IDADI ya watu nchini China imepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 60, huku kiwango cha uzazi nchini humo kikifikia...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023WATU wenye silaha nchini Eswatini wamedaiwa kumuua mwanasiasa mashuhuri wa upinzani na mwanasheria wa haki za binadamu, Thulani Maseko nyumbani kwake juzi...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023JESHI La Polisi mkoani Mbeya linawashukilia watu saba kwa tuhuma za mauji ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Handeni, Joakim Mwakyolo yaliyotokea...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Mgodi wa Igalula uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Hussein Makubi ameiomba serikali kupitia Wizara ya Nishati kuwaletea...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023MWAKILISHI wa kikosi kazi cha Serikali kinachoshughulikia Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, Bernard Konga amesema katika marekebisho yanayofanywa kwenye muswada huo,...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023TUME ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), inafanya ziara Tanzania kuanzia tarehe 23 hadi 27 Januari 2023 kwa ajili...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023SEKTA ya afya ni sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na kwa kulitambua hilio, Benki ya NMB imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2023KLABU ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England imewatandika Mashetani Wekundu ‘Manchester United’ jumla ya bao 3- 2 katika mchezo uliopigwa leo jijini London...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2023MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa kipindi cha miaka saba cha uongozi wa Rais Dk. John...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2023Fortunat Biselele, aliyekuwa msaidizi wa Rais Felix Tshisekedi wa Kongo DRC, amepelekwa katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa, baada ya malumbano ya...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2023ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema umefika wakati kila raia amiliki ardhi yake badala ya Rais kupewa mamlaka...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2023KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imeitaka Seriakali kutoa ratiba ya mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya na ule wa kupata Tume...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2023KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imeazimia kuwasilisha kwa Maakmu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ambaye pia...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2023WAZIRI wa Madini Dk. Doto Biteko ameitaka Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuwafikisha kwenye...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema anatambua kuwa ni vigumu kuwaeleza Watanzania na dunia kwamba anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumamosi amesema kashfa ya kutuhumiwa kuwa amekula rushwa au amelamba asali ili kushiriki maridhiano ya kitaifa...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amemtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuacha kulazimisha watu kujiunga na mpango wa bima...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023ALIYEKUWA kuwa Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amempongeza Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo tarehe 21 Januari, 2023 imetangaza nafasi 320 za ajira kwa vijana wa Kitanzania...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo tarehe 21 Januari, 2023 imetangaza nafasi 320 za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, chini ya usimamizi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale ya...
By Gabriel MushiJanuary 21, 2023WAGOMBEA urais nchini Nigeria wamemaliza kampeni zao huku kila mmoja akitoa wito wa kukamatwa kwa mwenzio na wakishtumiana kwa kashfa za zamani...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023ZAIDI ya wanawake na watoto 60 waliotekwa nyara wiki iliopita na watu wanaoshukiwa kuwa ni wanajihadi, huko kaskazini mwa Burkina Faso wameachiliwa...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023MSHINDI wa kampeni la NMB MastaBata Kote-Kote inayoendeshwa na Benki ya NMB, Emmanuel Marumbo kutoka mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki yake aina ya...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Sophia Mjema, ametoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023WAKAZI wa Jimbo la Musoma Vijijini, wakiongozwa na Mbunge wao, Profesa Sospeter Muhongo, wamefanya harambee ya kuchangisha fedha za kukamilisha ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023WINFRIDA Mandindile (17), amejinyonga kwa madai ya mzazi mwenzie kugoma kutoa fedha za matumizi ya mtoto wao mwenye umri wa mwaka mmoja....
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tzania, Sheikh Dk. Abubakar Zubeir, ameunda tume ya watu saba kwaajili ya maboresho ya Baraza Kuu la...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023MKANDARASI Kampuni ya NAMIS Corporate Ltd anayejenga soko la Tandale ameelezea changamoto za kutokamilika kwa wakati kwa soko hilo ikiwemo kutokulipwa kwa wakati....
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023MWITIKIO wa wanachama na Watanzania wanaojitokeza kuchangia gharama za mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, umezidi kuongezeka ambapo hadi...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023BINGWA wa Olimpiki Usain Bolt analenga kurejesha zaidi ya $12.7m sawa na zaidi ya Tsh 27 Bilioni ambazo wakili wake anasema amepoteza baada...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amezitaka Mamlaka za Maji pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kuongeza weledi katika usimamizi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023KWA kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023MCHEZAJI na kapteni wa timu ya vijana ya Singida Big Star (U17), Mohammed Banda leo tarehe 19 Januari, 2023 amefariki dunia baada...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023WAZIRI wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya madini umeendelea kuimarika hususan katika...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023MAMLAKA ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma nchni (PPRA) imeeleza kuwa utumiaji wa utaratibu wa kikosi kazi “ Force Account “katika utekelezaji wa miradi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023Huawei has demonstrated its commitment to Africa’s energy transition, while also showcasing the full range of its latest solar PV and green home...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema linatarajia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, atatimiza ahadi yake ya kupeleka...
By Regina MkondeJanuary 19, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amewataka watumishi wa ofisi yake kufanya kazi zenye ufanisi...
By Danson KaijageJanuary 19, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kuwa kimejipanga kurejesha heshima yake visiwani Zanzibar, ifikapo 2025 kwa kuunda Serikali au kushiriki Serikali ya Umoja...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kiko tayari kuchukua fedha za ruzuku kutoka Serikalini, kutokana na maridhiano yanayofanywa na Rais Samia...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema usalama wake pindi atakaporejea Tanzania akitokea nchini Ubelgiji, utakuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador amesema atazingatia ombi la mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin ‘El Chapo’ Guzman, anayetumikia kifungo...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023NDUGU wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa...
By Faki SosiJanuary 19, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa uhaba wa mbolea nchini umesababishwa na Serikali kushindwa kulipa deni la Sh. 325 bililioni,...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023RAIA wa Tanzania, mwanachama mwandamizi na kada mashuhuri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tarimo Nemes Raymond, amefariki dunia akiwa vitani...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2023RAIS wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amesema waasi wa M23 bado hawajaondoka kikamilifu katika maeneo wanayoshikilia mashariki mwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2023SERIKALI ya Tanzania ipo katika maandalizi ya mwisho ya kufanya utafiti wa hali ya umasikini nchini kwa mwaka 2023/2024. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJanuary 18, 2023OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kupungua kwa mfumuko wa bei za vyakula na vinywaji baridi, kutoka asilimia 9.7, kufikia Machi...
By Regina MkondeJanuary 18, 2023MKUU wa Jeshi la Polisi IGP Camilus Wambura leo tarehe 17 Januari, 2023 amewatangazia vijana walioomba kuajiriwa na Jeshi la Polisi usaili...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023