Habari Mchanganyiko

Mapendekezo mabadiliko sheria ya habari mikononi mwa AG

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mapendekezo ya uboreshaji Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, yamefikishwa katika...

error: Content is protected !!