Tuesday , 30 April 2024

Month: September 2022

Habari za Siasa

Ado Shaibu: Tandahimba imesahaulika japo…

SERIKALI imekumbushwa wajibu wa kikatiba wa kurahisisha na kuharakisha maendeleo ya wananchi kwa kuwajengea miundombinu imara bila ya kuchelewa. Anaripoti Jabir Idrissa, Tandahimba …...

Michezo

GGML wazindua mashindano ya soka kwa watoto wanaozunguka mgodi

KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto wanaozunguka mgodi huo ili kukabiliana na changamoto...

Habari Mchanganyiko

DC Nyang’hwale aipongeza GGML kuajiri asilimia 98 Watanzania mgodini

MKUU wa wilaya ya Nyang’wale, Jamhuri William amesema uongozi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGM) umewatoa kimasomaso Serikali ya mkoa wa...

Tangulizi

Wanafunzi Hazina watia fora Moko Dar

  SHULE ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeendelea kutesa kwenye matokeo ya utahimilifu (moko) Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo...

Afya

Lishe kwa watoto, wajawazito na vijana kupewa kipaumbele 

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema sekta zote zitaongeza nguvu, rasilimali fedha na rasilimali watu ili kuboresha kiwango cha lishe kwa Watoto wenye...

Afya

Samia apiga ‘stop’ ujenzi vituo vipya vya afya

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa wataachana kwanza na ujenzi wa vituo vipya vya afya na nguvu kubwa itaelekezwa katika...

Elimu

Waliopata daraja la kwanza mitihani ya Taifa Ipepo Sekondari wakabidhiwa zawadi

  WADAU wa elimu kata ya Ipepo Wilaya Makete Mkoani Njombe wametimia ahadi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Ipepo waliopata...

Habari Mchanganyiko

Zanzibar waipongeza Tume ya Madini kwa usimamizi dhabiti sekta ya madini

WIZARA ya maji, nishati na madini Zanzibar imeipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini na Tume ya Madini kwa usimamizi mzuri wa...

AfyaTangulizi

Rais Samia ataja lishe duni sababu matumizi ‘vumbi la kongo’

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema lishe duni ndiyo chanzo kikubwa cha uwepo wa watu wenye matatizo ya afya ya uzazi na...

Habari Mchanganyiko

Katibu Madini awaita wachimbaji wadogo kutumia vifaa vya GF Truck

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini kuchangamkia mitambo na vifaa vinavyosambazwa na Kampuni...

Kimataifa

Yuko wapi Masood Azhar, Pakistan au Afghanistan?

  YUPO wapi Masood Azhar, Mkuu wa kikosi cha Jaish e Mohammad (JeM). Ni swali linalojiuliza Serikali ya Pakistani. Ni siri iliyo wazi...

Habari Mchanganyiko

Dk. Ndumbaro aeleza umuhimu wa Chama cha Mawakili wa Serikali

Waziri wa Katiba na Sheria, Damas Ndumbaro, ameeleza umuhimu wa Chama cha Mawakili wa Serikali kwa kueleza majukumu yao kuwa mazito na muhimu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili Mkuu wa Serikali ashauri kuanzishwa kituo cha usuluhishi Tanzania

WAKILI Mkuu wa Serikali, Gabriel Malata, ameomba kuanzishwa kwa kituo cha Usuluhisho wa migogoro nchini kwa lengo la kutatua mizozo mbalimbali inayo zikabili...

Habari Mchanganyiko

GGML mdhamini mkuu wa maonesho ya teknolojia ya madini Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGM) kwa mwaka wa tano mfululizo imejitosa kuwa mdhamini mkuu wa Maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia ya...

Habari Mchanganyiko

THRDC yazindua mtandao wa kuhifadhi data na kushirikisha taarifa

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umezindua mtandao wake wa usajili, ufuatiliaji na usimamizi wa wanachama wake zaidi ya...

Kimataifa

Kimbunga Ian chasababisha dhoruba kubwa kuwahi kutokea Marekani

KIMBUNGA Ian kimetokea Florida  nchini Marekani na kusababisha madhara makubwa ikiwemo mafuriko. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo, kwa msaada wa vyombo vya habari vya...

