MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CCM), Assa Makanika, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo, ambao wamekuwa wakikamatwa kwa kuitwa wakimbizi...
By Masalu ErastoJune 4, 2021KUONGEZEKA kwa shughuli za kibinadamu zisizo rafiki kwa mfumo wa ikolojia katika Bara la Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, kumetajwa kuwa...
By Regina MkondeJune 4, 2021HUSNA Sekiboko, mbunge wa viti maalum, aiomba Serikali ya Tanzania, kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu ya msingi na sekondari. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoJune 4, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimajaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, tarehe 4 Juni 2021, wamefikishwa Mahakama...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umekutana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kwa lengo la...
By Danson KaijageJune 4, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, ametaka wafuasi wa chama hicho waliokimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasidharauliwe....
By Regina MkondeJune 3, 2021HOSPITALI ya CCBRT, imetoa wito kwa wazazi wanaojifungua watoto wenye tatizo la mguu kifundo, kuwafikisha hospitali mapema kwa ajili ya kupatiwa matibabu....
By Masalu ErastoJune 3, 2021KAMPUNI ya Kimataifa inayojihusisha na masuala ya Utalii ya Kilimanjaro International Tourism and Safaris (KITS), imeleta wawekezaji wakubwa wawili kutoka Marekani ili...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ujumbe huo umewasilishwa leo...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021MKURUGENZI mpya wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Salum Hamduni, amemalizia kazi ya kuchunguza ubadhilifu wa mabilioni ya...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Tundu Lissu amejitosa kwenye mjadala wa kuundwa kwa mkoa mpya...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021Mara baada ya Afisa habari wa klabu ya Yanga Hassan bumbuli kusema hautambui mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguJune 3, 2021Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco ameshinda tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi Mei, mara baada ya kuwabwaga Thadeo Lwanga...
By Kelvin MwaipunguJune 3, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amebanwa bungeni kuhusu utaratibu wa fedha za miradi zinazochoelewa kutumika, kurudishwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina...
By Masalu ErastoJune 3, 2021MBUNGE wa Msalala mkoani Geita (CCM), Idd Kassim, amesema usafirishaji makontena ya makinikia kutoka Mgodi wa Bulyanhulu, umezua taharuki kwa wananchi ,...
By Masalu ErastoJune 3, 2021MAHAKAMA ya usuluhishi wa michezo kimataifa (CAS) imezitaka pande zote mbili kwenye kesi ya kimkataba kati ya Yanga na Morrison kutoa taarifa...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2021WABUNGE wa zamani wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania- Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ wamewafungulia mashtaka Kamishna...
By Hamisi MgutaJune 2, 2021SERIKALI ya Tanzania, inakusudia kutatua matatizo ya mawasiliano Kijiji cha Matinje Ikombandulu, ambalo ni eneo la machimbo lenye idadi kubwa ya watu...
By Masalu ErastoJune 2, 2021Mara baada ya kuwepo kwa fununu nyingi ya mshambuliaji wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu kutaka kusaini Yanga, Arafati Haji ambaye ni...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2021KLABU ya Simba kesho itashuka Uwanjani kumenyana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2021ISSA Mchungahela, mbunge wa Lulindi (CCM), mkoani Mtwara, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwalipa wananchi wanaodai miche ya mikirosho, deni ambalo lina muda...
By Masalu ErastoJune 2, 2021MBUNGE wa Viti Maalum asiye na chama bungeni, Cecilia Daniel Paresso, ameiomba serikali kudhibiti mfumo wa bei kubwa za bidhaa sokoni ili...
By Masalu ErastoJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka waliogombea ubunge na kukosa na sasa wameteuliwa kuwa wakuu wa mikoa (RC), kutofikiria ubunge na...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ametoa onyo kwa wakuu wa mikoa (RC) na makatibu tawala wa mikoa (RAS), kufanya kazi kwa...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) 11 na George Mkuchika, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021Klabu ya Azam Fc imemuongezea mkataba miaka miwili mshambuliaji wake raia wa Zimbabwe Prince Dube ambapo utamfanya kusalia hapo hadi 2024. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021MAKOCHA Pep Guardiolla wa Manchester City na Ole Gunner Solskjaer wa Manchester United wamejuimishwa kwenye orodha ya makocha watano kuwania tuzo ya...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupaza sauti zao wanapokutana na changamoto za huduma ya afya, ili Serikali yake izifanyie...
By Masalu ErastoJune 1, 2021ANATROPIA Theonest, Mbunge Viti Maalum asiye na chama bungeni, amehoji mkakati wa Serikali, katika kuziba pengo la wahadhiri wa vyuo vikuu, wanaoteuliwa...
By Masalu ErastoJune 1, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ametoa maagizo kwa walinzi wa Bunge hilo, kutowaruhusu wabunge wanaovaa vibaya kuingia bungeni. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 1, 2021KLABU ya Manchester United imethibitisha kuondolewa kikosini kwa kinda wake Mason Greenwood mara baada ya kupata majeraha katika kuelekea fainali ya michuano...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021MAPENDEKEZO ya kuundwa kwa mkoa mpya wa Chato, yametibua hali ya hewa na kuibua mjadala mzito. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJune 1, 2021WACHEZAJI nane kutoka klabu tofauti ndani ya Ligi Kuu nchini England wameingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa Ligi hiyo...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeanza kuondoa changamoto ya ukata wa fedha, katika Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura), baada ya Mfuko...
By Masalu ErastoJune 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema amepitia mikataba ya miradi ya ujenzi wa miundombinu, iliyoachwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli,...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, kuwasimamisha kazi viongozi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo,...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021Mlinzi wa kati wa klabu ya Crystal Palace ya nchini England Mamadou Sakho amefika Bungeni Jijini Dodoma na kuangalia shughuli za uwendeshaji...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021MAHAKAMA ya usuluhishi wa michezo ya kimataifa (CAS) imetupilia mbali rufaa ya mchezaji Bernad Morrison dhidi ya Yanga kwenye kesi ya kimkataba...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2021