Sunday , 5 May 2024
Home Kitengo Biashara Shinda mgao wa Mil 13 ukicheza kasino za Expanse na Meridianbet
Biashara

Shinda mgao wa Mil 13 ukicheza kasino za Expanse na Meridianbet

Spread the love

 

JE, unatambua kwamba kuna Milioni 13 TZS zipo Meridianbet kasino ya mtandaoni hivi sasa zinakusubiri? Na unaweza kuzipata kupitia simu yako yam konini ukitembelea uwanja wa michezo ya kasino ya mtandaoni. Masharti uwe umejisajili na Meridianbet ili uweze kushiriki promosheni hii.

Ni rahisi sana kupata mgao wako kutoka kwenye hii promosheni, ni kama vile kunywa maji au soda ya baridi kipindi hiki cha joto kali unakuwa unaburudika, ndivyo unavyokuwa unapocheza michezo ya kasino iliyotenegenzwa na Expanse Studios kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni.

Wakati wa promosheni, wachezaji watashindana kupata idadi kubwa ya mizunguko iliyochezwa kwenye michezo ya Expanse.

Safari hii ina thamani ya 13,000,000 TSH, chukua hatua na kuwa mmoja ya wachezaji 45 bora watakaoshiriki kwenye droo ya zawadi kabambe.

Nafasi ya 1 – 5,000,000 TSH

Nafasi ya 2 – 2,500,000 TSH

Nafasi ya 3 – 1,300,000 TSH

Nafasi ya 4 na 5 – 650,000 TSH kila mmoja

Nafasi ya 6 mpaka 10 – 270,000 TSH Kila mmoja

Nafasi ya 11 mpaka 20 – 50,000 TSH Kila mmoja

Nafasi ya 21 mpaka 50 – 25,000 TSH Kila mmoja

Pesa zilizolipwa zitapatikana mara moja kwa mchezaji kwa kutoa au kucheza ofa nzima kwenye tovuti.

Unajiuliza ni michezo gani utacheza ili kushinda promosheni hii, tembelea Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kisha chagua mchezo wowote uliotengenezwa na Expanse mfano Wild Ice Fruits, Wild White Whale au Wild Corrida nk ukianza kucheza utaona maajabu yake.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Pata Mil 450 ya Non Stop Drop ukicheza Meridianbet kasino

Spread the love  JIUNGE na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa...

Biashara

Exim Bank yaendeleza malipo ya kidijitali na Chef’s Pride Dodoma

Spread the love  BENKI ya Exim imeingia makubaliano na Mgahawa wa Chef’s...

Biashara

Cash Days Promo mamilioni yanakusubiri, cheza kupitia Meridianbet kasino 

Spread the love  JIANDAE kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

error: Content is protected !!