KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JE wajuwa? Paul Makonda amerejea kwenye ulingo wa siasa. Huyo ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Hamashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023RIPOTI za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa fedha 2021/ 2022 zimejadiliwa bungeni. Je, umefurahishwa na...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023MNYONGE mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni usemi unaoshabihiana na mabadiliko makubwa yaliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli katika...
By Gabriel MushiOctober 27, 2023WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023KIFO cha Prof Hadley Mpoki Mwafenga- Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la kwanza wa kitengo cha ubia kati ya Sekta umma na...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2023KILA zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Rais Samia Suluhu Hassan na kitabu anachotumia ni tofauti na kilichotumiwa na mtangulizi wake...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2023Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma mbalimbali duniani....
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema ifikapo Desemba 2023 watakuwa wamefikia malengo ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali ya...
By Seleman MsuyaJuly 14, 2023MJADALA kuhusu makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ambayo inatarajiwa kuwekeza katika Bandari ya Dar es Salaam umezidi kushika...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023HEDHI ni sehemu ya maisha ya kawaida na yenye afya, lakini kwa watu wengi wanaopata hedhi, ni chanzo cha aibu, hofu na ubaguzi....
By Mwandishi WetuJune 8, 2023“HAKUNA namna ambayo serikali yaweza kukimbia maamuzi ya Mahakama kwa kutekeleza kile ambacho kimeamriwa kisimame; na au kinyume cha sheria. Pale ambapo...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023LEO tarehe 5 Mei, ni ACT Dei. Ni siku ambayo Chama cha ACT Wazalendo kilipata usajili wa kudumu. Tunaadhimisha siku hii kwa...
By Mwandishi MaalumMay 5, 2023UJANGILI wa wanyamapori bado ni tatizo kubwa katika hifadhi za Taifa. Kwa nchi yetu tuna jumla ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 2000 nchini Tanzania, imekuwa kampuni kinara...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili;...
By Mwandishi WetuApril 9, 2023MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii,...
By Mwandishi WetuApril 9, 2023RIPOTI za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023MIKUMI ni miongoni mwa hifadhi za Taifa, inashika nafasi ya 9 kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la Hifadhi za...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023TANZANIA ni miongoni mwa nchi tatu ambazo zimebahatika kutembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani ziara ambayo inatajwa kuwa ya kihistoria kutokana...
By Jonas MushiMarch 28, 2023MNAMO Februari 2017, miaka sita sasa imepita, niliandika, kupitia ukurusa wangu wa Facebook, makala haya kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la...
By Mwandishi MaalumMarch 27, 2023Tarehe 19 ya mwezi Machi, ni siku muhimu sana kwa taifa letu, watu wake na historia ya nchi yetu. Kama nchi, tunaungana kusherehekea...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2023DAKTARI Sikujua Omar Hamdan anaamini Zanzibar inahitaji “sheria za pamoja” za kushughulikia tatizo linalokua la udhalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya...
By Jabir IdrissaMarch 10, 2023MTU anapojitambulisha kuwa anafanya kazi mgodini, watu wengi hudhani kuwa kazi zilizopo ni kuingia chini ya ardhi kutafuta madini pekee. Dhana hiyo imesababisha...
By Gabriel MushiMarch 8, 2023MACHI 8 kila mwaka Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa kwa lengo kuongeza chachu katika harakati za mapambano ya kuleta usawa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023KAMPUNI ya uchimbaji wa dhahabu Shanta Gold Mine kupitia mgodi wake wa New Luika iliyoko kata ya Mbangala wilayani Songwe mkoani hapa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2023Wakazi wa Kijiji cha Makomba kilichopo kata ya Makazi katika wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameililia serikali kwa kuwatenga katika miradi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimefunguliwa kutoka katika kifungo cha takribani miaka sita baada ya katazo lisilo la kikatiba wala kisheria la...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023HUENDA tarehe 5 Januari 2023, ikawa ni siku chungu kwa Kamishna Diwani Athuman, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wake...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023KWENYE moja ya vikao vya kamati ya watu wenye ulemavu nchini Tanzania, hoja iliyogusa hisia kubwa za wengi ni ya watu wenye ulemavu...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023WAKATI ikiwa imesalia siku moja kwa 2022 kufika tamati, dunia haitosahau vifo vya watu mashughuri vilivyotikisa ndani ya mwaka huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2022TUNAPOELEKEA kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022NI ukweli usiopingika kwamba vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa nchi, ambao una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya taifa...
By Regina MkondeOctober 25, 2022MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...
By Mwandishi MaalumSeptember 24, 2022NI KASHFA! Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kilichojiri mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi mjini ambapo madiwani wa Kata nne za manispaa hiyo, wamedaiwa...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi, wanaofahamu kutungwa kwa muswada, kufikishwa kwa mswada huo bungeni na hadi kuwa sheria, hakuna shaka kuwa...
By Mwandishi MaalumSeptember 14, 2022NDOTO ya Raila Odinga, mtoto wa makamu wa rais wa Kwanza wa Kenya, Jaramogi Odinga, kuwa rais wa Jamhuri ya Kenya imeonekana kuzima...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022WAPIGA kura nchini Angola wanapiga kura leo tarehe 24 Agosti, 2022 kumchagua rais mpya. Uchaguzi huo umetajwa kuwa na ushindani mkali kuwahi kushuhudiwa tangu...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022Jina la Juliana Cherera ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka kutoka nchini Kenya (IEBC), limepata umaarufu mkubwa baada...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2022KAMPENI za wafuasi wengi zilizoegemezwa katika simulizi kali za ma-hustlers (watafutaji) sambamba na uungwaji mkono kutoka kwa maeneo yenye utajiri wa kura...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022YAPO masuala ya kijiografia, kihistoria, kijamii na kiuchumi yanayofanya nchi mbili za Afrika Mashariki; Kenya na Tanzania zifanane na kuwa na udugu...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022RAIA wa Kenya jana tarehe 9 Agosti, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais, gavana, seneta, mwakilishi wa wanawake, mbunge na mwakilishi wa wadi. Katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2022