UJENZI wa madaraja ya upinde wa mawe (stone arch bridges) ya Mkalama–Kikavuchini, Ngira na Kisereni unaotekelezwa katika wilaya ya Hai, unatarajiwa kuondoa kero...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Afya kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini na kutoa utaratibu kama watu waendelee...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewaagiza Meneja wa TARURA Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na meneja...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022IMEELEZWA kuwa ujenzi wa barabara za Makoa Darajani-Mferejini (7.3 KM) na Kwasadala -Longoi (6.0 KM) kwa kiwango cha changarawe umeleta faraja kwa wananchi...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamua kusikiliza mapingamizi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mawakili wa Mbunge wa viti Maalum (Chadema), Halima Mdee...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022WATU watano wamepoteza maisha huku 54 wakijeruhiwa Katika ajali ya Basi lililogongana na Fuso uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2022TAASISI ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF) kwa kushirikiana na Asasi ya Umoja wa Mataifa (UNA) Tanzania na wadau mbalimbali imewakutanisha jumla ya vijana...
By Gabriel MushiSeptember 2, 2022MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani amejiuzulu. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea)....
By Jabir IdrissaSeptember 2, 2022Klabu ya soka ya Simba ya Jijini Dar es Salaam leo Septemba 2 2022 imepata pigo baada aliyekuwa daktari wa timu ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya uuzaji wa magari ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022WAWEKEZAJI na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa kiwango...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Septemba, 2022 ameanza ziara visiwani Zanzibar ambapo pamoja na mambo mengine amezindua kituo kipya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Ndaki ya Sayansi Tumizi na Sayansi Asili (CoNAS), kimewezesha wanafunzi 16 waliohitimu masomo ya ualimu...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022UBALOZI wa Marekani nchini Kenya umewataka raia wake kuchukua tahadhari kubwa nchini humo wakati huu ambapo , mahakama ya juu inatarajiwa kutoa...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2022KESI ya kupinga uchaguzi wa rais mteule William Ruto katika mahakama ya Juu nchini Kenya leo Ijumaa tarehe 2 Septemba, 2022, imeingia...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2022WAZIRI wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Innocent Bashungwa, amesema tozo za miamala zimekuwa mwarobaini wa kuboresha...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu utekelezaji wa kampeni ya chanjo ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ametetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielekroniki licha ya kukiri kuwa anatambua...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2022WIZARA ya Afya imeeleza chanzo cha kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF), ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wananchi...
By Danson KaijageSeptember 1, 2022WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...
By Kelvin MwaipunguSeptember 1, 2022