Sunday , 19 May 2024

Month: June 2021

Habari Mchanganyiko

Mhandisi Mfugale kuzikwa Julai 5 Iringa

  MWILI wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale, unatarajiwa kuzikwa Jumatatu ya tarehe 5 Julai 2021,...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na bosi AfCFTA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA)...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yataja sekta sita kinara utoaji ajira

  SERIKALI ya Tanzania imetaja sekta sita zilizo kipaumbele katika kutoa nafasi za ajira nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Bunge laahirishwa, maswali 1,468 yaulizwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ameahirisha shughuli za Bunge la 12 la Tanzania leo Jumatano, tarehe 30 Juni 2021, jijini Dodoma...

Habari Mchanganyiko

Kisa corona: Majaliwa atoa masharti saba, ndege kusitishwa

  KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, amebainisha mambo saba ambayo wananchi wanapaswa kuyazingatia ili kuchungua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya corona...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai ‘aota’ Katiba Mpya

  WAKATI wanasiasa, wanaharakati na wasomi wa kada mbalimbali nchini Tanzania, wakitaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee, Job Ndugai, Spika wa Bunge la...

Michezo

Simba: Tutawapiga Yanga 3, TFF leteni kombe uwanjani

  WAKATI joto la mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, likizidi kupamba moto, Simba wameliomba Shirikisho...

Michezo

Robo fainali Euro kupigwa Ijumaa, Uingereza kuwavaa Ukraine

  MIAMBA nane itachuana katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Euro 2020 kuanzia Ijumaa hii ya tarehe 2 na 3 Julai...

Habari Mchanganyiko

Joto kali lauwa watu 130 Canada

  WATU zaidi ya 130 wameripotiwa kufariki dunia nchini Canada, baada ya kuathiriwa na joto kali lililoikumba nchi hiyo tangu Jumatatu ya tarehe...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amlilia Mhandisi Mfugale

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Unafiki unakwamisha kufikia malengo

MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....

MichezoTangulizi

Kundi la kifo lapoteana Euro

  HATUA ya 16 ya michuano ya Euro imemalizika jana, kwa kigogo mwengine wa soka barani humo, timu ya Taifa ya Ujerumani kutupwa...

MichezoTangulizi

Karia asalia peke yake uchaguzi TFF

  KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imepitisha jina la Wallace Karia kuwa mgombea peke kwenye uchaguzi mkuu...

AfyaHabari Mchanganyiko

IMF yaiahidi neema Tanzania

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wamkunjulia makucha Rais Samia

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, kimesikitishwa na kauli ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mfugale wa Tanroads afariki dunia

  MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti...

Tangulizi

Mpango wa tatu wa maendeleo wazinduliwa, kutumia Trilioni 114.8

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 hadi 2025/26, utakaogharimu Sh....

Habari Mchanganyiko

THRDC yawanoa wanachama wake, yawapa masharti

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (THRDC), umefanya semina ya kuwajengea uwezo wanachama wake wapya 70. Anaripoti Regina Mkonde,...

Tangulizi

Majaliwa aeleza siri yake na Kikwete “kanitoa darasani”

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ana mchango mkubwa katika safari ya maisha...

Kimataifa

Jacob Zuma afungwa jela miezi 15

  MAHAKAMA nchini Afrika Kusini, leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, imemhukumu kifungo cha miezi 15 gerezani aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob...

Habari MchanganyikoTangulizi

Msigwa: Tutatoa leseni kwa magazeti yaliyofungiwa, Kubenea atoa neno

  MKURUGENZI wa Idara ya Habari-Maelezo nchini Tanzania, Gerson Msigwa amesema, wako tayari kutoa leseni kwa magazeti yote yaliyofungiwa ili yaanze kufanya kazi....

Habari Mchanganyiko

Mama Salma Kikwete alilia maji jimboni mwake, waziri amjibu

  MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi (CCM), Mama Salma Kikwete,ameiomba Serikali ipeleke maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mdee ataka sensa ibaini maeneo yasiyokuwa na maji

  MBUNGE Viti Maalumu (asiye na chama bungeni), Halima Mdee, ameishauri Serikali itumie sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika 2022, kubaini hali...

Habari za Siasa

Rais Samia aweka kando Katiba Mpya, mikutano ya kisiasa

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amewaomba wananchi kumuunga mkono katika harakati zake kufufua za uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia amewataka wananchi...

Habari za Siasa

Mbivu, mbichi ripoti BoT wiki hii

  RIPOTI ya ukaguzi wa matumizi ya fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa mwezi Januari mpaka Machi mwaka huu, kuwekwa hadharani wiki...

