Saturday , 27 April 2024
Home 2018

Year: 2018

AfyaHabari Mchanganyiko

Watoto 5,500 watazaliwa 2019, UNICEF wajipanga kwa usalama wao

SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa...

MichezoTangulizi

Matukio ya michezo/sanaa yaliyotikisa 2018

MWAKA 2018 unafikia tamati, katika miezi 12 inayokamilika leo wapo watu wanauaga mwaka kwa machungu yasiyosahaulika kwenye maisha yao milele lakini wapo wanaouona...

Habari za SiasaTangulizi

Chungu na tamu ya siasa 2018

TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu aliyemfungia mtoto kabatini azidi kubanwa

MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia  kabatini kichanga  cha miezi...

Habari za Siasa

Jiji la Dodoma kujiendesha kwa mapato ya ndani

MKURUGENZI  wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na...

Habari za SiasaTangulizi

Katibu Mkuu Chadema, wenzake saba ‘wasukumwa ndani’

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji ‘amesukumwa ndani’ na wenzake saba mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani humo...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu aagiza wakazi wa Dodoma kulipwa fidia

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Kwa heri Pascal Ndejembi, utakumbukwa kwa mengi

WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa  Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti...

Michezo

Kocha Mkuu Simba: Kundi letu lipo wazi

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amsema kuwa bado timu yake inanafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kiza kinene kimeikumba nchi

GIZA limetanda katika maeneo yote yanayopata umeme kupitia gredi ya taifa jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za Siasa

Kikokotoo chaondoka na Mkurugenzi SSRA

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dk. Irene Isaka. Anaripotu Yusuph...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ametufanya tutembee kifua mbele – Zitto

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amesema kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia matumizi ya kanuni mpya za vikokotoo kwa ajili ya wafanyakazi...

Habari Mchanganyiko

Jafo aagiza waliotafuna Bil 2.9 Ulanga wakamatwe

OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. 2.98 bilioni katika halmashauri ya...

Habari Mchanganyiko

Madiwani Chamwino watakiwa kuwakumbuka walemavu

MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wametakiwa kuhakikisha majengo yanayojengwa yanakuwa na miundombinu rafiki kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wazazi wa darasa la saba, wawachongea M-RC, DC kwa JPM

BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamemaliza darasa la saba na kufaulu mitihani yao na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza...

Habari za Siasa

Jicho la Rais Magufuli lahamia kwa wastaafu hewa

RAIS John Magufuli amewataka watendaji katika mifuko ya hifadhi ya jamii kuboresha daftari la orodha ya majina ya wastaafu, ili kuondoa mapungufu yaliyopo...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asalimu amri kwa wafanyakazi

HATIMAYE Rais John Pombe Magufuli, amesikia kilio cha wafanyakazi nchini. Amefuta angalau kwa muda, matumizi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya...

Habari Mchanganyiko

Sekta binafsi yapigilia msumali sakata la Fastjet

MKURUGENZI wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye ametoa neno kuhusu madai yaliyotolewa na baadhi ya watu hivi karibuni, ya kwamba...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli kukata mzizi wa fitina kikokotoo cha mafao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli leo tarehe 28 Desemba 2018 atakutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini,...

Michezo

Shabiki apoteza maisha uwanjani

SHABIKI wa Inter Milan amepoteza maisha na wengine wanne kujeruhiwa katika mchezo dhidi ya FC Napol uliopigwa kwenye uwanja wa San Siro baada...

Kimataifa

Trump, Melania watinga Iraq kimyakimya

ZIARA ya Rais wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania imefanywa kimyakimya nchini Iraq. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea). Hata hivyo inaelezwa...

Habari Mchanganyiko

Wakulima Dodoma wapewa somo

WAKULIMA wa Mkoa wa Dodoma wametakiwa kulima mazao ambayo yanaendana na hali ya hewa ili kuweza kupata mazao mengi. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...

Habari za Siasa

Mrema akubali muswada wa vyama vya siasa, aomba ruzuku

MKONGWE wa Siasa Nchini na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema, ameitaka serikali inapofanya marekebisho ya vyama vya siasa iweze kuangalia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Fastjet, serikali sasa hapatoshi

SIRI kuu juu ya kampuni ya ndege ya Fastjet, kusitisha shughuli zake za usafirishaji wa abiria nchini, imefichuka. Anaripoti Regina Mkonde …. (endelea)....

Kimataifa

Bobi Wine amnyima usingizi Museven

Bobi Wine mwanamuziki wa miondoko ya pop na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, anamnyima usingizi rais wan chi hiyo Yower Museven. Inaripoti mitandao...

