Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Biashara EASTL yatambulisha bia mpya ‘GOLDBERG na HANSON’S LITE’
Biashara

EASTL yatambulisha bia mpya ‘GOLDBERG na HANSON’S LITE’

Spread the love

Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson’s Choice imetambulisha rasmi vinywaji vipya (Bia Mpya) maarufu Goldberg na Hanson’s Lite. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

 EASTL imetambulisha Goldberg na Hanson’s Lite juzi Ijumaa Julai 28,2023 kwenye viwanja vya Sabasaba Mjini Shinyanga ambapo Mkesha wa Mwenge wa Uhuru ulifanyika.


Goldberg na Hanson’s Lite vimepokelewa kwa kishindo ambapo wadau wamejitokeza kwa wingi katika Banda la EASTL kupata na kufurahia vinywaji hivi vya kipekee na ladha ya kipekee. Tayari vinywaji hivi vipo mtaani.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya...

Biashara

Promosheni ya bil 1 kutoka Meridianbet kasino, cheza na ushinde zawadi kubwa

Spread the love  INGIA katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu...

error: Content is protected !!