Tangulizi

Kigogo MSD aelezea alivyosota rumande miezi 11

  LAUREAN Bwanakunu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), amesema Hayati Padri Privatus Karugendo ni miongoni mwa watu waliomtia moyo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Mawio, MwanaHALISI, Mseto yapewe leseni

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema magazeti yote yaliyofungiwa na kumaliza adhabu zao, wapewe leseni ili waendelee na majukumu yao. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tunawagonjwa wa corona zaidi 100

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, zaidi ya wagonjwa 100 wa maambukizi corona (COVID-19), wamebainika nchini humo na wanaendelea na matibabu....

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza: Ulimwengu umejaa unafiki, kujipendekeza

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amesema ulimwengu umejaa unafiki,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mamia wamuaga Padri Karugendo

  MAMIA ya watu wameuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Padri Privatus Karugendo (65). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Michezo

Euro yanoga, vigogo waanguka

  HATUA ya 16 bora ya michuano ya Euro imeanza mwisho wa juma lililopita ambapo mpaka sasa imeshapigwa jumla ya michezo minne, huku...

Habari za SiasaTangulizi

Mdude wa Chadema huru, shangwe zarindima mahakamani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Mbeya imemwacha huru, Mdude Nyangali maarufu ‘Mdude Chadema,’ baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha madai yake kuhusu...

Habari za Siasa

Kasi ya Rais Samia kwenye muziki yamkosha Wakazi

  HATUA ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza wanamuziki waanze kulipwa mirabaha kutokana na nyimbo zao kupigwa kwenye redio, imemkosha msanii wa muziki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, LHRC zafurahia uongozi wa Rais Samia

  SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....

Michezo

Usajili Yanga usipime, GSM kumwaga tena pesa

  KUELEKEA kumaliza kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, wafadhiri wa Yanga, Kampuni ya GSM, wameahidi kumwaga fedha kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Machozi, kicheko CCM

  KATIKA siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo wanachama wa chama hicho waliomwaga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndoa ya Mbunge, mtoto wa Mbunge yaingia mdudu

  NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaongeza kasi mapambano ya mihadarati

  SERIKALI ya Tanzania, imeongeza nguvu kwenye mapambano dhidi ya dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

Hukumu ya Mdude kutolewa Leo

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...

MichezoTangulizi

Diamond ashindwa BET na Burna Boy, atoa ujumbe

  MSANII wa Nigeria, Burna Boy ameibuka mshindi wa tuzo ya BET 2021 kama msanii bora wa kimataifa na kuwaangusha wasanii wengine akiwemo,...

Habari Mchanganyiko

Zambia kuwakosesha ajira 30,000 Tanzania

  IWAPO Kanuni za Usafirishaji Mizigo Mizito na Kichele za nchini Zambia zitaanza kutumika, zaidi wa Watanzania 30,000 wana hatihati ya kukosa ajira....

Michezo

Makocha, wachezaji: Kikwete awataka Yanga kuvuta subra

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameutaka uongozi na wanachama wa mabingwa wa soka nchini humo, Yanga kuwa wavumilivu kufikia mafanikio...

MichezoTangulizi

Kikwete: Yanga itaipiga Simba

  JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania amesema, atafurahia iwapo Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya mtani wake, Simba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

MichezoTangulizi

Mabadiliko Yanga, Kikwete awapa ujumbe

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wanachama wa Klabu ya Yanga kuwa wawazi kushauri na kukosoa ili iweze kusonga mbele. Anaripoti...

Michezo

Yanga yapitisha vigogo 5 baraza la wadhamini

  MKUTANO Mkutano Mkuu wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, imepitisha majina matano likiwemo Mama Fatuma Karume, kuwa wajumbe wa Baraza...

Habari Mchanganyiko

TRA yaaanza mchakato somo la kodi lifundishwe shuleni

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wanafanya mazungumzo ya kuwezesha somo la ulipaji kodi...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya siasa Tanzania vyamsubiri Rais Samia

  VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, wamemkumbusha Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atekeleze ahadi yake ya kuonana...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia agonga siku 100 Ikulu

  LEO Jumapili, tarehe 27 Machi 2021, Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Chongolo: UWT simamie fedha za mikopo

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wabunge wanaotokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), kusimamia kwa karibu utolewaji wa...

Habari za Siasa

Wafuasi Chadema wataka fedha za faini zijenge ofisi

  WAFUASI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshauri kiasi cha Sh. 350 milioni kilichoshauriwa na mahakama kurejeshwa kwa Freeman...

error: Content is protected !!