MWILI wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, unatarajiwa kuzikwa tarehe 2 Machi 2024, mjini Unguja. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeFebruary 29, 2024Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo tarehe 29 Februri 2024 saa 11 jioni katika Hospitali...
By Mwandishi WetuFebruary 29, 2024Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Dk. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo tarehe 29 Februari 2024 kuanza ziara...
By Mwandishi WetuFebruary 29, 2024Mbunge wa Embakasi Mashariki nchini Kenya, Paul Ongili Owino maarafu ‘Babu Owino’ amewaasa vijana kuwa chachu ya mageuzi ya kisiasa ili kuwaletea mabadiliko...
By Faki SosiFebruary 29, 2024IMEELEZWA kuwa zao la karafuu ambalo kwa sasa linalimwa pia katika mkoa wa Morogoro limetajwa kuwa miongoni wa zao la kimkakati ambalo linatarajiwa...
By Mwandishi WetuFebruary 29, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kuruhusu vyama vya siasa vya upinzani kufanya shughuli zake kwa uhuru, ikiwemo kuandamana na kufanya...
By Mwandishi WetuFebruary 29, 2024MOJAWAPO ya sekta ambazo katika miaka ya 2000 hazikuwa na vijana wenye ujuzi wa kutosha kutekeleza shughuli mbalimbali, ni ya uchimbaji wa madini....
By Gabriel MushiFebruary 29, 2024WASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu iliyoendeshwa na Benki ya NMB kwa miezi mitatu ‘NMB MastaBata – Halipoi’ na...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2024WATU wanne wakiwamo abiria watatu na rubani mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo Jumatano katika Hifafhi ya Taifa ya Serengeti....
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2024MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kuanza kutumika kwa maboresho mapya ya Kitita cha Mafao kwa wanachama ambapo yatataanza...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa, Sekta ya Nishati ni injini katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2024WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2024WAGOMBEA Uenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, wamenadi sera zao katika mdahalo wa uchaguzi, wakiwaomba wajumbe wawachague kwenye uchaguzi utakaofanyika...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2024Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis amelazimika kufuta mkutano na waumini mjini Vatican jana Jumatatu asubuhi baada ya kubainika kuwa anasumbuliwa na...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2024VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali pamoja na wajasiriamali katika mkoani Kilimanjaro wamepatiwa bure mitungi ya gesi ya Oryx 1000 pamoja na majiko...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2024MAELFU ya wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanatarajia kushiriki maandamano ya amani yaliyoandaliwa na chama hicho, kudai katiba...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ametoa wito kwa wahitimu wa vyuo vikuu waliojiunga na program ya mafunzo tarajali katika Kampuni ya...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Ikiwa ni saa kadhaa baada ya kumalizika kwa mashindano ya mbio “Kili Marathon 2024”, Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Udhibiti wa huduma za...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema zaidi ya wanajeshi 31,000 wamefariki vitani katika muda wa miaka miwili tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na serikali yake katika hatua ambayo huenda ikafungua njia ya mageuzi yanayoungwa mkono na...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024MIILI ya watu 25 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo na magari matatu, iliyotokea katika Barabara Kuu ya Arusha-Namanga Ngaramtoni Kibaoni,...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024IMEELEZWA kuwa asilimia 80 ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori nchini inahusisha mnyama tembo, huku simba, boko, mamba, fisi na nyati wakichangia...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limewataka Watanzania kujitokeza kutembelea vivutio vya utalii ili kuongeza mapato ya ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imeitaka Serikali kupiga marufuku malori ya mizigo kutembea barabarani wakati wa mchana ili kulinda...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Timu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Nje Jogging imeshiriki mashindano ya Mbio za Kimataifa...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2024Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella kufuatia vifo vya watu 25 na majeruhi 21...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2024MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imefanikiwa kufika maeneo ya Kijitonyamajijini Dar-es–Saslaam katika zahanati inayopatikana katikaeneo hilo na kutoa msaada wa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024Watu 25 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza wasimamizi wa vituo vya afya, zahanati na hospitali zote nchini kuhakikisha wanayasimamia...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024HATIMAYE Jumamosi imefika ndugu mteja wa Meridianbet na mechi zote za kukufanya ujikwapulie pesa zipo hapa. Unachotakiwa kufanya ni kuingia na kusuka...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024Mahakama ya mjini Tunis imemhukumu rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki kifungo cha miaka nane jela baada ya kupatikana na hatia kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema ili kukabiliana na migongano kati ya binadamu na wanyamapori ni vema kwa wadau wote kushiriki kutoa elimu...
By Seleman MsuyaFebruary 24, 2024KAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inewahimiza wanafunzi wa shule za sekondari kujiepusha na unywaji pombe chini ya umri ili kujihakikishia...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko amekataza watendaji wa TANESCO kwenda likizo kipindi hiki cha changamoto za umeme...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024JE, unajua kuwa leo hii ni siku nzuri kwako kujipigia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi zako za uhakika ndani za meridianbet....
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024SHAHIDI ambaye ni fundi Seremala, Dominic Mpakani (43) ameileza mahakama jinsi mtuhumiwa Bharat Nathwan (57) alivyomshambulia jirani yake, Lalit Ratilal kwa kumpiga kichwa...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imehitimisha mafunzo kwa maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024HII habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ambao tayari wamejisajili na hata wasiojisajili, wana nafasi...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024KATIBU wa Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum wa ACT-Wazalendo Taifa, Mbarala Maharagande ametangaza vipaumbele vyake vinne aliyoahidi kuanza navyo kazi...
By Regina MkondeFebruary 23, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, anayemaliza muda wake, Dorothy Semu amechukua fomu kwa ajili ya kugombea uongozi wa chama hicho taifa, baada...
By Regina MkondeFebruary 23, 2024KATIKA kukabiliana na uhaba wa watalaam wa uchimbaji wa kina kirefu chini ya ardhi (Underground Mine), Chemba ya Migodi Tanzania (TCM) kwa kushirikana...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2024WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa Mkandarasi wa kampuni ya Kay Bouvet Engineering Ltd. ya nchini India na...
By Danson KaijageFebruary 22, 2024Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema CCM chini ya Mwenyekiti Rais Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024EUROPA Ligi hatua ya 16 bora kuendelea leo ambapo kutakuwa na mechi kibao zenye ODDS KUBWA pale meridianbet, na hizi ni mechi...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua za wastani hadi juu ya wastani kwa msimu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) kimeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutoa nafasi za juu...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024WADAU mbalimbali kutoka sekta za kilimo, mifugo na uvuvi wamepongeza utekelezaji wa mpango wa Jenga Kesho iliyo Bora (BBT) kama njia itakayosaidia kuzinua...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Mussa Shaib amesema sanamu ya Baba wa Taifa...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024IKIWA wewe ni mpenzi wa kucheza kasino ya Mtandaoni basi Meridianbet Kasino ni tulizo la moyo wako. Nakushauri tu cheza mchezo wa...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2024