Monday , 27 May 2024

Habari Mchanganyiko

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Wazanzibar watarajia makubwa kutoka NMB Pesa Akaunti

Wateja wapya wa Benki ya NMB wa Zanzibar wanatarajia neema kubwa kimaisha baada ya kujumuishwa katika mfumo rasmi wa fedha na taasisi hiyo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kinana aungana na Tale kugawa mitungi ya gesi 800

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema kampeni ya nishati safi iliyoanzishwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC yakabidhi Kombe la Ubingwa wa Vijana (U20) kwa Kagera Sugar FC

Mdhamini mkuu wa Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20 Youth League) Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kombe la ubingwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Madeni ya bilioni 219 yalipwa, wadai wengine waitwa

SERIKALI imesema kuanzia Mei mwaka 2021 hadi sasa imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 132,611 yenye thamani ya Sh 219.7 bilioni....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kasekenya aipa Tanroads wiki kukarabati barabara Morogoro

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro kuhakikisha anarudisha mawasiliano...

ElimuHabari Mchanganyiko

Rubani mtarajiwa Tusiime awashangaza wazazi

WAZAZI walioshiriki siku ya taaluma na maonyesho ya shule ya awali Tusiime leo Jumamosi wameshangazwa na vipaji vilivyoonyeshwa na wanafunzi hao kwa kumudu...

Habari Mchanganyiko

Wanne wadakwa kwa kusafirisha punda 46 nje ya nchi

Jeshi la Polisi kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido mkoa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia: Tutaendelea kupigania malengo ya afrika

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema dhamira ya Tanzania ni kukuza na kuendeleza amani na usalama barani Afrika ili kukuza na kuendeleza...

Habari Mchanganyiko

Kinondoni wafunguliwa dirisha la maunganisho ya bure huduma maji taka

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saadi Mtambule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni hususani Kata za Kawe, Kunduchi, Wazo na Mbezi Beach kujitokeza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NHC yadai bil. 2.1 taasisi za Serikali, Waziri atoa maagizo

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linakabiliwa na changamoto ya baadhi ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

14 kuvaana ubunge Kwahani, Chadema, ACT Wazalendo wakisusa

JUMLA ya wagombea 14 kutoka vyama vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa kuwania kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko awataka makatibu mahsusi kujiendeleza, kuwa kielelezi cha huduma bora

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa makatibu mahsusi nchini  kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko ya...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

GGML inavyookoa walemavu dhidi ya dhana potofu

MKOA wa Geita ni mmoja wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ambayo imeathiriwa na imani za kishirikina. Kila juhudi zimefanyika kuwaelimisha wananchi kuachana...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Tanzania kufungua vituo 100 vya kufundisha Kiswahili nje

SERIKALI ya Tanzania imepanga kufungua vituo 100 vya kufundisha lugha ya Kiwahili nje ya nchi, ili kuendelea kuibidhaisha lugha hiyo kimataifa. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

11 wafariki dunia baada ya mtambo wa Kiwanda cha Mtibwa Sugar kupasuka

WATU 11 wamefariki dunia huku watatu wakijeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 23 Mei 2024, kwenye kiwanda cha...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kivule walia barabara kujengwa kwa vifusi vya udongo badala ya changarawe

WANANCHI wa Kata ya Kivule Mtaa wa Magole A, jijini Dar es Salaam, wameonesha kutoridhishwa na hatua ya barabara ya Nyang’andu kujengwa kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Tanzania, Msumbiji wajadili mikakati kuinua biashara, uwekezaji

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike amekutana na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji, Silvino...

Habari Mchanganyiko

PPAA mguu sawa kutumia kanuni za rufaa Julai 2024

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia...

Habari Mchanganyiko

Chalamila atangaza opesheni ya kuwabaini wakwepa kodi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza operesheni ya kuwabaini ‘wakwepa’ kodi na kutoa rai kwa wafanyabiashara kutoa ushirikiano ili...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Jaji Mkuu, DPP watoa miongozo kesi za Plea Bargaining

SERIKALI imetunga kanuni na miongozo mipya kuhusu uendeshaji mashauri yanayomalizika kwa mshtakiwa kukiri kosa (Plea Bargaining), ili kumaliza changamoto zake zilizoibuliwa na wadau...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yatoa msaada wa pikipiki 20 za milioni 65 Arusha

Benki ya NMB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya zaidi ya Sh 65 milioni zitakazosaidia kuimarisha ulinzi mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea)....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde: Mabadiliko sheria ya madini yameinua Watanzania, yameongeza ajira 18,853

IMEELEZWA kuwa mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya  kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha watanzania wananufaika na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo, RPC wang’aka ubakaji watoto Songwe, ushirikina watajwa

MKUU wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo kwa kushirikiana na kamati ya usalama ya mkoa, ametangaza vita kwa watu wanaoendekeza vitendo vya ubakaji...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Muswada marekebisho sheria ya ndoa waiva