Michezo

Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inatarajia kuanza kuchezwa Januari Mosi, 2019 na kumalizika Januari 13, visiwani Zanzibar ambayo itahusisha timu tisa ambazo zitawekwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nusura ya MV. Nyerere kutokea Mafia

IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda: Bila Neno la Mungu, Magereza, polisi hawatatosha

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Magereza na Polisi hawatatosha iwapo Neno la Mungu halitafanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema waanza kupanga safu yao ya uongozi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti...

Makala & Uchambuzi

Krisimasi yaweza kuwa mwarobaini wa  uhasama wa kidini?

KILA mwaka, siku kama ya leo – tarehe 25 Desemba – Wakristo duniani kote, huungana kusheherekea sikukuu ya Krisimasi. Anaandika Mwanadishi Maalum … (endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Ujumbe wa manung’uniko, kilio kusomwa makanisani

LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko,...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yamzua Lipumba kukomba ruzuku

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba...

Habari za Siasa

Mbunge wa Chadema apata ajali mbaya

MBUNGE wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kunti Yusuf Majala, amejeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali....

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye: Muswada wa siasa ukiachwa utawatafuna mpaka CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani limetaka serikali kuuondoa muswada wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni, kwa sababu unakiuka katiba kwa kuwa...

Habari za Siasa

Chadema waomba uhakiki wa daftari, Tume Huru

CHAMA cha Chadema Kanda ya Pwani kimeikumbusha serikali kufanya uhakiki wa daftari la kupiga kura kwa muda muafaka ili kila mpiga kura apate...

Michezo

Boban kuanza kuitumikia Yanga leo

BAADA ya kusajiriwa kwenye dirisha dogo la usajiri kutokea klabu ya African Lyion mchezaji Haruna Moshi ‘Boban’ (31) leo amejumuishwa kwenye kikosi cha...

Habari za Siasa

Sumaye awachonganisha CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani kimetoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua watu walioanzisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya au wanaokwamisha...

Michezo

Simba sasa kukutana na vigogo Afrika

BAADA ya Simba hapo jana kufanikiwa kuibuka ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FCkutoka Zambia, kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

Habari Mchanganyiko

Sumatra wafanikiwa kumaliza tatizo la usafiri Ubungo

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imefanikiwa kumaliza tatizo la usafiri wa abiria waoendao mikoani katika kituo cha...

Habari za SiasaTangulizi

Membe amburuza kortini Musiba

ALIYEPATA kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, katika utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Membe, amemburuza mahakamani Cyprian Musiba....

Habari Mchanganyiko

Ndugu wa Rostam Aziz afutiwa mashitaka

NDUGU wa mfanyabiashara mashuhuri nchini, Rostam Aziz, anayefahamika kwa jina la Akram Aziz, amefutiwa mashitaka na serikali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akram...

Habari za Siasa

Airbus ya ATC kutua nchini kesho kutwa

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea ndege nyingine mpya toleo la Airbus A220-300 itakayotua nchini Jumapili Desemba 23, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko sasa kula Krismass, Mwaka Mpya gerezani

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa chama hicho katika jimbo la Tarime Mjini, Esther Matiko, waweza kulazimika kulia sikukuu ya Krismasi...

Kimataifa

Hekaheka DRC, uchaguzi njia panda

UCHAGUZI Mkuu katika Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) upo njia panda baada ya mamlaka za nchi hiyo kujiumauma. Vinaripoti vyombo...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ahimiza kukusanywa kodi ili kulipa madeni

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewahimiza wananchi kulipa kodi ili kuiwezesha serikali kulipa mikopo inayokopa kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Sumaye, Maalim Seif, Zitto kumfuata Mbowe Kisutu kesho

VIGOGO watatu wa kisiasa nchini, Edward Lowassa, Maalim Seif Sharif Hamad na Fredrick Suamye, kesho Ijumaa, wataongoza mamia ya wafuasi wa upinzani, kuelekea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kikokotoo pasua kichwa kila kona

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wametoa tamko la kuunga mkono msimamo wa TUCTA kuhusu mkanganyiko Kikokotoo cha mafao ya...

Habari Mchanganyiko

Wakulima waomba mbegu za muda mfupi

JUKWAA la Wakulima wanawake wilayani Chamwino (JUWWACHA) limeishauri serikali kutilia mkazo matumizi ya mbegu za muda mfupi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini watakiwa kulikomboa Taifa

KIONGOZI wa Kanisa la Jehova Mercy, lenye makao yake makuu Jijini Dodoma mtaa wa Swaswa Halisi, Prophet Richard Magenge amewataka viongozi wa Kiroho...

error: Content is protected !!