Friday , 26 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Ujumbe wa manung’uniko, kilio kusomwa makanisani
Habari MchanganyikoTangulizi

Ujumbe wa manung’uniko, kilio kusomwa makanisani

Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dk. Frederick Shoo
Spread the love

LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko, majonzi kulingana na hali ilivyo kwa sasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).

Waraka huo uliotolewa na Mkuu wa KKKT, Askofu Frederick Shoo utasomwa leo kwenye makanisa hayo ukijikita katika kuishauri serikali kusimamia haki ili hupunguza manung’uniko kwa Wananchi.

Ujumbe huo unaonesha namna wananchi wanavyopoteza matumaini huku wakijaa manung’uniko kutokana na hali zao za maisha.

Umeeleza namna jamii inavyopita kwenye changamoto kubwa ikiwa ni pamoja na vitendo vya ubakaji, ukeketaji pia ndoa za utoni na kila aina ya mateso.

Dk. Shoo ameeleza kuwa, matatizo mengine yanatokana na umasikini wa Wananchi unaosababisha kuibuka kwa manung’uniko na hofu katika maisha ya Watanzania hivyo kuoelekea kukosa matumaini.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

Spread the love  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

Spread the love  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule...

Habari Mchanganyiko

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

Spread the loveBenki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule...

error: Content is protected !!