SERIKALI kupitia Wizara ya Katiba na Sheria, imekamilisha uandaaji muswada wa marekebisho ya sheria ya ndoa na kwamba zoezi hilo likikamilika utawasilishwa bungeni...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yataka wanaotelekeza watoto waburuzwe mahakamani

SERIKALI imeagiza wazazi wanaoshindwa kuwahudumia watoto wao wafikishwe mahakamani ili kukomesha vitendo vya watoto kutelekezwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza bungeni...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mathayo aibana Serikali ujenzi barabara Mwembe-Mbaga- Mamba

Serikali imepanga kuanza taratibu za manunuzi ya kumpata mhandisi mshauri kwa ajili ya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa barabara...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Hukumu mahakama kuu yabatilishwa kesi State Oil, Equity Bank Tz

MAHAKAMA ya Rufani, jijini Dar es Salaam, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, ambayo iliipa ushindi kampuni ya State Oil dhidi ya benki...

Habari Mchanganyiko

Geita, Mwanza waongoza kwa mbwa

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema taarifa ya sampuli ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi iliyotolewa na Ofisi ya...

Habari Mchanganyiko

Waziri aipongeza NBS kwa mafanikio

  Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande amepongeza Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa utendaji mzuri unaochangia katika kukuza maendeleo ya Taifa....

Habari Mchanganyiko

Balozi Nchimbi aonya maofisa utumishi kuacha uonevu

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango atoa maelekezo 10 ya kuboresha sekta ya nyuki, awapongeza Maliasili

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ametoa maelekezo kumi yatasaidia kuimarisha sekta ya nyuki ili iweze...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuwafagilia njia wawekezaji sekta ya mawasiliano

  SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya wawekezaji ili kuongeza chachu katika maendeleo. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Elimu ya utunzaji wa mazingira ipewe kipaumbele kwa watoto

  JAMII imetakiwa kuwajengea Watoto tabia ya utunzaji wa mazingira ili kuwa mabalozi wazuri baadae wa kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya tabia...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yamteua Pele kuwa mgombea ubunge Kwahani

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

SERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh 38 bilioni zitakazotekeleza  Mradi wa “Her Resilience, Our Planet Project” ambao unalenga  kuongeza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha...

Habari Mchanganyiko

Balile ateuliwa rais wa wahariri Afrika Mashariki

Jumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES), imemchagua Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kuwa Rais wa jumuiya hiyo kwa kipindi cha...

Habari Mchanganyiko

Jeshi la Uhifadhi kujengewa uwezo zaidi

  WIZARA ya Maliasili na Utalii imejipanga vyema kuendelea kulijengea uwezo Jeshi la Uhifadhi nchini kwa njia mbalimbali ikiwepo ya utowaji wa mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Wanavyuo Dodoma waonja utamu wa chimbo la nyuki

  TAMASHA la Chimbo la Nyuki lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, limechagiza vyema shamrashamra zinazoanza za Maadhimsho ya Siku ya...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi anusurika kufungiwa, asema hatarudi nyuma

WAKILI Boniface Mwabukusi amesema kuwa hatorudi nyuma kuwatetea Watanzania na rasilimali zao licha ya uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumpa onyo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RC Chongolo atangaza ‘vita’ kwa wanaovusha wageni kinyemela

KATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu wa mkoa huo, Daniel Chongolo ametangaza ‘vita’ kwa wananchi watakaojihusisha na shughuli za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

RUWASA yachongewa, yateketeza mamilioni kwa maji yenye magadi

SAKATA la ukosefu wa maji wilayani Momba mkoani Songwe limezidi kushika kasi baada Diwani wa Kata ya Ivuna – Bonde la Kamsamba, Erick...

Habari Mchanganyiko

DC – Kheri James awaasa wakandarasi umeme Iringa kuzingatia uweledi

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wakandarasi wenye leseni za umeme Mkoani Iringa kufanya kazi kwa weledi katika kazi zao. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Lissu akabidhiwa gari lake, aomba msaada wa matengenezo

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua bima ya afya kwa wakulima

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance imezindua huduma ya Bima ya Afya kwa wakulima...

Habari Mchanganyiko

Makamba awasili China kwa ziara ya kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba leo tarehe 16 Mei 2024 amewasili nchini China kuanza ziara ya...

Habari Mchanganyiko

Ethiopia yafungua njia ujenzi wa ubalozi Dodoma

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Ethiopia kwa kuweka historia kwa kuwa nchi ya kwanza kujenga majengo ya Ofisi na Makazi ya Balozi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Total Energies yawekeza bilioni 17 kusambaza gesi ya kupikia

ILI kurahisisha upatikanaji wa gesi ya kupikia kwa gharama nafuu kwa Watanzania, Kampuni ya Total Energies Tanzania imewekeza kiasi cha dola za Marekani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Taifa Gas waanika mikakati kupunguza gharama za gesi ya kupikia

KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas imefungua maduka 250...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati...

error: Content is protected !!