Habari za Siasa

Marufuku kuingia mkataba bila kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku mamalaka yeyote ya Serikali kuingia mkataba bila kuishirikisha Ofisi ya Mwanasheria...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia ataka Sheria ya kulinda uwekezaji iangaliwe upya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha kutoridhika na masharti ya sheria ya kulinda uwekezaji inayoweka ulazima wa mzozo baina ya mwekezaji...

Habari Mchanganyiko

NMB yaalika wachimbaji wadogo, kati kuchangamkia mikopo ya mitambo

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwainua wachimbaji wadogo na wa kati kwenye sekta ya madini, Benki ya NMB imetoa wito kwa...

Habari Mchanganyiko

Tume ya Madini yataka wachimbaji wadogo kuzingatia sheria ya Mazingira

TUME ya Madini imewataka wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu mkoani Geita kuzingatia sheria ya mazingira na afya migodini. Pia imetoa wito kwa...

Habari Mchanganyiko

Wakulima wa korosho Lindi, Mtwara kuchanua na “Vuna Zaidi na NBC Shambani”

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa pili wa kampeni yake  maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

Ambao hawatajisajili chama cha mawakili wa Serikali kupoteza kazi zao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mawakili wa Serikali ambao hawatajisajili katika Chama cha Mawakili wa Serikali katika...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu, Chenge wawafunda mawakili wa Serikali kuhusu chama chao

MAWAKILI wa Serikali, wametakiwa kutumia chama chao kuhakikisha viongozi wa Serikali wanazingatia matakwa ya katiba na sheria za nchi, katika utekelezaji wa majukumu...

ElimuHabari

CBE yawashukuru waliochangia harambee, yakusanya shilingi milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...

Elimu

Mwalimu Benki yazindua “Bando la Mwalimu”, Serikali yatoa neno

BENKI ya Mwalimu imezindua Bando la Mwalimu kupitia kampeni yake ya ‘Asante Mwalimu’ yenye lengo la kurudisha shukrani kwa mwalimu, ambapo Serikali imeahidi...

Kimataifa

Raila Odinga ataka Interpol kuongoza uchunguzi wa kifo cha mshukiwa wa ICC Kenya

  KIONGOZI wa Azimio Raila Odinga amewataka polisi wa Kimataifa wa Interpol kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mshukiwa wa Mahakama ya Kimataifa...

Habari Mchanganyiko

Stamico wataja faida za mkaa mbadala, unatumika mara 3 ya mkaa wa kuni

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limesema mkaa mbadala wa kupikia unaojulikana kama ‘Rafiki Coal Briquettes’ unaotokana na makaa ya mawe una uwezo...

Habari Mchanganyiko

‘Jukumu la wizara ya madini ni kuunda, kuisimamia sera ya madini’

IMEELEZWA kuwa jukumu la Wizara ya Madini ni kuunda sera na kusimamia sheria ya sekta ya madini sambamba na utoaji wa mafunzo ya...

Habari Mchanganyiko

Mbibo: Wananchi tembeleeni Tume ya Madini kupata elimu ya madini

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa Watanzania, wananchi wa mkoa wa Geita, mikoa jirani na wachimbaji wadogo...

Habari za Siasa

Zanzibar tuko tayari njooni kuwekeza-Rais Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kufungua milango kuwakaribisha wawekezaji kutoka nje, ili...

HabariSiasa

Mkoa wa Pwani wajiandaa na Uchaguzi mwishoni mwa wiki hii.

  Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...

AfyaTangulizi

Wakuu wa mikoa wapewa maagizo tahadhari ya Ebola

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...

Habari za Siasa

Vijana watakiwa kuwa mstari wa mbele kupinga sheria zinazominya uhuru wa kujieleza

UHURU wa Wananchi kujieleza katika masuala mbalimbali sambamba  na kupewa taarifa juu ya masuala muhimu  yanayolihusu Taifa,  yanatajwa kuwa miongoni mwa masuala muhimu ...

