Sunday , 19 May 2024

Month: January 2018

Habari za SiasaTangulizi

Kigwangalla ni ‘juha’ – Sumaye              

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameshangazwa na hatua ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, kumtuhumu kupitia vyombo vya habari, kuwa...

Habari za Siasa

Vigogo 600 wamtembelea Lissu hospitali

JUMLA ya wageni 617 walimtembelea kumjulia hali Tundu Lissu akiwa kitandani ndani ya Hospitali ya Nairobi, Kenya alimokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

UAMUZI wa kumsafirisha haraka Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kwenda Nairobi, Kenya kwa matibabu, kuliokoa maisha yake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Sumaye, wabunge wa Chadema wammaliza Mtulia

EDWARD Lowasa Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameawambia wananchi wasipopigania Demokrasia watakuwa kwenye kibano. Anaripoti Faki Sosi...

Makala & Uchambuzi

Maulid Mtulia asotulia kivita

MAULID Said Mtulia, mwanasiasa kijana aliyejiuzulu ubunge ghafla, na kuhamia CCM hivyo kusababisha fadhaa upande wa upinzani, anaweza kutangazwa mshindi tena katika uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Sumaye kunguruma Dar kesho

MAWAZIRI wakuu wawili wastaafu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano –Fredrick Sumaye na Edward Lowassa – kesho Jumamosi, wanatarajiwa kunguruma jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Kingwangalla kumshitaki Mwigulu kwa Magufuli

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangwalla ametoa siku saba kwa jeshi la polisi kuwakamata vigogo ndani ya jeshi hilo waliopanga njama...

Habari Mchanganyiko

Ukatili na unyanyasaji wa kijinsia unavyoathiri watoto Iringa

LICHA ya juhudi za serikali na watetezi wa haki za watoto kuendeleza harakati za kulinda hadhi na afya za watoto nchini Tanzania, matukio...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atinga mahakamani kwa Sugu

MWENYEKITI WA CHADEMA, Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya, kuhudhuria kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katiku Mkuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nabii wa Ngono mbaroni Dodoma

JESHI la polisi mkoani Dodoma, limemkamata Onesmo Machibya (44), maarufu kwa jina la Nabii Tito, kwa madai ya kinachoitwa, “kueneza chuki ya kidini...

Habari Mchanganyiko

Mambosasa awatoa hofu wanyoa ‘viduku’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekanusha taarifa kuhusu kukamata wanyoa viduku, wavaa vimini zinazoendelea kusambaa. Anaripoti Hamis Mguta …...

Elimu

Mawakala wa elimu watoa ufafanuzi wa udhamini

KAMPUNI ya Mawakala wa Elimu Solution Ltd, imetoa ufafanuzi jinsi wanavyo wadhamini wanafunzi wa vyuo vikuu, wajasiliamali, na wafanyakazi kwenda kusoma nchini China,...

Habari za Siasa

Mahakama Dodoma kutoa hukumu ya kesi ya Kubenea

Mahakama ya wilaya ya Dodoma, imepanga kutoa hukumu ya pingamizi lililowekwa na wakili wa mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, katika kesi ya...

Elimu

Rais wa DARUSO alikoroga UDSM

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamemtuhumu Rais wa serikali yao, kwa kukiuka katiba na kutumia nafasi yake kufanya mambo...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa aeleza alivyorubuniwa Ikulu aitose Chadema

ALIYEKUWA mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa ameweka bayana kwamba wiki iliyopita aliitwa Ikulu na Rais John Magufuli...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapigano kugombea ardhi, Serengeti, Butiama yanukia.

MAPIGANO ya kugombea ardhi ya kilimo na kufuga yanayohusisha silaha za jadi pamoja na bunduki yanatarajia kuendelea kutokea muda wowote katika kijiji cha...

