Wednesday , 22 May 2024

Month: February 2024

Habari za SiasaTangulizi

Mramba: Mgawo wa umeme kuisha muda wowote

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema tatizo kubwa la mgawo wa umeme unaondelea sasa halitokani na udhaifu katika miundombinu ya...

Habari za Siasa

84 mbaroni kuuza sukari bei ghali

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Alhamisi amesema jumla ya wafanyabiashara 84 wamekamatwa kutokana na kupandisha bei ya sukari. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Wazawa kubebwa sasa basi, muswada kutua bungeni

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hadi kufikia Juni mwaka huu amepanga kupeleka muswada wa sheria ili kuruhusu kampuni binafsi kutoka nje kuingiza...

Habari za SiasaTangulizi

Wahariri wamkaanga bosi bodi ya sukari kwa ububu

Mkurugenzi Mkuu, Bodi ya Sukari Tanzania Prof. Kenneth Bengesi ameonja joto la jiwe kutoka kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari baada ya...

Michezo

Mtanange wa UEFA unaendelea kuwaka leo

JUMATANO  ya leo ni siku nyingine ya kushuhudia kandandasafi la ligi ya mabingwa ulaya ambapo michuano hiyoitaendelea na michezo mikali itapigwa katika viwanja...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Exim yaungana na Dk. Mwinyi kuchochea utalii Z’bar

Benki ya Exim Tanzania imesisitiza dhamira yake kuhudumia wadau mbalimbali wa sekta ya utalii ndani na nje ya nchi ili kuunga mkono na...

Biashara

Shinda mgao wa Mil 13 ukicheza kasino za Expanse na Meridianbet

  JE, unatambua kwamba kuna Milioni 13 TZS zipo Meridianbet kasino ya mtandaoni hivi sasa zinakusubiri? Na unaweza kuzipata kupitia simu yako yam...

Biashara

NMB yatajwa benki bora ya biashara Tanzania

Benki ya NMB imetunukiwa Tuzo ya Benki Bora ya Biashara Ndogo na za Kati Tanzania kutoka Jarida la Kimataifa la Global Finance katika...

Habari Mchanganyiko

Vijini 68 Musoma kupata maji ya Ziwa Victoria

WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA), umeendelea kusambaza maji katika vijiji 68 vya jimbo la Musoma Vijijini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

TMA yawanoa wanahabari kuelekea msimu wa mvua wa Masika 2024

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali kujadili kuhusu utabiri wa msimu wa Masika (Machi –Mei)...

Habari Mchanganyiko

Wakazi kwa mawaziri walia majitaka kusambaa mitaani

WAKAZI zaidi ya 4,000 wa mitaa ya Eyasi, TPDC na mtaa wa kwa mawaziri, Mikocheni jijini Dar es Salaam, wanakabiliwa na adha ya...

Habari Mchanganyiko

Viumbepori, bahari hatarini kutoweka

KUKOSEKANA juhudi za pamoja za Serikali, wadau wa uhifadhi na wananchi kukabiliana na uvunaji haramu wa viumbepori na bahari baada ya miaka mitano...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua waziri wa uchumi na uwekezaji Zanzibar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TPSF yataja mbinu ya kuibua vipaji vipya taaluma ya madini

Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Raphael Maganga ametoa wito kwa kampuni za sekta binafsi kuiga mwongozo wa Kampuni ya Geita...

Habari Mchanganyiko

Kampuni 500 kushiriki maonyesho ya TIMEXPO 2024

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini  ( CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade), wamezindua  mipango ya ushiriki wa Maonesho ya...

Biashara

Puma Tanzania yaneemesha wanafunzi 2,050 Z’bar

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali kupunguza uhaba wa matundu ya choo kwa wanafunzi shuleni, Puma Energy Tanzania imefanya ukarabati mkubwa wa majengo...

Michezo

Kusanya maokoto na mechi za UEFA leo

  LIGI ya mabingwa barani Ulaya inaendelea hii leo kwa hatua ya 16 kwa timu ambazo wiki iliyopita hazikucheza. Na wewe mteja una...

Habari Mchanganyiko

NIMR: Simu kutumika kufanya utafiti wa magonjwa yasiyoambukiza

  TAASISI ya Taifa ya Tafiti za Magonjwa ya Binadamu NIMR kwa kushirikiana na Wizara ya Afya hivi karibuni inatatarajia kuanza kufanya utafiti...

Habari Mchanganyiko

Uwekezaji mkubwa wa Serikali wafanikisha ukamataji wa shehena ya dawa za kulevya

  SERIKALI kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya...

Habari za SiasaTangulizi

Mvua yakatisha mkutano wa Chadema Mbeya

MKUTANO wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliokuwa unafanyika kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe, umeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha....

Habari za Siasa

Sugu atumia maandamano ya Chadema kumfikishia ujumbe Spika Tulia

ALIYEKUWA Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi “Sugu”, ametumia maandamano na mkutano wa hadhara wa chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufikisha...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la DP World na bandari lafufuka upya

SAKATA la mkataba wa kiserikali kati ya Tanzania na Imarati ya Dubai, juu ya ushirikiano wa uwekezaji kwenye baadhi ya maeneo ya Bandari...

Biashara

Huu hapa mchezo mpya Poker “All Aces”, ushindi kugusa Meridiabet kasino 

  Unapotembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet bila shaka huwa unakutana na michezo mingi ya Poker na kasino lakini mchezo wa All Aces...

Habari za Siasa

Ndolezi ataja vipaumbele 8 akirejesha fomu kugombea uenyekiti vijana ACT-Wazalendo

KADA wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndolezi Petro amerejesha fomu ya kuomba kugombea uenyekiti wa ngome ya vijana ya chama hicho, na kutaja vipaumbele...