Kimataifa

IGP, DCI Kenya wajiuzulu, Rais ataja sababu

  RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana tarehe 27 Septemba, 2022 amemteua Japhet Koome kuwa Inspekta Jenerali mpya wa Jeshi la polisi...

Habari Mchanganyiko

Shehena ya sigara bandia za Bil. 1.8/- kutoka DRC yakamatwa Shinyanga

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata shehena ya sigara bandia zenye thamani ya Sh 1.8 Bilioni katika...

Habari Mchanganyiko

Tume ya madini yawanoa wachimbaji wa madini kwenye maonesho ya madini Geita

WATAALAM kutoka Tume ya Madini wameendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wa madini kutoka katika mkoa wa Geita na mikoa ya jirani katika Maonesho...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa awasimamisha kazi maofisa watano Mbulu

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri...

Habari Mchanganyiko

Kibano chaja kwa waagizaji magari ‘used’ watakaokwepa ukaguzi Japan

  SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan, mawakala wa forodha na wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha wanakagua...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo waitwa maonesho madini Geita, kampuni 600 zashiriki

KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Adolf Ndunguru ametoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kushiriki Maonesho ya 5 ya Teknolojia ya Madini...

Habari za Siasa

Wasafiri Tanzania kwenda Hong Kong hawatalazimika kukaa karantini

MAMLAKA ya Hong Kong, imewaondolea sharti la kukaa karantini wasafiri kutoka nchini Tanzania wanaofanya safari zao mbalimbali nchini humo. Anaripoti Felister Mwaipeta TUDARCo...

Habari za Siasa

Uchaguzi wenyeviti wa CCM wilaya kuanza Oktoba mosi

KATIBU wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Shaka Hamdu Shaka amewasisitiza wanachama wa chama hicho kujitokeza kwenye uchaguzi wa ngazi...

Kimataifa

Rais Ruto atangaza baraza la mawaziri

RAIS mpya wa Kenya, William Ruto, ametangaza baraza lake la mawaziri, lenye mawaziri 21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kiongozi huyo...

Habari Mchanganyiko

Upelelezi wakwamisha kesi ya madiwani wa Loliondo

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili baadhi ya viongozi wa Loliondo, mkoani Arusha, hadi tarehe 11 Oktoba 2022,...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yafuta chaguzi tano za UVCCM, tatu za UWT zasimamishwa

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za umoja wa vijana (UVCCM), pamoja na kusimamisha chaguzi tatu za Jumuiya ya Wanawake ya...

Kimataifa

Kampeni ya China dhidi ya Uyghurs ilivyoenea hadi Pakistan

KAMPENI ya China dhidi ya Wauyghur imesambaa katika mipaka yake, na kuwakumba mamia ya Wapakistani ambao wanailalamikia China kwenye masuala ya imani zao...

Habari Mchanganyiko

Wataka mjadala kupata mwarobaini  ukata vyombo vya habari

  WADAU wa tasnia ya habari, wameshauri uitishwe mjadala wa kitaifa, kujadili namna ya kutatua changamoto ya kifedha katika vyombo vya habari. Anaripoti...

Afya

Bima ya afya kwa wote kuanza Julai 2023

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema bima ya afya kwa wote itaanza kazi kuanzia tarehe 1 Julai 2023, endapo Bunge la Tanzania,...

Tangulizi

Letshego yaja na akaunti ya wajasiriamali wadogo, wastaafu

  TAASISI inayotoa huduma za kifedha nchini Tanzania ya Letshego imezindua akaunti maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakati na akaunti ya...

Kimataifa

Urusi yampa uraia Edward Snowden

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amempa uraia kachero na mhandisi wa zamani wa Marekani, Edward Snowden, ambaye tangu mwaka 2020 amekuwa mkaazi...

Habari Mchanganyiko

TPA, bandari ya Antwerp kuongeza ushirikiano

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Bandari Antwerp ya Ubelgiji zimeahidi kuongeza ushirikiano ili kuongeza ufanisi katika shughuli za bandari...

error: Content is protected !!