Habari za SiasaTangulizi

​Lissu afika salama Ubelgiji, apokelewa kwa ulinzi mkali

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu, amewasili salama nchini Ubegiji alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu zaidi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Meya Dar: Ngoma ngumu 2020

USHINDI wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwenye uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam ni ishara kwamba uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu: Serikali ilipania kuninyamazisha

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema shambulio la risasi alilofanyiwa akiwa mjini Dodoma lililenga kumnyamazisha dhidi ya kuikosoa serikali. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Baba aua familia yake kwa kutumia jembe

AMMY    Lukule ambaye ni mhasibu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya amefanya mauji kwa familia yake kutokana na wivu wa mapenzi, Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Rugemarila ataja wezi wa fedha za Escrow 

MFANYABIASHARA James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyodai...

Kimataifa

Marekani yaikomalia Afghanistan, yasitisha misaada

MISAADA  ya kiusalama kwa Pakistan yenye thamani ya takriban dola milioni 900 itasitishwa hadi pale Pakistan itakapochukua hatua madhubuti ya kupambana na kundi...

Michezo

Serikali yamshika mkono Babu Seya hadi studio

SERIKALI imetangaza kuwabeba wasanii waliokuwa wamefungwa jela maisha ambao Desemba 9, 2017 walipewa msamaha na Rais John Magufuli ili kuinua vipaji vyao. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

UKAWA kuanikwa siri ya ushindi ya Unaibu Meya

MWENYEKITI wa Chadema, Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, atakutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, muda wowote wiki hii. Anaripoti Faki...

Habari Mchanganyiko

Wanahabari Moro watoa mafunzo kwa wakulima

WAKULIMA wa bonde la mpunga la Mgongola lililopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro wameiomba serikali kuwapatia hatimiliki za mashamba yao ili waweze kuyaendeleza bila...

Habari Mchanganyiko

BoT yakunjua makucha, yafunga benki tano

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifunga na kuziweka chini ya ufilisi benki tano nchini kutokana na kuwa na upungufu wa mtaji kinyume na...

Habari za Siasa

CCM washikana uchawi, uchaguzi wa naibu meya

DIWANI mmoja kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina tunalihifadhi kwa sasa, ameibua taharuki baada ya kuamua kumpigia kura mgombea wa nafasi ya naibu...

Habari za Siasa

Dk. Bisimba wa LHRC ajivisha ‘mabomu’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimejivisha mabomu na kukataa wazi wazi mpango wa serikali kilichodai kwamba ni muendelezo wa kuminya...

Elimu

Bodi ya Mikopo ‘uvungu kwa uvungu’ na waajiri

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB), imetangaza vita dhidi ya waajiri hapa nchini ikiwamo wale wa serikali ili...

Habari za Siasa

Tuseme imetosha ufisadi huu mpya

MWAKA 2018 moja ya mambo tunayotakiwa kuyapinga kama Watanzania ni hili la ufisadi unaofanywa na wanasiasa wanaohama vyama na kuachia nafasi zao za...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai uso kwa uso na Lissu, kupelekwa Ulaya J’mosi

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, anatarajiwa kufika mjini Nairobi leo au kesho Alhamisi kumtembelea mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

TCRA yaihukumu Azam TV, Star TV

MAMLAKA ya mawasiliono nchini TCRA imetoa hukumu kwa televisheni nne kwa tuhuma za uchochezi  na kukiuka  kanunuzi za utangazaji, Anaripoti Faki Sosi….(endelea) Mamlaka hiyo...

Habari za Siasa

Babu Seya atinga Ikulu kumshukuru Rais Magufuli

Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha” Francis Nguza na Michael Nguza leo wamefika Ikulu kumshukuru Rais wa Tanzania,...

Habari za Siasa

Mbunge Sugu aitwa Polisi

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na mratibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameitwa Polisi....

Makala & UchambuziTangulizi

Ndugai ajipapatua kuhusu Tundu Lissu

KAULI ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba utaratibu wa kukidhi gharama za matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu unaendelea kushughulikiwa,...

Afya

Unicef yalilia maisha ya watoto waliozaliwa Mwaka Mpya

IKIWA ndani ya mwaka mpya watoto 48,000 wamezaliwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini shirika la watoto duniani Unicef limezisihi nchi za ukanda...

error: Content is protected !!