MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema maonesho ya wakulima ya nane nane yanatakiwa kulenga zaidi kutoa elimu kwa wakulima ili kilimo...
By Danson KaijageJuly 31, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema maridhiano yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, hayatazuia kuikosoa Serikali yake katika mikutano ya hadhara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023BAADA ya Serikali kutangaza gharama za ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa zilizokadiriwa kufikia shilingi bilioni 31, baadhi ya wadau wa michezo...
By Mwandishi MaalumJuly 31, 2023WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amewataka wananchi wawe na subira wakati Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linafanya mageuzi ya utendaji kazi wake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023WAZIRI wa Nishati, January Makamba amewataka watu wasiingize siasa katika utendaji wa wizara yake, kwa kuwa kitendo hicho kinaathiri maendeleo ya nchi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023WAUMINI 14 wa Kanisa la KTMK, Kijiji cha Ichigondo, wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, wamefariki dunia, huku 14 wakijeruhiwa baada ya mitumbwi waliyokuwa...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Sheikh wa Msikiti wa Idrisa, Karikoo, jijini Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023SERIKALI inakusudia kuanza kuzipa uhuru baadhi ya taasisi za umma, ili kuongeza ufanisi wa utendaji wake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo...
By Regina MkondeJuly 31, 2023RAIS mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ataongoza kamati ya watu 10 katika mazungumzo kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023SERIKALI imesema inafanyia kazi maombi ya wadau kuhusu uboreshaji mazingira ya hedhi salama kwa watoto wa kike. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Regina MkondeJuly 30, 2023MAONESHO makubwa ya Siku ya wakulima Nane nane yanayotarajiwa kuzikutanisha zaidi ya nchi 30 jijini Mbeya yamepewa sapoti kubwa na Benki ya NMB...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson’s Choice imetambulisha rasmi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuhakikisha mabasi ya mwendokasi yanarejeshwa katika njia...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), mkoani Dar es Salaam, yametakiwa kufuatia sheria za nchi katika utekelezaji wa majukumu Yao, ili kulinda maadili ya...
By Regina MkondeJuly 29, 2023KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo leo Jumamosi amesema upotoshaji unaofanywa na wanasiasa wa upinzani kuhusu uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira ameeleza kushangazwa na hatua ya Makamu Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema itakuwa ni aibu kwa Serikali iwapo itashindwa...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023JESHI la Polisi kupitia kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania limefanikiwa kukamata tani 13 .717 za dawa za...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023WATANZANIA wameshauriwa kuwa na utamaduni wa kutumia gesi kwa matumizi ya kawaida ili kuepukana na matumizi ya mkaa ambao ni chanzo cha uharibifu...
By Danson KaijageJuly 29, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, amesema Katiba mpya ndio njia pekee ya kudhibiti ‘wizi’ unaotendeka kila awamu ya...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023JESHI la Polisi Nchini limesema kuwa limeendelea kupokea maswali toka kwa wanahabari na wananchi wa kada mbalimbali kufuatia matamshi ya Abdulrahman Kinana, Makamu...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Ametoa...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023KATIKA kutimiza dhamira ya kuimarisha sekta ya elimu na kuwezesha mazingira ya utoaji elimu nchini kuwa ya usawa, Kampuni ya Geita Gold Mining...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) yameomba kuonana na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ili kumkabidhi changamoto zao zilizoshindwa kutatuliwa na Mamlaka ya Mapato...
By Regina MkondeJuly 28, 2023BUNDI ametua rasmi kwenye huduma ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship jimbo la Dodoma baada ya uongozi wa jimbo kudaiwa kuvamia kanisa...
By Danson KaijageJuly 28, 2023AFISA ustawi wa jamii manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaama, Naamini Nguve ametoa wito kwa wanandoa nchini kujitahidi kumaliza migogoro yao ili...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023MBUNGE wa Ukonga, Jerry Silaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), amesema...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023CHAMA cha waagizaji na wasambazaji mafuta Tanzania (TAOMAC) kimekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kudai kuwa waagizaji na wasambazaji wa mafuta wamekaa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023SERIKALI imetakiwa kuhakikisha kamati za Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA), ngazi ya kata, zinaundwa nchi...
By Regina MkondeJuly 27, 2023SERIKALI imetakiwa kuhakikisha kamati za Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA), ngazi ya kata, zinaundwa nchi...
By Regina MkondeJuly 27, 2023TANZANIA kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Shirika la...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo imepanga kuvuka lengo la makusanyo ya mapato...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023BENKI ya NMB imeshiriki katika utatuzi wa changamoto za afya na elimu kwa kutoa michango muhimu katika kuimarisha huduma hizo kwenye maeneo mbalimbali...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAFANYABIASHARA pamoja na watuaji wa nguo za mitumba nchini Kenya, wameitaka serikali nchi hiyo kusitisha mpango wake wa kupiga marufuku wa uingizwaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023MKUTANO wa kilele kati ya Urusi na Afrika unaanza leo Alhamisi, ambapo Rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin anapanga kuimarisha ushirikiano na mataifa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023KUNDI la wanajeshi wa Niger limetangaza kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum wa nchi hiyo, saa chache baada ya rais huyo kuzuiliwa ikulu na...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Plc imepata tuzo ya kuwa kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama amewapongesa watoto Abel Mussa na Rebbeca Damian wenye umri wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAKATI takwimu zikionesha kuwa kijana mmoja kati ya watano ndio anayepata ajira nchini China inaelezwa kuwa kiwango cha ukaidi cha vijana wasio...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023WAKATI maendeleo ya Elimu nchini yakiongezeka Chuo cha Uhasibu Arusha kimeongeza usanifu ili kuendana na kasi ya mabadiliko hayo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kuipaisha Tanzania kimataifa baada ya kufanikisha ujio jijini Dar es Salaam wa marais wasiopungua sita na Makamu...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023SHIRIKA la Light for the World Tanzania wametoa pikipiki 20 za kuwawezesha walimu wa elimu maalumu na vifaa mbalimbali vya kufundishia kwa watoto...
By Danson KaijageJuly 26, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amegoma kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekwama kusikilizwa baada ya shahidi kushindwa...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....
By Seleman MsuyaJuly 26, 2023HOJA sita zinatarajiwa kutikisa katika usikilizwaji kesi ya kikatiba iliyofunguliwa kupinga mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amezitaka nchi za Afrika kutumia vijana katika kuleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023VIONGOZI wa dini zote nchini wametakiwa kuacha mafundisho yanayolenga kupandikiza chuki kati ya dini na dini na badala yake wahimize upendo, amani na...
By Danson KaijageJuly 25, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa zinapaswa kujishughulisha zaidi katika kubuni na kutoa masuluhisho ya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023JUMLA ya simu 108,395 na vifaa vingine vya mawasiliano vimezuiliwa kwa kipindi cha mwaka mmoja, baada ya kuhusishwa na vitendo vingi vya jinai,...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023