Habari za Siasa

Wazabuni Liwale wacharuka, wambebesha zigo Makonda

WAZABUNI waliofanyakazi na Halmashauri ya Liwale na kushindwa kulipwa fedha zao, wamembebesha mzigo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za SiasaTangulizi

Maelfu waitikia maandamano ya Chadema Mbeya

MAELFU ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza katika maandamano ya amani ya kudai katiba mpya na  tume...

Habari Mchanganyiko

Kuelekea Masika 2024, TMA yapongezwa kwa ushirikiano wao na wadau

  MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ameipongeza TMA kwa kuendelea kushirikisha sekta mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi 40 waula GGML, kupata mafunzo kazini kwa mwaka 1

KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imezindua mafunzo...

Biashara

NMB yamwaga misaada kwa shule tano Rorya

BENKI ya NMB imetoa msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh 80 milioni ukiwa ni madawati 250 pamoja na mabati 368 kwa shule...

Habari za Siasa

Upinzani watakiwa kushiriki uchaguzi bila kinyongo

VYAMA vya siasa vya upinzani vimetakiwa kushiriki chaguzi zijazo hata kama madai yao ya upatikanaji tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hayajafanyiwa...

Biashara

Mchezo wa karata usiotumia Jokeri, Poker Teen Patti kasino mtandaoni, ushindi kwa karata 3 tu 

  HABARI yako mpenzi wa Michezo ya Kasino, leo nataka kukupekea kwenye ulimwengu wa Poker Teen Patti. Kama hujapata fursa ya kucheza poker...

Habari Mchanganyiko

Watetezi haki za binadamu waikaba koo Serikali kisa mgawo wa umeme

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto ya mgawo wa umeme kwa kuwa tatizo hilo linakiuka haki za binadamu hususan ya kufanya...

Habari za Siasa

Selasini: CCM walitunyima vingi kumzuia Lowassa kugombea urais

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, amedai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewafanya watanzania kutonufaika na Hayati Edward Lowassa, kufuatia hatua yake...

Michezo

Mkwanja utaendelea kutoka leo kupitia ligi kubwa barani Ulaya

LIGI mbalimbali barani ulaya zitaendelea kupigwa leoJumapili ambapo zitakuwezesha wewe mteja waMeridianbet kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezoambayo itapigwa leo,Kwani michezo hiyo imepewa ODDS...

Habari Mchanganyiko

CWT yampiga ‘stop’ kigogo aliyegomea uteuzi

BUNDI ameendelea kukiandama Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya Baraza la Kuu la chama hicho kumsimamisha ukatibu mkuu Japhet Maganga. Anaripoti Danson...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada kwa wauza chakula Coco Beach

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet wamefanikia kufika eneo la Coco Beach jijini Dar-es-salaam leo na kuweza kutoa msaada wa vifaa vya usafi...

Michezo

Leo ndiyo siku yako ya wewe kuwa milionea na Meridianbet

  JUMAMOSI ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL, Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia...

Habari za Siasa

Rais Samia: Lowassa hakukubali kuyumbishwa

  ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, hakukubali kuyumbishwa katika utekelezaji wa majukumu yake serikalini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Samia amjibu Mbowe Chadema kutotajwa wasifu wa Lowassa

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kama historia ya Hayati Edward Lowassa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ingewekwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Uvumilivu wamshinda Mbowe, aivaa familia ya Lowassa

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na hatua ya familia ya Hayati Edward Lowassa kuandika historia ya waziri mkuu huyo mstaafu...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Paroko amshukia diwani, mbunge Ulanga

PAROKO wa Kanisa Katoliki la Sali, Padri Charles Kuandika, amemshukia Mbunge wa Ulanga Mashariki, Salim Almasi (CCM) na Diwani wa Kata ya Sali,...

Habari Mchanganyiko

Usawa wa kijinsia waweka salama shoroba

UZINGATIAJI usawa wa kijinsia kwenye usimamizi wa shoroba saba ambazo zipo kwenye Mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili umewezesha shoroba hizo kuwa salama na...

Biashara

Giant Wild Goose Pagoda sloti kutoka Meridianbet kasino 

  GIANT Wild Goose Pagoda ni mchezo wa sloti kwenye kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari minne na ina njia...

Michezo

Unaachaje kuwa milionea ukibashiri na Meridianbet?

  IJUMAA ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja...

Michezo

Cobhams Asuquo agonga kolabo na Sauti Sol kwenye video “Lady Fiona”

MSANII maarufu nchini Nigeria, Cobhams Asuquo ameshirikiana na kundi maarufu nchini Kenya, Sauti Sol kwenye video inayokwenda kwa jina la ‘Lady Fiona’. Anaripoti...

Habari za Siasa

Bunge laahirishwa, kurejea Aprili

  VIKAO vya Bunge, vilivyoanza mwishoni mwa Januari 2024, vimeahirishwa hadi tarehe 2 Aprili mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Kigezo mafunzo JKT kutumika ajira serikalini, chaibua mvutano bungeni

  KIGEZO cha mafunzo katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kutumika katika kuajiri vijana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hasa majeshi, kimeibua...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rostam amuaga Lowassa kwa machozi

  MFANYABIASHARA, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli...

Habari za Siasa

Nchimbi: Tumepoteza mwana Afrika wa kweli

  KATIBU mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emanuel Nchimbi amesema mbali na kumpoteza rafiki, na kaka, pia Taifa na Afrika imempoteza Mwana Afrika...

Habari za Siasa

Wabunge wataka wakaguzi wa ndani wapewe meno kudhibiti ubadhirifu

  SERIKALI imetakiwa kuwaongezea mamlaka wakaguzi wa ndani ili waweze kuzuia ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaofanywa na baadhi ya viongozi...

error: Content is protected !!